Kwanini mgogoro wa Loliondo haukuibuka wakati Magufuli yupo hai? Hawa OBC ni akina nani? Kwanini Loliondo Gate? Mbona wanasiasa wa Oman?

Lissu mwenyewe anapojea posho kutoka kwa wamarekani wenye kitalu cha uwindaji Ngorongoro, na alishikishwa na hao wamarekani na radioing YAKE na ndugu the NYALANDU
 
Kwa nini wa masai wamefukuzwa na wapo ndani ya Nchi yao ?.Hii takataka ya LNG iwekwe wazi ili watu wajue kama inafaida kwetu na kama haina faida ifutwe kabisa .

Tumeona miradi mingi imekuwa ikichangia umaskini sana kwa kuwa huwa ni hasara kwa taifa kutokana na kukosa viongozi makini ambao hawasimamii rasilimali kama wa awamu ya sasa.mfano Gesi ya mtwara mnufaika ni beberu,dhahabu buzwagi,geita na kwingineko tumeachiwa mashimo tu beberu kachukua chake mapema na mingine mingi tu.Ni bora rasilimali isivunwe kuliko kusumbua watu kuwahamisha maeneo yao ya asili waiyozoea huku rasilimali ikinufaisha wawekezaji uchwara tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu ni kama
wanamuabudu Magufuli ndio
maana wanamsifu kwa kila kitu
kwao wao wanamuona
alikuwa mtakatifu hivyo yote
aliyoyafanya ni mazuri tu,
inashangaza sana.
Unashangaa wanaomuabudu Magufuli wakati kuna wengine wamekifanya miungu kabisa wao wanamuhukumu huyo Magufuli, wanamwita shetani hana jema hata moja na washamuhukumu motoni.
 
[emoji1787][emoji1787]
Umeandika kwa uchungu sana.
 
SUKUMA GANG MNA HASIRA VIBAYA SANA DADEEEKIIIIIII
 
Dhalimu alijaza wabunge wa CCM bungeni kwa kisingizio kuwa ni wazalendo, mbona hawapingi kinachofanywa na serikali huko bungeni?
Ndiyo maana watu walioona mbali walimdharau sana Magufuli kwa kitendo cha kuteua wabunge badala ya kuachia wananchi wachague. Unalazimisha sijui anayejiita babu Tale awe mbunge kwa manufaa au kumkomoa nani? Matokeo yake ndiyo haya.
 
JPM was for the people, aliweka maslahi ya watanzania Kwanza.
Magufuli alikuwa anajali wananchi wa kawaida. Ila tatizo ni kuwa upeo wake wa kuona mambo ulikuwa finyu sana. Kiufupi hakuwa na upeo wa kuweza kuongoza nchi halafu alikuwa mbishi, asiyependa kukosolewa na alipenda kutumia nguvu na hata kuua.
 
Kumbuka Pombe ni marehemu. Haisaidii chochote. Marehemu ni marehemu tu!
 
Unashangaa wanaomuabudu Magufuli wakati kuna wengine wamekifanya miungu kabisa wao wanamuhukumu huyo Magufuli, wanamwita shetani hana jema hata moja na washamuhukumu motoni.
Magufuli ni binadamu kama wengine ana mazuri yake na mabaya yake ninachoshangaa ni baadhi ya watu kukosoa kila kinachofanywa na uongozi uliopo madarakani kana kwamba ni Magufuli pekee ndio aliumbwa yeye pekee kuwa Rais.
 
Magufuli alikuwa anajali wananchi wa kawaida. Ila tatizo ni kuwa upeo wake wa kuona mambo ulikuwa finyu sana. Kiufupi hakuwa na upeo wa kuweza kuongoza nchi halafu alikuwa mbishi, asiyependa kukosolewa na alipenda kutumia nguvu na hata kuua.
Alitekeleza maono ya baba wa Taifa na kuwazidi wenzie unaowadhania wana maono makubwa
 
Ni ujinga kudhani nchi inaendelezwa na wawekezaji. Wavivu na wazembe ndiyo hudhani kualika wageni kwa wingi ndiyo kuendeleza nchi.
 
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.

Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
 
Magufuli alikuwa anajali wananchi wa kawaida. Ila tatizo ni kuwa upeo wake wa kuona mambo ulikuwa finyu sana. Kiufupi hakuwa na upeo wa kuweza kuongoza nchi halafu alikuwa mbishi, asiyependa kukosolewa na alipenda kutumia nguvu na hata kuua.
macho_mdiliko unaongea kwa chuki au unaleta ushabiki? Wewe ni mmoja ya wanaJF makini tumia akili zako vizuri.

Kwa reforms alizofanya kwa muda mfupi, alafu unasema hakuwa na uwezo wa kuongoza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…