Kwanini mnakubali kuoa/kuolewa na wasiowapenda?

Nampenda vipi...ni kwamba anatuzidi nguvu sio kwamba twampenda. Tutampendaja wakati anatuelekeza kwenye mauti

Unaweza kumshinda kabisaaa hujadhamiria tuu
Hata wengine tulikua na mapungufu makubwa tuu tukadhamiria, wote tumepungukiwa lakini tunapambana
 
Sawa mkuu,nimekuelewa sana
 
Umenikumbusha ishu kama hiyo upande WA shemeji zangu....kuna shemeji yangu mmoja alisema aliolewa na mtu asiyempenda na ilifika kipindi alikuwa akiwa bafuni analia....lkn baadae anasema alikuja kumzoea na kumpenda...dah inafikirisha sana!
Ana moyo sana,yupo vizuri sana
 
Unaweza kumshinda kabisaaa hujadhamiria tuu
Hata wengine tulikua na mapungufu makubwa tuu tukadhamiria, wote tumepungukiwa lakini tunapambana
Aisee ngoja nikutafute unipe tips za jinsi ya kufhamiria
 
Yeah,ndoa ni furaha🤜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…