Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #41
Acha pumba zako. Alijaza kivipi? Aliwakodia basi liwapeleke Bungeni? Mbunge akiwa bungeni anatumia akili za mtu mwingine kutetea maslahi ya umma?Dhalimu alijaza wabunge wa CCM bungeni kwa kisingizio kuwa ni wazalendo, mbona hawapingi kinachofanywa na serikali huko bungeni?