Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #201
Hili bwabwa lisikusumbue linakunya hovyo.Msukule hautumii ubongo zaidi ya makalio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili bwabwa lisikusumbue linakunya hovyo.Msukule hautumii ubongo zaidi ya makalio
Lisu legend huyu
Hii awamu ya sita imeshindwa kabisa kuiondoa sifa ya "wapiga dili" waliyoanza nayo.
Na jamaa wanafiki wa ACT Wazalendo wote wapo kimya kuhusu hili suala, hakuna yeyote kati yao anayefungua mdomo.
Yule Fatma Karume na ile mihemko yake ya udini nae kimya, kapotea, naamini huko alikojificha ameshapata majibu ya nani mdini kati yake na wale aliokuwa anawasema.
Hovyoooo. Mama yangu kaingiaje hapa?Mama yako anashanga nyeupe na za bluu, nzuri sana
Who is Msigwa by the way? Nonsense
Wewe na mleta mada wote vijambio tuMsukule hautumii ubongo zaidi ya makalio
Na hii Rais alikuwa mumeo?Ukisikia waarabu wanawinda au wanapiga wamasai? Fuatilia tume ya Pm 2017 ilikuja na jibu gani.
Legacy ya jpm haifutwi kwa kwa kuzuia ....
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Tatizo hamkumpenda. Na kama mngempenda mngembia aache kutukana mkunga Angalia uzaz angalipo..unashindwaje kujua kuwa huwezi bila mabeberu. Nani hajui Hilo..Kwangu Magufuli was the Best President in the history of Tanzania
To me he was the worst president in the history of this country
Was worst president everKwangu Magufuli was the Best President in the history of Tanzania
Tatizo hamkumpenda. Na kama mngempenda mngembia aache kutukana mkunga Angalia uzaz angalipo..unashindwaje kujua kuwa huwezi bila mabeberu. Nani hajui Hilo..
Mungu yupo, lkn ujue Siri ya Dunia. Tawala za siri duniani. Ukimpenda MTU just tell hem the truth.
Kanchi masking kama ketu, hutakiwi kujigamba gamba. Eti hauhitaji Msaada wa wazungu.
Isolation is impossible
Kwangu Magufuli was the Best President in the history of Tanzania
Mimi toka nilivyosikia kifo chake kuhusishwa na matatizo ya moyo, then wakaja na kauli nyingine tena ya covid-19, sina imani nao kabisa.Mzee wa watu huenda alifariki tu Kwa maradhi yake, lakini Kwa hizi satakasi zinazoendelea, unawezakujikuta unaamini tetesi kwamba kifo chale kina namna.
Kwangu Magufuli ndie raisi asiyefaa kuliko maraisi wote waliomtangulia kuingoza Tanzania.Kwangu Magufuli was the Best President in the history of Tanzania
Wikipedia wanasema👇Kovidi tu wala msitafute mchawi nyinyi sukuma gang
Waporaji hawakuwepo, walikimbia mkono wa chuma, selikali mdebwedo ndiomana sasa wamerudi kupora.Kwani alikuw hajui kuwa kuna mgogoro ambao haujapata ufumbuzi?
Mbona wao hawakujitokeza kuidai kama ilikuwa ni mali yao? kwanini iwe sasa?Mbona hakubatilisha mkataba wa hao waarabu, mbona hakuwafukuza? Nonsense
Duh! umeandika kishbiki sana, na huo ndio upeo wako unaotaka kuutumia kumponda mtu aliyeaminika na kufanya mambo makubwa yaliyochukua miaka mingi bila kufanyika.Narudia Magufuli hakuwa na upeo. Kwani unadhani mtu asiye na upeo kuna mambo hapatii angalau kwa muda? Kutokuwa na upeo ni kutoweza ku-focus na kuona miaka kumi baadae au kama alivyokuwa rais, kutokuweza kujua akiondoka mambo yatakuwaje! Kwa kifupi alitakiwa kuona beyond his time as a president! Hivi rais mwenye upeo atataka wabunge wote wawe wa chama kimoja? Hivi rais mwenye upeo atasema watu wanaohoji elimu yake au kumkosoa wauawe?
Amelewa madaraka mapema sana, i can't imagine huyu ndio sterling wetu mpaka 2030 mbona tutauzwa mchana kweupe. Ee mungu tunusuru na balaa hili la viongozi wasio maono na majizi.Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?
Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?
Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.