Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusifike? Kwanini mkuu?Sio kweli,katika sehemu ambazo zimepoteza ushawishi ni masaki.masaki kuna jina kubwa lakini uhalisia ni tofauti.majengo ya kizamanu na hayashtui.
Lakini mbezi bado ni ya moto,ina jina linaendana na uhalisia,kumetulia na kumekaa kishua.
Japo kwa sasa,sehemu ambayo inakoroma ni mbweni,huku kama una ugonjwa wa moyo sikushauri ufike.
Hahahaaa, we LOFA umenichekesha kweliWewe umesema mbezi au aina mbili za Mbezi? Unajua vijana mnafeligi mthihan kwa ajili ya Ujinga kama huu.
Mbezi beach zote zimeishi maskini miaka yote, nenda rudi, hakuna mahali utamkosa maskini, labda Nashvile ndo si kuona.
Hata LA carlifonia kati, San Diego down town, China town, maskini wapo tu utakutana nao wanaishi humo humo wanachanganyana kama kawaida.
Kwa Zena, upande wa juu wa BOT kumekuwa na mafukara miaka sogea twende turudi, maskini wamejaa.
BOT Cota opp na gate pana kibanda na genge, mle ndani wanaishi nani? Maskini lukuki, upande wa chini opp na sheli mkabala na Kakobe kuna gorofa kuu kuu mskini wanalipa 50,000 wanakaa.
Zunguka kama unaenda beach, maskini wamejaa wa kutosha, wanakula upepo wa bahari kwenye mapagala.
Mkinunua viwanja kwao wataenda, ukijenga watarudi mdogo mdogo kulinda, mwishowe wanaoa, wanahamia hapo hapo na kuanza kukuloga usimalizie nyumba.
Chachandu tu mkuu,fikeni ili mpate hasira za kuiba makazini😁😁😁Tusifike? Kwanini mkuu?
Salasala ni level ya kina Madale, Goba na maeneo mengine yenye kueleweka mkuu.Kweli kabisa
Bora ht salasala naona kiasi fulani Kuko vzr
Bunju bado bado kwanza. Inabidi isubiri wakina Salasala na Madale wamalize majumba katika sehem zilizowazi alaf ndo wahamie huko Bunju.Mbona Bunju haiongelewi, wanaishi madon au kajamba nani?
Mitaa ipo ...ujenzi umejengwa kimpangilio auYap ila sshv duh.
Kuna mijengo
Kuna wale wakazi wa bunju upande wa kuelekea mbweni wameamua kujitenga na bunju nyingine kwa kuiita bunju beach, kweli kubaguana hakutaisha dunianiBunju bado bado kwanza. Inabidi isubiri wakina Salasala na Madale wamalize majumba katika sehem zilizowazi alaf ndo wahamie huko Bunju.
Sema nako si haba kiaina 😂😂
How often do you go back?Enzi hizo Tangi Bovu lipo bado.
Nimerudi likizo Mbezi Beach nimeshangaa kule juu nimekuta kuna uswekeni, nimekuta vibanda vibanda Bagamoyo Road kama uswekeni.
Mbezi Beach zile character za ushuani zimeondoka, ingawa kuna mitaa ina majumba bado.
Mvua ikinyesha kidogo tu mafuriko.
Siku ya kwanza naiona Bagamoyo Road mchana hata sikuitambua. Imekuwa uswaziii. Vibanda vibanda kila sehemu.
Kweli.How often do you go back?
Kusema ukweli siku hizi wala hakuna tofauti yoyote kwenye maeneo ya makazi watu!
Muonekano ni ule ule tu sehemu zote za jiji.
There are no expensive zip codes [for lack of better words] in Dar!
Pale kwny round about kma unaenda kwa mama kuna gorofa moja hivi ni amaizing. Yani yule mwamba amejenga kitu cha ndoto yake. Eneo dogo ila hyo gorofa ilivo simamaaaa.....mbezi beach wnajfungia na mageti kabisa ulinzi shirikshi mbka mchana huiingii kzembeee.....goba kuna ile half london sijui kwa mtume wa majii, ni balaaa mzee unaambiwa wte vjana hakuna mzee, hyo midude sasaaaKwel Mbweni imejengwa sana, nasikia hadi namba 1 wa taifa ana mjengo wake wa ajabu huko Mbweni.
Asilimia kubwa maeneo ya dar kma huko wazawa wachache wamebakii....ila kina mangi mpewe maua yenu tu asanteni mno kututoa tongotongo ni hatari nyie watuIla mipango miji tu hawazingatia
Hapo unapopaona panaitwa goba Centre zamani palikuwa panaitwa muembe madole,na kulikuwa na usafiri wa landrover na ilikuwa moja inapiga route hadi tangi bovu
Watu huko zamani walikuwa wanauza maeneo mpaka 15,000 ,20000
Ila huko bado kuna kijiji fulani kimebakia cha asili watu hapo wakuda sana ,jina lake limentoka kdg
Ova