Kakijana
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 726
- 3,345
Kuwa mpuuzi wa kuita watu wapuuzi kama unavyoita wenzio hapa huo ni upuuzi halisi...sema hujaelewa ulichojibiwa mkuu..labda mda uliosoma quote ulikua haupo kwenye mood ya JF....Huwa siwajibu wapuuzi kama wewe.
Kwa hiyo wameenda kujifunza vita?
Huelewi hata nilichoandika unahorojoka ti hapa.
Hao niliokwambia unawaonea wivu sio matajiri wa kutupwa kama usemavyo...kawaida nchi zenye asili ya kijamaa matajiri ni wale wanaobebwa na serikali iliyopo madarakani...
Unachovutiwa nacho huko US na kutovutiwa na Urusi ni upenzi tuu wa nafsi yako, upenzi wa nafsi binafsi ndio unaofanya ww upende aina flani ya kitu na mwingine kukichukia kilekile..Sijasema US kaenda kujifunza vita kama unavyotuhumu kwa dharau hapa bali ameenda kucheza karata za siasa za ushawishi pale Ukrain hadi wewe kuona kua Urusi si lolote si chochote na ni masikini wa kutupwa matajiri wapo moscow tu.. urusi inaishi kwenye uchumi wake kwa kujitegemea rasilimali zake kwa 70% ila US uchumi wake inaishi kwa kutegemea unyonyaji kwenye rasilimali za nchi zingine kwa 80%
Hivyo US akikatiwa mawasiliano kama Urusi atadorora kiasi kwamba utaona aibu hapa kuongea chochote cha kujimwambafai km pro-US/nato...usipende kuita wengine wapuuzi kumbe upuuzi ni upeo wa ukionacho...