Kwanini mgogoro wa Loliondo haukuibuka wakati Magufuli yupo hai? Hawa OBC ni akina nani? Kwanini Loliondo Gate? Mbona wanasiasa wa Oman?

Kwanini mgogoro wa Loliondo haukuibuka wakati Magufuli yupo hai? Hawa OBC ni akina nani? Kwanini Loliondo Gate? Mbona wanasiasa wa Oman?

Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?

Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?

Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.

Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
Na hapa Una la kusema?
 
Attachments

  • FB_IMG_1655038514381.jpg
    FB_IMG_1655038514381.jpg
    55.1 KB · Views: 4
Magufuli aliamuru Ben
Saanane auawe. Alitaka Lissu
auawe. Na bado kuna wengine
wengi waliuawa maeneo ya
Ikwiriri.
Taja watu watano tu(katika hao wengi) ambao unawajua wameuliwa na Magufuli? Au elezea uhusiano wa hao watu wengi na Magufuli na kisa cha kuwauwa.
 
Magufuli ni binadamu kama
wengine ana mazuri yake na mabaya yake ninachoshangaa
ni baadhi ya watu kukosoa kila
kinachofanywa na uongozi
uliopo madarakani kana
kwamba ni Magufuli pekee ndio
aliumbwa yeye pekee kuwa
Rais.
Ni kawaida hata kipindi cha Magufuli kuna watu walikuwa wankosoa kwa kila jambo na kuona kuwa ndio rais wa hovyo kuwahi kutokea Tz, hawakuwa wakiona zuri hata moja kwa Magufuli.
 
Nikutanijie wewe kama nani?
Ninachojua yeye yuko motoni sasa hivi
Sasa kama huwezi tu kutaja japo watu watano aliyowauwa tunawezaje kuamini kuwa kweli yupo motoni hali ya kuwa wewe hujawahi kwenda huko motoni wala huna ushikaji na Mungu? Tutajie watu watano kama kweli alikuwa anauwa watu wengi ili tukuamini kwamba Jiwe yupo motoni kutokana na dhambi ya mauwaji.
 
Kwa hiyo nikitaja tu ndiyo utaamini? Basi nikuambie kitu,mimi ndiye Baba yako halisi yule mwingine alipakaziwa tu.
 
Taarifa:
Ugandan's then....up to now have admirations to Iddi Amini. Hata kama hazipo hadharani!

Waganda leo wanamshukuru Iddi Amini kwa alivyowanyoosha wanyonya nchi. Aliziba mirija yote kule. Tofauti na hapa kwetu Tanzania, wafanyabiashara wengi wakubwa Uganda (so called billionaires) ni wazawa asili wa Uganda.

Back to what you asserted...utterly false, and just like the western media has propagated for years, they are doing(you) the same to the Late President J.P.M in an effort to instill hoja za uongo kuwa... Wazungu sio waovu, sio wanyonyaji! including "fear mongering" that if we do not adhere to your values, we are doomed!

Shame shame shame.
Lakini wazungu wauaji.
 
Kwa hiyo nikitaja tu ndiyo
utaamini? Basi nikuambie kitu,mimi ndiye Baba yako halisi
yule mwingine alipakaziwa tu.
Najua huwezi kutaja hata watu watano tu aliyowauwa, imekuwa kama wimbo mliyoukariri tu kuwa ameuwa watu wengi ila hawatajwi hao watu na kuelezwa mahusiano ya hao watu na Magufuli na sababu za kuwauwa.

Muda wote mnaimba wimbo wa kuwa Magufuli alikuwa anauwa sana watu ila ajabu hata watu watano tu huwajui ambao amewauwa, nyie ndio mlituambia Magufuli alichanja chanjo ya corona ya China kisirisiri ila alivyokufa nyie tena mnasema kafa kwa corona kisa alidharau corona na hakuchanja.

Mimi nitajie watu watano tu waliyouliwa na Magu.
 
Wewe watu wote aliowachukua shetani unawajua??Acheni maswali ya kijinga jibu hoja kama Magufuri aliua au hakuua,mambo ya nitajie watu watano ukweli anaujua Magufuri mwenyewe pamoja na wapambe wake Makonda na Sabaya,
 
Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?

Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?

Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.

Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
Kwanin JPM hakufuta mkataba wa Hawa jamaa??
 
Kuna jamaa kashusha madini hapa. Ni kizungumkuti kitupu huko Loliondo. Hao Ortello Business Corporation wamekata mpunga kwa CCM na Serikali.

Back
Top Bottom