Unapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.
Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?
Are we serious?
Tuanzie kwa MTU mmoja mmoja, wengi wetu tunapenda short cut kwenye Mambo ya msingi, kijana anatoka chuo Leo, anatska kesho, apate ajira TRA, anunue gari,amiriki mjengo, na demu mkari ndani ya mwaka mmoja! Tunapenda vitu vikubwa bila kutoa jasho,
Sasa hata serikali zetu ni hivyo hivyo, wakiona mzungu analeta mipesa yake kudhamini mkutano,wanaona poa tu, Bora zije zitumike za wazungu, haina haja ya kuumiza vichwa Ku tafuta za, k wetu, Bora za kupewa kiu raini, ili za kwetu tuzitumbue tu,
Kwa, kupenda vya dezo,ndio maana agenda zetu zote zinapangwa ulaya, tutazungumza saaana lakini tukija kwenye utekelezaji, tutafanya wanachoamua mabwana zetu waliotoa mkwanja,