Kwanini Mbilikimo wengi wanapatikana kwenye Misitu ya DRC

kwa sababu pale ndiyo kuna mazingira yanayowafaa kwa makuzi yao (ecological niche) hapo zamani kabla ya binadamu kuanza kusafiri masafa ya mbali kama ilivyo sasa.
👏👍✌
 
Suala la kukosa mwanga na kuwa wafupi nakataa. Ulishawahi kuona mmea unaoota karibu na mwanga lakini haupati huo mwanga? Mmea hurefuka kufuata mwanga. Hata miti ndani ya misitu kama hiyo huwa mirefu sana kwa lengo la kufuata mwanga. Haiwezi kuwa kinyume kwa binadamu
 
Huu uzi ufungwe sasa
 
Mimi siamini mambo ya jua wala mwanga nachoamini ni mwingiliano tu wa watu na kuishi eneo fulani muda mrefu sana hivyo kudominate lile eneo na kuendelea kuzaliana. Kwa hiyo point hapo ni reproduction na domination growth ya generation inayofanana ivo kukua kwa muda mrefu.
 
Kwa mlio tembea tembea, hivi kuna Mbilikimo wa jamii za
Wazungu ?
Waarabu ?
Wahindi ?
Wachina ?
Wafilipino ?
Nk
Ukiaachana hawa wa Kiafrika.
 
Kwa mlio tembea tembea, hivi kuna Mbilikimo wa jamii za
Wazungu ?
Waarabu ?
Wahindi ?
Wachina ?
Wafilipino ?
Nk
Ukiaachana hawa wa Kiafrika.
Nadhani Waliopata Bahati Kutembea Kwenye Mabara Mengine Huko Watakuja Kutujuza Iwapo Kweli Na Kwa Wenzetu Wapo Ama Vp
 
Hapa kuna mambo mawili ya kuelewa: kuishi na kustarehe.Usichanganye Photosynthesis ambayo ni effort ya mmea kuishi na vitamin D absorption ambayo ni effort ya mwili wa mnyama kustarehe. Photosyntesis in active process ambapo mmea unastruggle kuish iwakati Vitamin D basorption ni passive process ya mwili kuweza kujistarehesha Swala la survival ni kubwa sana katika living objects.
 


Em tuambie pia kwann wapare ni wafupi vile jaman khah!
 
Em tuambie pia kwann wapare ni wafupi vile jaman khah!
Rwanda Huko Mbilikimo Wameandaliwa Mashindano Ya Urembo (Miss) Bila Kujari Hali Yao


Wenyewe Wamesema Ndiyo Kwa Mara Ya Kwanza
Wanapatiwa Nafasi Tele Kuonyesha Nao Wana Nafasi Kwenye Jamii
 
Kama nimemuelewa vizuri kichuguu, ukosefu wa Vit. D ni chanzo cha watu kuwa wafupi. Eskimos wanaishi kwenye nchi ambayo miezi sita ni giza totoro na miezi sita ni mwanga ila jua siyo la kutosha na wamezungukwa na barafu. This can be the reason why they are so short. Swali je, waruguru inakuwaje?
 
I hope there are so many people here who would like to learn about these theories. And most of them are swahili speakers.i advise you to use swahili...so that many will understand the topic but also some will avoid using that broken english.

Using english doesnt guarantee/prove that you are educated.its a language just like other languages.so dudes, invite others in the discussion by using swahili
 

Mkubwa sorry naomba turekebishane kitu kimoja hapo juu
Pygmy ni mbiliko by nature amezaliwa hivyo ndio kama hao walioko huko drc

Ila Dwarf sio mbilikimo wa ugonjwa bali ni mbilikimo wa jamii za kimiujiza miujiza ama za kichwawi ndio kama goblin vile trool, elf, fairy nk ni hilo tu nilitaka tujuzane kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…