Kwanini mgogoro wa Loliondo haukuibuka wakati Magufuli yupo hai? Hawa OBC ni akina nani? Kwanini Loliondo Gate? Mbona wanasiasa wa Oman?

Haya ndio baadhi ya matakataka ya Mzee Ruksa ambae kuna watu wanamuona wa maana sana!

Nimemsikia Lissu akisema Mwinyi aulizwe kuhusu jambo hili, maana yeye ndie aliyeanzisha kuwekwa mfukoni na Mwarabu kwa kuiuza Loliondo akiacha wananchi wakiteseka.

Huenda Mungu amemuweka hai ili aone mateso aliyoyaanzisha kwa wananchi wasio na hatia kwa uroho tu wa pesa za Mwarabu...ili akifika mbinguni nae aungue bila kulalamika, awe ashajua kosa lake.
 
Halafu Wanzanzibari ndo wanauza mali asili zilizopo bara.. Hii ya Ngorongoro si aliuza Mwinyi hii..!! Tena huku Zanzibar ikijiunga na OIC
 
Hapa tunaongelea rais wa JMT kuwa ni mama Samia.

Kama unataka kuongelea Jpm huna nafasi hiyo maana tayari alishamaliza mwendo.

Ebu tutolee huo ujinga wako na ukabila uliokujaa kwenye damu wewe Mushuuti.
 
Mzee wa watu huenda alifariki tu Kwa maradhi yake, lakini Kwa hizi satakasi zinazoendelea, unawezakujikuta unaamini tetesi kwamba kifo chale kina namna.
Kovidi tu wala msitafute mchawi nyinyi sukuma gang
 
Wewe ni mnyarwanda inakuuma nini hata nchi ikiuzwa?
 

Dhalimu alijaza wabunge wa CCM bungeni kwa kisingizio kuwa ni wazalendo, mbona hawapingi kinachofanywa na serikali huko bungeni?
 
Mabomu mengi aliyo tega mwanakwendazake ndo yanamlipukia Mazaa, likiwepo hilo la Ngorongoro! Lakini, ukweli ni kwamba matatizo ya Ngorongoro yapo tangu zamani, kabla hata ya uhuru! Ukitumia huo mgogoro kumponda Mazaa, ni u-shortsightedness mindset tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…