Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #181
Umekosa hoja, nakupuuzaWw ndio unaona uzalendo wake maana ulifaidika na ukatali wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekosa hoja, nakupuuzaWw ndio unaona uzalendo wake maana ulifaidika na ukatali wake.
Umekosa hoja, nakupuuza
Tupe point tofauti na hii.Nonsense
Ulikuwa hujui jeuri ya Magu ww!!Atoe wapi hiyo jeuri? Saudi Arabia ni wafadhili wakubwa Sana hapa Tanzania..
Nani wa muhimu mfadhili au Masai? Kule Karatu kuna Kijiji kabisa cha Wazungu.
Hataogopa wapinzani ila sio wenye pesa na Nchi zenye pesa.Ulikuwa hujui jeuri ya Magu ww!!
yule jamaa alikuwa haogopi mtu yyte
Alikuwa haogopi kima yeyoteHataogopa wapinzani ila sio wenye pesa na Nchi zenye pesa.
Kima yeyote au sio? Aliyempeleka Rostam Aziz Ikulu alikuwa nani?J
Alikuwa haogopi kima yeyote
Ukisikia waarabu wanawinda au wanapiga wamasai? Fuatilia tume ya Pm 2017 ilikuja na jibu gani.Hata huyo marehemu wako hana lolote,kama unakiri kuwa mzozo huo upo tangu enzi za Mwinyi ikimaanisha hata wakati wake huyo mtu wako huo mzozo ulikuwepo jee yeye alifanya juhudi gani kuutatua? Wacha hizo
Alikuwa haogopi kima yyte wa alikuwa haogopi kifo ndio maana leo yupo pale alipoKima yeyote au sio? Aliyempeleka Rostam Aziz Ikulu alikuwa nani?
Kama haogopi yuko wapi saizi?
Ndio kapata alichokuwa anakitafutaAlikuwa haogopi kima yyte wa alikuwa haogopi kifo ndio maana leo yupo pale alipo
Hakuwa kunguru muoga alikuwa tayari kupambania nchi yake na kupambania wanyonge dhidi ya madhalimu. Hakuogopa kifo hakika alikuwa niNdio kapata alichokuwa anakitafuta
Mzee wa Msoga analijua pasi na anawasilisha jopo!!Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?
Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?
Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
Huna jema kamfufue uzikwe wewe. Wale aliowaua na kuwapoteza siyo watu unakeraOterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?
Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?
Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
Mbona nyie wanyonge hamkusaidia? Amevuna alichopanda..👇Hakuwa kunguru muoga alikuwa tayari kupambania nchi yake na kupambania wanyonge dhidi ya madhalimu. Hakuogopa kifo hakika ni shujaa
Aliwakuta kina ben Sanane hakuwa shujaa yule labda wa kupora watu mali zaoHakuwa kunguru muoga alikuwa tayari kupambania nchi yake na kupambania wanyonge dhidi ya madhalimu. Hakuogopa kifo hakika alikuwa ni
mtu madhubuti tena shujaa.
Mama yako anashanga nyeupe na za bluu, nzuri sanaHuna jema kamfufue uzikwe wewe. Wale aliowaua na kuwapoteza siyo watu unakera
Huo ushahidi huna zaidi ya story za vijiweniAliwakuta kina ben Sanane hakuwa shujaa yule labda wa kupora watu mali zao
Msukule hautumii ubongo zaidi ya makalioHata huyo marehemu wako hana lolote,kama unakiri kuwa mzozo huo upo tangu enzi za Mwinyi ikimaanisha hata wakati wake huyo mtu wako huo mzozo ulikuwepo jee yeye alifanya juhudi gani kuutatua? Wacha hizo
Unakuta hata we mwenyewe huna kitu zaidi ya uchawa na kuita wenzako sukuma gang sijui wewe unaitwa nani au ni matako gangSukuma gang mnapigika vibaya sana this time.