Kwanini Mbezi beach imepoteza umaarufu wake iliyokuwa nao miaka ya nyuma?

Nilitaka kusema, kwa kweli hapana, hata kama kumejengeka, huko sio Dar
Raha ukae mbali na uswazi lakini mjini kati ufike chini ya nusu saa....

View attachment 2844474
Yani Mbweni mpaka Mbezi Beach karibu sawa na Mbezi Beach mpaka mjini.

Huku kunatakiwa kuanzishiwe mji wake, watu wawe wanaenda mjini mara moja kwa wiki.

Lakini hapo kwa umbali wa miji mikubwa si mbali sana, basi mji wetu tu
 
Yani Mbweni mpaka Mbezi Beach karibu sawa na Mbezi Beach mpaka mjini.

Huku kunatakiwa kuanzishiwe mji wake, watu wawe wanaenda mjini mara moja kwa wiki.
Si ndio hapo sasa, yaani wawe na hosptali na mashule kila kitu yaani
Ikitokea kama dharura unahitaji hospitali, mpaka ufike Mloganzila au Aga Khan ni mwendo sana, na watoto mpaka wafike shule...
 
Yani Mbweni mpaka Mbezi Beach karibu sawa na Mbezi Beach mpaka mjini.

Huku kunatakiwa kuanzishiwe mji wake, watu wawe wanaenda mjini mara moja kwa wiki.

Lakini hapo kwa umbali wa miji mikubwa si mbali sana, basi mji wetu tu
Nimeshindwa kuelewa kwanini Avic Town kumetelekezwa...
Nilipita kushangaa sio mchezo...
Sijui wabongo hawapendi vitu vikipangiliwa?
 
Landlover zilikuwa mbili Moja inapaki bwawani pale mwembe madole nyingine inabaki mbez beach huku ....hiz gari Moja ilikuwa rangi ya blue nyingine silver gar ya tesha na bongo man
 
Magufuli Bus Terminal
 
Yup!

Kama hii hapa ya ATL.

 
Nakataa hii hoja.
Mbezi beach kutaendelea kuwa sehemu maarufu, ghali, yenye mvuto kuliko mbezi ya upande wa pili.
Hata ukitaka nunuwa kiwanja uliza bei uone.
Kweli mbezi beach ina barabara mbovu, kweli madimbwi na mitaa kunuka, hiyo haina tofauti na masaki, mikocheni nk nk
Kama ukisema mbezi ya kimara, Luis na makabe kumejaa wachaga na nini nitakubali, ila status? Bado sana sana sana
 
It’s good to go back.

I do it at least twice a year.

Just got back a couple weeks ago.

Stayed there for 2 1/2 months.

Ukiacha familia, kuna mengi ya kufanya.

Mfano, safari hii nilienda mpaka Serengeti.

Mbuga hii ya Serengeti iko kwenye mikoa miwili: Mara na Simiyu.

Miaka yote hii sikuwahi kabisa kuwaza kwenda huko.

Ila safari hii kuna mtu akazungumzia kwenda Serengeti. Nikaona ni wazo zuri sana.

Kutoka Simiyu mpaka hapo mbugani wala haichukui muda kivile. Ni takriban lisaa limoja tu.

Unatoka Bariadi mjini unapitia Lamadi. Kutoka Lamadi mpaka Serengeti ni dakika chache tu.

Akilini mwangu sikuwahi kabisa kuwaza kwamba Serengeti si mbali kabisa na nyumbani. Kwamba unaweza kwenda leo na kurudi leo leo.

Next time nikienda tena Tanzania, nitaenda tena Serengeti maana mbuga ni kubwa. Sikuweza kuiona yote.

Nawe unaweza kutumia vivutio kama hivyo vikawa kama motisha ya wewe kurudi mara kwa mara.

Kama unakuwa hujaenda kwa muda mrefu, ni lazima uta experience culture shock.

Hicho ni kitu ambacho mimi sina kutokana na frequency yangu ya kwenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…