Kwanini mgogoro wa Loliondo haukuibuka wakati Magufuli yupo hai? Hawa OBC ni akina nani? Kwanini Loliondo Gate? Mbona wanasiasa wa Oman?

Hata huyo marehemu wako hana lolote,kama unakiri kuwa mzozo huo upo tangu enzi za Mwinyi ikimaanisha hata wakati wake huyo mtu wako huo mzozo ulikuwepo jee yeye alifanya juhudi gani kuutatua? Wacha hizo
Ukisikia waarabu wanawinda au wanapiga wamasai? Fuatilia tume ya Pm 2017 ilikuja na jibu gani.
Legacy ya jpm haifutwi kwa kwa kuzuia ....

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Mzee wa Msoga analijua pasi na anawasilisha jopo!!
 
Huna jema kamfufue uzikwe wewe. Wale aliowaua na kuwapoteza siyo watu unakera
 
Hakuwa kunguru muoga alikuwa tayari kupambania nchi yake na kupambania wanyonge dhidi ya madhalimu. Hakuogopa kifo hakika alikuwa ni
mtu madhubuti tena shujaa.
Aliwakuta kina ben Sanane hakuwa shujaa yule labda wa kupora watu mali zao
 
Hata huyo marehemu wako hana lolote,kama unakiri kuwa mzozo huo upo tangu enzi za Mwinyi ikimaanisha hata wakati wake huyo mtu wako huo mzozo ulikuwepo jee yeye alifanya juhudi gani kuutatua? Wacha hizo
Msukule hautumii ubongo zaidi ya makalio
 
Sukuma gang mnapigika vibaya sana this time.
Unakuta hata we mwenyewe huna kitu zaidi ya uchawa na kuita wenzako sukuma gang sijui wewe unaitwa nani au ni matako gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…