Kwanini mpaka sasa sipati ukimwi?

Kwanini mpaka sasa sipati ukimwi?

Kuna wakati nilisoma utafiti kuhusu sex workers wa Nairobi waliokuwa wanajamiana bila kinga na hawakupata HIV.

Ikawa inasemwa kwamba kuna watu wana vinasaba (genes) vinavyowafanya wasipate maambukizi.

Labda na wewe una vinasaba hivyo.
vinaitwaje hivi vinasaba nivitafute google ama kuna kipimo cha kupima ili kujua kiranga?
 
Nisikitika sana mpaka leo Hatujui kisa kidogo kama chako. Wasomi na wanasayansi wetu wanasubiri kuteuliwa tu. HIV na Malaria tumewaachia wazungu waumize vichwa, walete majibu za tafiti zao na tiba pia. Swala lako kama ni kweli basi, tungekuona ukitumika katika tafiti. Ngoja tumwachie MUNGU NI MWEZA WA YOTE. Ujanja ni kuchanjwa corona ipo. Umechanja lakini?
 
Utakufa na hiyo chanjo yako ya zama za mawe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mnachanja chanjo ya awali wakati wenzenu wapo chanjo ya tano.
 
Nisikitika sana mpaka leo Hatujui kisa kidogo kama chako. Wasomi na wanasayansi wetu wanasubiri kuteuliwa tu. HIV na Malaria tumewaachia wazungu waumize vichwa, walete majibu za tafiti zao na tiba pia. Swala lako kama ni kweli basi, tungekuona ukitumika katika tafiti. Ngoja tumwachie MUNGU NI MWEZA WA YOTE. Ujanja ni kuchanjwa corona ipo. Umechanja lakini?
Swala langu ni la kweli mkuu.
Nimechanjwa leo baada ya kumaliza kupima HIV,kher ya mwaka mpya popote ulipo kaka mkubwa
 
vinaitwaje hivi vinasaba nivitafute google ama kuna kipimo cha kupima ili kujua kiranga?
Moja yavyo, mutation yake, imeandikwa hapa na jarida la Nature, lakini hivi ni kwa wazungu zaidi.

Inawezekana kuna kitu kama hicho kwa Waafrika.

Hupati maana hujakutana na waathirika imagine tuko milion 60 walio athirika hawafikii milion tano, Hadi huupate ujue umekubuhu mno kupita kiasi
🤣🤣...Umetisha sana, unasoma tu Heading kuokoa muda
 
Kiongozi hapo umeonyesha kabisa kuwa muathirika anatumia dawa kwa hiyo hapo nadhani wewe kiongozi elimu ya huu ugonjwa kuna sehemu hujaielewa.Kinashokukinga wewe kutopata ugonjwa ni mke wako kutumia dawa kikamilifu. Sikushauri ufanye hili ila unaweza ku test zali kwa kumwambia aache kutumia dawa kisha uendelee kupiga show bila kinga,utakuja kutupa mrejesho hapa fasta.
 
Nimewahi kusikia kuwa Mwathirika anayetumia dawa za kufubaza Virus (ARV) kwa usahihi yuko kwenye nafasi ndogo sana ya kuambukiza wengine.

Kwa maana zile dawa hupunguza kwa kiasi kikubwa wingi Wa Virusi kwenye Damu ya Muathirika.

Wataalamu watafafanua zaidi.
 
Hupati maana hujakutana na waathirika imagine tuko milion 60 walio athirika hawafikii milion tano, Hadi huupate ujue umekubuhu mno kupita kiasi
Huku ndio kusoma kichwa Cha habari na kukoment! Huwezi kunyamanza Kama huna Cha kuandika
 
Huku ndio kusoma kichwa Cha habari na kukoment! Huwezi kunyamanza Kama huna Cha kuandika
[emoji23][emoji23][emoji23]scan reading unaijua, wewe title tu inatosha kuliko kujichosha na long paragraphs, hafu kwanini wewe usi comment unachokijua Sasa mfyuuu
 
Nasikia lakini ety ukitoka kufanya sex kuna ule uchafu huwa unaingia kwenye tobo la uume ukikaa kwa muda mrefu na ukawa na mchubuko unaweza ukapata ndomana wengi baada ya kujamiiana wanaenda kukojoa ili kuua virus wanaokuwa kwenye hizo njia
 
Back
Top Bottom