Na hapa Una la kusema?Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?
Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?
Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
Taja watu watano tu(katika hao wengi) ambao unawajua wameuliwa na Magufuli? Au elezea uhusiano wa hao watu wengi na Magufuli na kisa cha kuwauwa.Magufuli aliamuru Ben
Saanane auawe. Alitaka Lissu
auawe. Na bado kuna wengine
wengi waliuawa maeneo ya
Ikwiriri.
Suffer In eternal flame Sagai galgano
Ni kawaida hata kipindi cha Magufuli kuna watu walikuwa wankosoa kwa kila jambo na kuona kuwa ndio rais wa hovyo kuwahi kutokea Tz, hawakuwa wakiona zuri hata moja kwa Magufuli.Magufuli ni binadamu kama
wengine ana mazuri yake na mabaya yake ninachoshangaa
ni baadhi ya watu kukosoa kila
kinachofanywa na uongozi
uliopo madarakani kana
kwamba ni Magufuli pekee ndio
aliumbwa yeye pekee kuwa
Rais.
Mjane bana. Si uende upalilie magugu na majani yaliota chato international Airport. Nakuondoa moulds kwenye arrival na departure lounge.Who is Msigwa by the way? Nonsense
Sasa kama huwezi tu kutaja japo watu watano aliyowauwa tunawezaje kuamini kuwa kweli yupo motoni hali ya kuwa wewe hujawahi kwenda huko motoni wala huna ushikaji na Mungu? Tutajie watu watano kama kweli alikuwa anauwa watu wengi ili tukuamini kwamba Jiwe yupo motoni kutokana na dhambi ya mauwaji.Nikutanijie wewe kama nani?
Ninachojua yeye yuko motoni sasa hivi
Mkuu si unaelewa maana ya tetesi?Usipate tabu, ni corona.
Kwa hiyo nikitaja tu ndiyo utaamini? Basi nikuambie kitu,mimi ndiye Baba yako halisi yule mwingine alipakaziwa tu.Sasa kama huwezi tu kutaja japo watu watano aliyowauwa tunawezaje kuamini kuwa kweli yupo motoni hali ya kuwa wewe hujawahi kwenda huko motoni wala huna ushikaji na Mungu? Tutajie watu watano kama kweli alikuwa anauwa watu wengi ili tukuamini kwamba Jiwe yupo motoni kutokana na dhambi ya mauwaji.
That's is obvious.Kwangu Magufuli was the Best President in the history of Tanzania
Mjane ana haha kama anakaribia kukata roho vileMjane bana. Si uende upalilie magugu na majani yaliota chato international Airport. Nakuondoa moulds kwenye arrival na departure lounge.
Nyau ww!
Huwa unakwepa sana kujibu maswali. Na unaelekeza chuki zako kwa hayati bila hata Logic
Lakini wazungu wauaji.Taarifa:
Ugandan's then....up to now have admirations to Iddi Amini. Hata kama hazipo hadharani!
Waganda leo wanamshukuru Iddi Amini kwa alivyowanyoosha wanyonya nchi. Aliziba mirija yote kule. Tofauti na hapa kwetu Tanzania, wafanyabiashara wengi wakubwa Uganda (so called billionaires) ni wazawa asili wa Uganda.
Back to what you asserted...utterly false, and just like the western media has propagated for years, they are doing(you) the same to the Late President J.P.M in an effort to instill hoja za uongo kuwa... Wazungu sio waovu, sio wanyonyaji! including "fear mongering" that if we do not adhere to your values, we are doomed!
Shame shame shame.
Siku ukijua kuwa kwenye Vita ya Uchumi kuna Majasusi wengi ndiyo utaelewa Nini maana ya Jasusi!!Kovidi tu wala msitafute mchawi nyinyi sukuma gang
JPM hakuwahi kuwa na uchungu wa mali za Taifa mbona mali nyingi alikuwa anapeleka kwao Chato?Nyerere alikuwa na uchungu wa mali za taifa kama hayati JPM
Naona The Sunk Cost FallacyUmeulizwa kwanini jambo halikuibuka enzi za Jiwe?
Hebu jibu hilo swali ewe mtu mwenye str3ss za jiwe
Najua huwezi kutaja hata watu watano tu aliyowauwa, imekuwa kama wimbo mliyoukariri tu kuwa ameuwa watu wengi ila hawatajwi hao watu na kuelezwa mahusiano ya hao watu na Magufuli na sababu za kuwauwa.Kwa hiyo nikitaja tu ndiyo
utaamini? Basi nikuambie kitu,mimi ndiye Baba yako halisi
yule mwingine alipakaziwa tu.
Wewe watu wote aliowachukua shetani unawajua??Acheni maswali ya kijinga jibu hoja kama Magufuri aliua au hakuua,mambo ya nitajie watu watano ukweli anaujua Magufuri mwenyewe pamoja na wapambe wake Makonda na Sabaya,Najua huwezi kutaja hata watu watano tu aliyowauwa, imekuwa kama wimbo mliyoukariri tu kuwa ameuwa watu wengi ila hawatajwi hao watu na kuelezwa mahusiano ya hao watu na Magufuli na sababu za kuwauwa.
Muda wote mnaimba wimbo wa kuwa Magufuli alikuwa anauwa sana watu ila ajabu hata watu watano tu huwajui ambao amewauwa, nyie ndio mlituambia Magufuli alichanja chanjo ya corona ya China kisirisiri ila alivyokufa nyie tena mnasema kafa kwa corona kisa alidharau corona na hakuchanja.
Mimi nitajie watu watano tu waliyouliwa na Magu.
Kwanin JPM hakufuta mkataba wa Hawa jamaa??Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?
Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?
Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.