Kwanini mgogoro wa Loliondo haukuibuka wakati Magufuli yupo hai? Hawa OBC ni akina nani? Kwanini Loliondo Gate? Mbona wanasiasa wa Oman?

Dhalimu alijaza wabunge wa CCM bungeni kwa kisingizio kuwa ni wazalendo, mbona hawapingi kinachofanywa na serikali huko bungeni?
Acha pumba zako. Alijaza kivipi? Aliwakodia basi liwapeleke Bungeni? Mbunge akiwa bungeni anatumia akili za mtu mwingine kutetea maslahi ya umma?
 
Mabomu mengi aliyo tega mwanakwendazake ndo yanamlipukia Mazaa, likiwepo hilo la Ngorongoro! Lakini, ukweli ni kwamba matatizo ya Ngorongoro yapo tangu zamani, kabla hata ya uhuru!
Acha kupotosha umma. Tumepata uhuru mwaka 1961 sakata la Ngorongoro limeanza mwaka 1993.
 
Acha pumba zako. Alijaza kivipi? Aliwakodia basi liwapeleke Bungeni? Mbunge akiwa bungeni anatumia akili za mtu mwingine kutetea maslahi ya umma?

Unadhani ukipanic ndio inaondoa ukweli kwa dhalimu alijaza wabunge wa CCM bungeni, lengo ni ili wabadili katiba ili yeye aendelee kukaa madarakani zaidi ya 10yrs? Matokeo yake yeye yuko ahera madukani muda huu, kisha katuachia bunge kibogoyo ambalo haliwezi kuhoji uhuni wowote wa serikali. Kibaya zaidi mpaka mbunge wa jimbo husika yuko kimya, na hata yeye hajahama huko ngorongoro kwenda handeni ambako wananchi anaowakilisha wanatakiwa wahamie.
 
Kuwahamishia wamasai kwenye makazi ya 'mjini'ni kuwadhulumu haki yao! Wao wanahitaji uhuru wa kufanya mila na desturi zao. Wanahitaji kukimbia na kuruka hukohuko maporini. Kuwajengea nyumba na kuwalazimisha kuishi maisha ya kisasa ni uonevu.
Wataruhusiwa kwenda na mbawa zao, wakitaka kuruka wataruka tu.
 
Hilo la kubadili katiba unapotosha, mzalendo namba moja hakuwahi kuwazia hilo. Wabunge walichaguliwa na wananchi. Wao wanatakiwa wawe na meno kwa maslahi ya taifa. Usimsingimzie mzalendo namba moja. Sasa hivi mnauzwa kama nguruwe.
 
Kwenye kitabu chake kwani hakugusia habari ya Loliondo?
 
JPM was for the people, aliweka maslahi ya watanzania Kwanza.
 
Hata ww ukisema inatosha hakuna haja ya hao uliowataja
 
Sasa unafikiri huyo mzee ruksa anajali

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Hata huyo marehemu wako hana lolote,kama unakiri kuwa mzozo huo upo tangu enzi za Mwinyi ikimaanisha hata wakati wake huyo mtu wako huo mzozo ulikuwepo jee yeye alifanya juhudi gani kuutatua? Wacha hizo
Uliusikia? Au unaibuliwa pale wanapokaa walamba asali? Mlishasema kila awamu na maamzi yake, wakati wa JPM waliotaka eneo walikaa kimya we ulitaka awafuate hukohuko? Wakati wa vasco da gama wameona warudi kwa kasi maana wanaona ni fursa kubwa kupata kupitia walegevu hawa.
 
Kipindi cha Jiwe,
Waarabu walikimbia kwa kasi ya 5G
Sijui waarabu gani unawaongelea lakini ninaowafaham nami nikiwa mmojawapo tupo na tutaendelea kuwepo na hakuna yoyote atayeondoka pole sana
 
Sukuma gang mnapigika vibaya sana this time.
Kwa hiyo wamasai wanaopigaka nao ni sukuma gang? Huna hoja kaa pembeni na kauli za sukuma gang hapa. Vasco da gama atashuhudia mengi we subiri ujionee tu, kuna wakati atarudi kwa wananchi kuwaomba na hutoamini kuwa hata dola zinashindwa mbele ya wananchi waliochoka na uonevu kama wanaofanyiwa wamasai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…