FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Job Ndugai alishasema toka mwanzo, kwamba nchi itapigwa mnada hii, tukamsulubu, haya oneni sasa. Tunauzwa mchana kweupe kama mbuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ninyi mnaosema kauwa watu wengi mmejuaje ikiwa hata watu wachache tu aliyowauwa hamuwajui? Haiingii akilini labda kama unataka tu kuwa na imani kuwa Magufuli kauwa watu wengi kama kujifurahisha nafsi.Wewe watu wote aliowachukua
shetani unawajua??Acheni maswali ya kijinga jibu hoja
kama Magufuri aliua au
hakuua,mambo ya nitajie watu
watano ukweli anaujua
Magufuri mwenyewe pamoja
na wapambe wake Makonda
na Sabaya,
Utasubiri viongozi wa vyama mbalimbali wakusemee kero ambazo zipo kiaka nena rudi hazina utatuzi we kweli poyoyo kizazi weak sana hichi, acha watu waingie front labda serikali itasikia,Hii awamu ya sita imeshindwa kabisa kuiondoa sifa ya "wapiga dili" waliyoanza nayo.
Na jamaa wanafiki wa ACT Wazalendo wote wapo kimya kuhusu hili suala, hakuna yeyote kati yao anayefungua mdomo.
Yule Fatma Karume na ile mihemko yake ya udini nae kimya, kapotea, naamini huko alikojificha ameshapata majibu ya nani mdini kati yake na wale aliokuwa anawasema.
Kwa nini ujibu unavyotaka kwa utashi wako na kuweka chuki mbele kwa mzalendo namba 1?Najibu maswali utavyo kwani umeingia na marking scheme humu ndani?
Bora upeleke Mali Chato,kuliko kuzipeleka Arabuni au kuwapa wa Arabu!!!JPM hakuwahi kuwa na uchungu wa mali za Taifa mbona mali nyingi alikuwa anapeleka kwao Chato?
Tutajie hapa mali ambazo aliiba kwa taifa lake akazibeba kwenda Chato. Acha umalaya wa kipumbavu.JPM hakuwahi kuwa na uchungu wa mali za Taifa mbona mali nyingi alikuwa anapeleka kwao Chato?
Mume wenu yuko motoni kama vipi kunyweni sumu mumfuateNajua huwezi kutaja hata watu watano tu aliyowauwa, imekuwa kama wimbo mliyoukariri tu kuwa ameuwa watu wengi ila hawatajwi hao watu na kuelezwa mahusiano ya hao watu na Magufuli na sababu za kuwauwa.
Muda wote mnaimba wimbo wa kuwa Magufuli alikuwa anauwa sana watu ila ajabu hata watu watano tu huwajui ambao amewauwa, nyie ndio mlituambia Magufuli alichanja chanjo ya corona ya China kisirisiri ila alivyokufa nyie tena mnasema kafa kwa corona kisa alidharau corona na hakuchanja.
Mimi nitajie watu watano tu waliyouliwa na Magu.
Kwa nini ujibu unavyotaka kwa utashi wako na kuweka chuki mbele kwa mzalendo namba 1?
Kumbe unaweka chuki bila sababu? Nonsense huna akili, acha zako.Kama ww unavyoweka sifa mbele kuwa ni mzalendo namba moja, mimi ndio ninavyoweka chuki mbele kuwa alikuwa dhalimu ndani ya nchi hii.
[emoji2936]Kwangu Magufuli was the Best President in the history of Tanzania
Kumbe unaweka chuki bila sababu? Nonsense huna akili, acha zako.
Oterlo business Corporation ni akina nani? Na kwa nini wanalitaka hili eneo la Loliondo tokea miaka ya utawala wa Mwinyi?
Loliondo gate kuna nini? Kwa nini wakati wa hayati JPM haya masuala hayakuibuka?
Hawa OBC wana siri kubwa na nzito hawa sio watu wema.
Mkuu wa nchi anashiriki kutwanga vitu vizito raia maskini wasio na mbele wala nyuma.
Atoe wapi hiyo jeuri? Saudi Arabia ni wafadhili wakubwa Sana hapa Tanzania..Kwanin JPM hakufuta mkataba wa Hawa jamaa??
Namsifia bila sababu we huna macho? Huna macho juu ya uzalendo wake kwa taifa letu?Kwahiyo we unamsifia bila sababu? Toka lini shetani akakubaliwa?
NonsenseAtoe wapi hiyo jeuri? Saudi Arabia ni wafadhili wakubwa Sana hapa Tanzania..
Nani wa muhimu mfadhili au Masai? Kule Karatu kuna Kijiji kabisa cha Wazungu.
Namsifia bila sababu we huna macho? Huna macho juu ya uzalendo wake kwa taifa letu?