AU bado ni ombaomba tu, Isitoshe wanachama wake wapo dhoofu kiuchumiUnapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika tz umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.
Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?
Are we serious?
Anaelipa ndiye anaechagua wimbo. Ukiona hivyo mkutano huu una manufaa kwa westerns than to Africans. I can guess why nowKama Donald Trump aliwapa wakulima wa Iowa $28b zaidi ya 60Tillions, jua marekani wana hela saaaana, so kufadhili hivi vikao ni kawaida
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Ni aibu kubwa. Halafu mjadala wenyewe sasa kila mmoja anasimulia tu anavyotoa Elimu kwa watoto wa kike. It was too low for the heads of statesUnapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.
Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?
Are we serious?
Sidhani kama Kagame aliweza hata kuhudhuria tuUnapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.
Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?
Are we serious?
Ni hujuma ili viongozi wengi wa Afrika wasiende kukutana na Putin UrusiUnapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.
Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?
Are we serious?
Of the total budget, 38% is to be assessed on Member States while 61% will be from partners. The operating budget will be fully funded by Member States while the programme budget will be funded 41% by Member States and 59% solicited from international partners.Unapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.
Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?
Are we serious?
Dah[emoji1][emoji1]Ni aibu kubwa. Halafu mjadala wenyewe sasa kila mmoja anasimulia tu anavyotoa Elimu kwa watoto wa kike. It was too low for the heads of states
Hv urusi ndio takataka gani mbele ya mabeberu?Ni hujuma ili viongozi wengi wa Afrika wasiende kukutana na Putin Urusi
Kaka lengo ni kuwafanya viongozi wa Afrika wakose nafasi ya kuhudhuria safari ya kwenda Moscow.. aibu kubwa. Halafu mjadala wenyewe sasa kila mmoja anasimulia tu anavyotoa Elimu kwa watoto wa kike. It was too low for the heads of states
Huo ndio ukweli wenyewe, 100%. Viongozi wetu ni wajinga kiasi hiki?Hv urusi ndio takataka gani mbele ya mabeberu?
Viongozi makini kama Museven hawezi kuhudhuria mkutano ambao anajuwa umefadhiliwa na mashoga.Sidhani kama Kagame aliweza hata kuhudhuria tu
Afrika jamani!!!Of the total budget, 38% is to be assessed on Member States while 61% will be from partners. The operating budget will be fully funded by Member States while the programme budget will be funded 41% by Member States and 59% solicited from international partners.
Sasa hiyo 61% karibu 80% yake anatoa Marekani. Bajeti ya AU zaidi ya 61% wanatoa wafadhili kina World Bank na IMF na Marekani.
Nadhani sasa unaelewa.
Tuanzie kwa MTU mmoja mmoja, wengi wetu tunapenda short cut kwenye Mambo ya msingi, kijana anatoka chuo Leo, anatska kesho, apate ajira TRA, anunue gari,amiriki mjengo, na demu mkari ndani ya mwaka mmoja! Tunapenda vitu vikubwa bila kutoa jasho,Unapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.
Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?
Are we serious?
Mkuu Africa bdo tupo chini ya mabeberu tusidanganyane kwamba AU, SADC,EAC, na jumuiya nyingnezo Za kiafrika kwmb znajiendesha zenyewe, waafrika we have never been freeUnapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.
Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?
Are we serious?
Kagame Genius anajua Hakuna LA maanaSidhani kama Kagame aliweza hata kuhudhuria tu
Acha uchizi hivi wewe, Mseveni ndiye kiongozi makini kwako umakini wake uko kwenye nini wakati ni dikteta aliyekatalia madarakani, ujitambui hakuna rais makini au kiongozi makini Afrika wote ni wajinga tuKaka lengo ni kuwafanya viongozi wa Afrika wakose nafasi ya kuhudhuria safari ya kwenda Moscow
Huo ndio ukweli wenyewe, 100%. Viongozi wetu ni wajinga kiasi hiki?
Viongozi makini kama Museven hawezi kuhudhuria mkutano ambao anajuwa umefadhiliwa na mashoga.
hiyo ndio sababu kubwa ila viongozi wenye akili wameenda Urusi kwani tofauti ya mkutano wa Urusi na huu uliofadhiliwa na benki ya dunia, wa Urusi unapenda kuzungumzia changamoto za uchumi wa Afrika na na na ya kuzitatua lakini huu wa benki ya Dunia unafanya waafrika waamini bila misaada na mikopo ya benki ya Dunia hawawezi kujitegemeaNi hujuma ili viongozi wengi wa Afrika wasiende kukutana na Putin Urusi
Museven amekatalia madarakani na CCM imekatalia madarakani, tofauti Iko wapi hapo? Akili zenyewe huna unajisemea TU. Lakini pia niambie Kuna tofauti kiuchumi, kidemokrasia, kimichezo, kielimu, kiafya, na kiviwanda kati ya Uganda ambako Museven amekatalia madarakani na Tanzania ambako tunaobadilisha Marais? Akili zenyewe unaungaunga.Acha uchizi hivi wewe, Mseveni ndiye kiongozi makini kwako umakini wake uko kwenye nini wakati ni dikteta aliyekatalia madarakani, ujitambui hakuna rais makini au kiongozi makini Afrika wote ni wajinga tu
Wataweza vipi nao ni wanafiki? Nilipoona hadi wale wanaojiita wanamajumui wa kiafrica wanamkana Gadafi nikajisemea "lama sabachtan", yale maono aliyokuwa amayabeba Gadafi alikufa nayo pale katika ardhi ya kwao hawa wengine ni wahuni tuUnapoitaja World Bank, IMF na WTO ni sawa na kuitaja Marekani na Ulaya Magharibi. Kama mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika uliofanyika Tanzania umedhaminiwa na Benki ya dunia maana yake umedhaminiwa na nchi ya Marekani.
Kwanini AU na waafrika wenyewe wameshiñdwa kuudhamini mktano wao?
Are we serious?