Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

Tusifike? Kwanini mkuu?
 
Hahahaaa, we LOFA umenichekesha kweli
 
Bunju bado bado kwanza. Inabidi isubiri wakina Salasala na Madale wamalize majumba katika sehem zilizowazi alaf ndo wahamie huko Bunju.

Sema nako si haba kiaina 😂😂
Kuna wale wakazi wa bunju upande wa kuelekea mbweni wameamua kujitenga na bunju nyingine kwa kuiita bunju beach, kweli kubaguana hakutaisha duniani
 
Ndio tatizo la kuja mjini ukubwani
Kwahiyo kuja mjini ukubwani ndio kumekufanya ushindwe kujua sababu ya Mbezi Louis kujulikana zaidi sasa hivi kuliko Mbezi beach?

Au toka uje mjini haujawahi kufika wala kupasikia pote?
 
How often do you go back?

Kusema ukweli siku hizi wala hakuna tofauti yoyote kwenye maeneo ya makazi watu!

Muonekano ni ule ule tu sehemu zote za jiji.

There are no expensive zip codes [for lack of better words] in Dar!
 
How often do you go back?

Kusema ukweli siku hizi wala hakuna tofauti yoyote kwenye maeneo ya makazi watu!

Muonekano ni ule ule tu sehemu zote za jiji.

There are no expensive zip codes [for lack of better words] in Dar!
Kweli.

Nimefika Oysterbay pale Karume na Haile Selassie nikakuta barabara zina mashimo kichizi. Mara Bakhressa kachukua sehemu ya Shule kwa Mchambawima kajenga nyumba pale.

OYsterbay vurugu tupu.

Mimi tangu mshua aanze kuwa anakuja US yearly nimekosa appetite kabisa ya kurudi hata likizo.

Nikisema miaka niliyopotea ni aibu.
 
Kwel Mbweni imejengwa sana, nasikia hadi namba 1 wa taifa ana mjengo wake wa ajabu huko Mbweni.
Pale kwny round about kma unaenda kwa mama kuna gorofa moja hivi ni amaizing. Yani yule mwamba amejenga kitu cha ndoto yake. Eneo dogo ila hyo gorofa ilivo simamaaaa.....mbezi beach wnajfungia na mageti kabisa ulinzi shirikshi mbka mchana huiingii kzembeee.....goba kuna ile half london sijui kwa mtume wa majii, ni balaaa mzee unaambiwa wte vjana hakuna mzee, hyo midude sasaaa
 
Asilimia kubwa maeneo ya dar kma huko wazawa wachache wamebakii....ila kina mangi mpewe maua yenu tu asanteni mno kututoa tongotongo ni hatari nyie watu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…