Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ndio baadhi ya matakataka ya Mzee Ruksa ambae kuna watu wanamuona wa maana sana!
Nimemsikia Lissu akisema Mwinyi aulizwe kuhusu jambo hili, maana yeye ndie aliyeanzisha kuwekwa mfukoni na Mwarabu kwa kuiuza Loliondo akiacha wananchi wakiteseka.
Huenda Mungu amemuweka hai ili aone mateso aliyoyaanzisha kwa wananchi wasio na hatia kwa uroho tu wa pesa za Mwarabu...ili akifika mbinguni nae aungue bila kulalamika, awe ashajua kosa lake.
Kwa nini wa masai wamefukuzwa na wapo ndani ya Nchi yao ?.Hii takataka ya LNG iwekwe wazi ili watu wajue kama inafaida kwetu na kama haina faida ifutwe kabisa .Hakuna atakayekufuza kwenye nchi yako. Tatizo la mawazo kama haya siku zote hayana ushawishi mbele ya watumakini kwani hayajitoshelezi.
Nani akufukuze ndani ya nchi yako mwenyewe?. Ataanzia wapi kufanya hivyo na wewe na viongozi wako mpo wapi mpaka mnafukuzwa au kugeuzwa watumwa ndani ya nchi yenu wenyewe?.
Maendeleo siku zote ni ujanja na utafutaji, ukikaa tu na utajiri wako utadumu na umasikini wako lazima ufanye movements za kueleweka ili angalau uweze kufaidika na hicho ulichopewa na Mungu.
Kama huna maendeleo ya kisayansi na huonyeshi juhudi ya kuyapata basi utakufa na umasikini wako, hakuna wa kuja kukuinua.
Kwamba kila anayekuja kutaka kuwekeza unamuita mwizi, huyo mwekezaji atakwenda nchi nyingine na kukuacha na ulofa wako.
Mbona hakubatilisha mkataba wa hao waarabu, mbona hakuwafukuza? NonsenseKipindi cha Jiwe,
Waarabu walikimbia kwa kasi ya 5G
Nitajie watu watano tu aliyowauwa.Wewe mbwiga kama ulimuona
hivyo usilazimishe kila mtu amuone hivyo. Kwangu mimi
yule ni shetani tu na huna
uwezo wa kunibadilisha nione
tofauti. Ndiyo maana huyo ibilisi
alikuwa anaua wenye
kutofautiana naye.
Unashangaa wanaomuabudu Magufuli wakati kuna wengine wamekifanya miungu kabisa wao wanamuhukumu huyo Magufuli, wanamwita shetani hana jema hata moja na washamuhukumu motoni.Kuna watu ni kama
wanamuabudu Magufuli ndio
maana wanamsifu kwa kila kitu
kwao wao wanamuona
alikuwa mtakatifu hivyo yote
aliyoyafanya ni mazuri tu,
inashangaza sana.
Haya ndio baadhi ya matakataka ya Mzee Ruksa ambae kuna watu wanamuona wa maana sana!
Nimemsikia Lissu akisema Mwinyi aulizwe kuhusu jambo hili, maana yeye ndie aliyeanzisha kuwekwa mfukoni na Mwarabu kwa kuiuza Loliondo akiacha wananchi wakiteseka.
Huenda Mungu amemuweka hai ili aone mateso aliyoyaanzisha kwa wananchi wasio na hatia kwa uroho tu wa pesa za Mwarabu...ili akifika mbinguni nae aungue bila kulalamika, awe ashajua kosa lake.
SUKUMA GANG MNA HASIRA VIBAYA SANA DADEEEKIIIIIIIKwa hiyo wamasai wanaopigaka nao ni sukuma gang? Huna hoja kaa pembeni na kauli za sukuma gang hapa. Vasco da gama atashuhudia mengi we subiri ujionee tu, kuna wakati atarudi kwa wananchi kuwaomba na hutoamini kuwa hata dola zinashindwa mbele ya wananchi waliochoka na uonevu kama wanaofanyiwa wamasai.
Ndiyo maana watu walioona mbali walimdharau sana Magufuli kwa kitendo cha kuteua wabunge badala ya kuachia wananchi wachague. Unalazimisha sijui anayejiita babu Tale awe mbunge kwa manufaa au kumkomoa nani? Matokeo yake ndiyo haya.Dhalimu alijaza wabunge wa CCM bungeni kwa kisingizio kuwa ni wazalendo, mbona hawapingi kinachofanywa na serikali huko bungeni?
Nikutanijie wewe kama nani? Ninachojua yeye yuko motoni sasa hiviNitajie watu watano tu aliyowauwa.
Kwa wenye busara alikuwa rais wa hivyo kuwahi kutokea na hatutafanya makosa kama yale kumpa mwehu uongozi wa nchiKwangu Magufuli was the Best President in the history of Tanzania
Magufuli alikuwa anajali wananchi wa kawaida. Ila tatizo ni kuwa upeo wake wa kuona mambo ulikuwa finyu sana. Kiufupi hakuwa na upeo wa kuweza kuongoza nchi halafu alikuwa mbishi, asiyependa kukosolewa na alipenda kutumia nguvu na hata kuua.JPM was for the people, aliweka maslahi ya watanzania Kwanza.
Si bora mwafrika mwenzetu kuliko waharabu wa kisiwani kutoka Oman kwa sultanKwenye ukoo wenu wa warundi
Kumbuka Pombe ni marehemu. Haisaidii chochote. Marehemu ni marehemu tu!Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?
Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?
Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
Magufuli ni binadamu kama wengine ana mazuri yake na mabaya yake ninachoshangaa ni baadhi ya watu kukosoa kila kinachofanywa na uongozi uliopo madarakani kana kwamba ni Magufuli pekee ndio aliumbwa yeye pekee kuwa Rais.Unashangaa wanaomuabudu Magufuli wakati kuna wengine wamekifanya miungu kabisa wao wanamuhukumu huyo Magufuli, wanamwita shetani hana jema hata moja na washamuhukumu motoni.
Alitekeleza maono ya baba wa Taifa na kuwazidi wenzie unaowadhania wana maono makubwaMagufuli alikuwa anajali wananchi wa kawaida. Ila tatizo ni kuwa upeo wake wa kuona mambo ulikuwa finyu sana. Kiufupi hakuwa na upeo wa kuweza kuongoza nchi halafu alikuwa mbishi, asiyependa kukosolewa na alipenda kutumia nguvu na hata kuua.
Ni ujinga kudhani nchi inaendelezwa na wawekezaji. Wavivu na wazembe ndiyo hudhani kualika wageni kwa wingi ndiyo kuendeleza nchi.Hakuna atakayekufuza kwenye nchi yako. Tatizo la mawazo kama haya siku zote hayana ushawishi mbele ya watumakini kwani hayajitoshelezi.
Nani akufukuze ndani ya nchi yako mwenyewe?. Ataanzia wapi kufanya hivyo na wewe na viongozi wako mpo wapi mpaka mnafukuzwa au kugeuzwa watumwa ndani ya nchi yenu wenyewe?.
Maendeleo siku zote ni ujanja na utafutaji, ukikaa tu na utajiri wako utadumu na umasikini wako lazima ufanye movements za kueleweka ili angalau uweze kufaidika na hicho ulichopewa na Mungu.
Kama huna maendeleo ya kisayansi na huonyeshi juhudi ya kuyapata basi utakufa na umasikini wako, hakuna wa kuja kukuinua.
Kwamba kila anayekuja kutaka kuwekeza unamuita mwizi, huyo mwekezaji atakwenda nchi nyingine na kukuacha na ulofa wako.
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?
Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?
Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
Ili ujue nilichoandika na wewe ni lazima upeo wako uwe juu.Alitekeleza maono ya baba wa Taifa na kuwazidi wenzie unaowadhania wana maono makubwa
macho_mdiliko unaongea kwa chuki au unaleta ushabiki? Wewe ni mmoja ya wanaJF makini tumia akili zako vizuri.Magufuli alikuwa anajali wananchi wa kawaida. Ila tatizo ni kuwa upeo wake wa kuona mambo ulikuwa finyu sana. Kiufupi hakuwa na upeo wa kuweza kuongoza nchi halafu alikuwa mbishi, asiyependa kukosolewa na alipenda kutumia nguvu na hata kuua.