Kwanini mgogoro wa Loliondo haukuibuka wakati Magufuli yupo hai? Hawa OBC ni akina nani? Kwanini Loliondo Gate? Mbona wanasiasa wa Oman?


Iwaondoe tena wapiga dili wakati iliwaweka kwa ajili hiyo?
 
Kwangu Magufuli was the Best President in the history of Tanzania
Tatizo hamkumpenda. Na kama mngempenda mngembia aache kutukana mkunga Angalia uzaz angalipo..unashindwaje kujua kuwa huwezi bila mabeberu. Nani hajui Hilo..

Mungu yupo, lkn ujue Siri ya Dunia. Tawala za siri duniani. Ukimpenda MTU just tell hem the truth.

Kanchi masking kama ketu, hutakiwi kujigamba gamba. Eti hauhitaji Msaada wa wazungu.

Isolation is impossible
 

Sawa tumekusikia mzee Nape Nauye!
 
Mzee wa watu huenda alifariki tu Kwa maradhi yake, lakini Kwa hizi satakasi zinazoendelea, unawezakujikuta unaamini tetesi kwamba kifo chale kina namna.
Mimi toka nilivyosikia kifo chake kuhusishwa na matatizo ya moyo, then wakaja na kauli nyingine tena ya covid-19, sina imani nao kabisa.
 
Duh! umeandika kishbiki sana, na huo ndio upeo wako unaotaka kuutumia kumponda mtu aliyeaminika na kufanya mambo makubwa yaliyochukua miaka mingi bila kufanyika.
Hao qabunge aliwateua na kuwapeleka bungeni yeye?😎
 
Amelewa madaraka mapema sana, i can't imagine huyu ndio sterling wetu mpaka 2030 mbona tutauzwa mchana kweupe. Ee mungu tunusuru na balaa hili la viongozi wasio maono na majizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…