cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Hatariii tupuuuWakiifungia X Mange atahamia mtandao mwingine !
So which is which ?!?!?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatariii tupuuuWakiifungia X Mange atahamia mtandao mwingine !
So which is which ?!?!?!
Shida machawa kila wakileta hoja mfu kule wanashushiwa za kichwa ,mtandao wa X kule ni jamuhuri kamili watu wapo serious sana , sasa machawa kutokana na uwezo wao mdogo wa kujenga hoja kule wapo kulialia , at x ifungiwe kwamba inaleta ualibifu katika jamii ila cha ajabuKatika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika kuhamasisha mabadiliko na kutoa maoni. Hata hivyo, kumekuwa na upinzani mkubwa kutoka kwa baadhi ya viongozi wa dini na serikali dhidi ya Twitter, wakidai kwamba ina athari hasi kwenye maadili na utamaduni wa Kitanzania.
Leo viongozi wa dini wameeleza wasiwasi wao kwamba Twitter inachangia katika kuharibu maadili ya vijana kwa kuruhusu na kukuza maudhui yanayohusiana na ushoga na mahusiano ya jinsia moja, ambayo yanakinzana na maadili, mila, na desturi za Kitanzania. Wametoa wito kwa serikali kuchukua hatua za makusudi kufungia mtandao huo ili kulinda maadili ya taifa.Kwa upande mwingine, kumewahi kuwa na ripoti kwamba serikali imetumia sera ya hakimiliki ya Twitter kama njia ya kunyamazisha wanaharakati. Hii inaonesha kwamba Twitter inaweza kuwa inapigwa vita si tu kwa sababu za maadili, bali pia kama njia ya kudhibiti uhuru wa kujieleza na kukosoa serikali.Hata hivyo, yapo maswali ya msingi ya kujadili kama jamii ikiwa pamoja na;Mjadala huu unalenga;
Je, ni sahihi kwa serikali na viongozi wa dini kupinga matumizi ya Twitter kwa misingi ya maadili na utamaduni? Je, kuna njia mbadala za kushughulikia wasiwasi wa maadili bila kuzuia uhuru wa kujieleza? Je, ni jukumu la nani kuhakikisha kwamba maadili na mila za Kitanzania zinalindwa katika zama za utandawazi?
Kutoa nafasi kwa wanajamii kueleza maoni yao kuhusu sababu za Twitter kupigwa vita nchini Tanzania, na iwapo inapaswa kufungiwa. Kujadili uwiano kati ya kulinda maadili na uhuru wa kujieleza katika jamii. Kupata maoni mbalimbali kuhusu jinsi gani jamii inaweza kulinda maadili yake katika zama za utandawazi bila kuzuia maendeleo ya teknolojia.Nakaribisha michango yenu yenye tija na hoja zenye mantiki kwa mjadala huu muhimu unaogusa dhana ya haki na uhuru wa kujieleza kwa kila
ANGALIZO
Mjadala huu umetengenezwa kwa lengo la kujadili masuala muhimu yanayoathiri jamii yetu. Tunaheshimu maoni na imani za kila mtu na tunasisitiza mjadala wenye heshima na staha.
Pia unaweza kusoma :Threads: "Uvccm Waitaka Serikali Kuifungia X Zamani Tittwer".
This is very true📌Ni sawa na watu kusema ooh telegram kumejaa watu wanajiuza, kuna watu wanataman wawaone hao wanaojiuza telegram ila hawawaoni maana ni hadi usearch, sometimes uwe na connection ama ulipie kabisa kupewa link..
Ko unakuja kuona kwamba ni mtu mwenyewe kwa tamaa zake kasearch makitu ya ajabu, nafsi yake ikianza kumsuta kua anafanya dhambi basi anawatupia lawama wengine na sio yeye.
Umeangalia porn mwenyewe, umejichukulia sheria mkononi mwenyewe, kwenye kujuta unaanza kuilaumu telegram au X.
📌📌Tiktok hawaigusi wakati ndo mtandao hatari sana
Ukiona hivyo ujue watu wako 'obsessed' na sex. Mbona mimi sina huo muda wa kuangalia hizo 'online products' na hata sijui kama zipo? Sasa wao wanapekenyuapekenyua mpaka wamezipata na kuziangalia, walikuwa wakitafuta nini kama siyo wateja? Hizi products zina wateja wake na pengine na hawa wanapojifanya wanachukia hayo mambo na wao wamo. Na haya mambo yanayoonekana mtandaoni ina maana yako kwenye jamii in the first place. Huwezi kuyapiga vita mtandaoni kama yameshamiri kwenye jamii, kama hujayapiga vita kwenye jamii, ni kujidanganya, huwezi kufanikiwa. Kufanikiwa ni mpaka yasiwepo kwenye jamii. Vinginevyo yataendelea kuwepo hata kama mitandao yote itafungiwa na hata kuzuia watu wasiwasiliane kwa simu au barua pepeInamaana uhuru huo ndio chanzo cha kupigwa vita Tz? 🤔
Na machawa wote wameona ngao yao kubwa ni kusingizia mambo ya ushoga. 😂Shida machawa kila wakileta hoja mfu kule wanashushiwa za kichwa ,mtandao wa X kule ni jamuhuri kamili watu wapo serious sana , sasa machawa kutokana na uwezo wao mdogo wa kujenga hoja kule wapo kulialia , at x ifungiwe kwamba inaleta ualibifu katika jamii ila cha ajabu
Tiktok hawaigusi wakati ndo mtandao hatari sana
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika kuhamasisha mabadiliko na kutoa maoni. Hata hivyo, kumekuwa na upinzani mkubwa kutoka kwa baadhi ya viongozi wa dini na serikali dhidi ya Twitter, wakidai kwamba ina athari hasi kwenye maadili na utamaduni wa Kitanzania.
Leo viongozi wa dini wameeleza wasiwasi wao kwamba Twitter inachangia katika kuharibu maadili ya vijana kwa kuruhusu na kukuza maudhui yanayohusiana na ushoga na mahusiano ya jinsia moja, ambayo yanakinzana na maadili, mila, na desturi za Kitanzania. Wametoa wito kwa serikali kuchukua hatua za makusudi kufungia mtandao huo ili kulinda maadili ya taifa.Kwa upande mwingine, kumewahi kuwa na ripoti kwamba serikali imetumia sera ya hakimiliki ya Twitter kama njia ya kunyamazisha wanaharakati. Hii inaonesha kwamba Twitter inaweza kuwa inapigwa vita si tu kwa sababu za maadili, bali pia kama njia ya kudhibiti uhuru wa kujieleza na kukosoa serikali.Hata hivyo, yapo maswali ya msingi ya kujadili kama jamii ikiwa pamoja na;Mjadala huu unalenga;
Je, ni sahihi kwa serikali na viongozi wa dini kupinga matumizi ya Twitter kwa misingi ya maadili na utamaduni? Je, kuna njia mbadala za kushughulikia wasiwasi wa maadili bila kuzuia uhuru wa kujieleza? Je, ni jukumu la nani kuhakikisha kwamba maadili na mila za Kitanzania zinalindwa katika zama za utandawazi?
Kutoa nafasi kwa wanajamii kueleza maoni yao kuhusu sababu za Twitter kupigwa vita nchini Tanzania, na iwapo inapaswa kufungiwa. Kujadili uwiano kati ya kulinda maadili na uhuru wa kujieleza katika jamii. Kupata maoni mbalimbali kuhusu jinsi gani jamii inaweza kulinda maadili yake katika zama za utandawazi bila kuzuia maendeleo ya teknolojia.Nakaribisha michango yenu yenye tija na hoja zenye mantiki kwa mjadala huu muhimu unaogusa dhana ya haki na uhuru wa kujieleza kwa kila
ANGALIZO
Mjadala huu umetengenezwa kwa lengo la kujadili masuala muhimu yanayoathiri jamii yetu. Tunaheshimu maoni na imani za kila mtu na tunasisitiza mjadala wenye heshima na staha.
Pia unaweza kusoma:
Kiukweli dunia Ina endelea kwa Kasi lakini si Kila maendeleo lazima tuya pokee mengine tuna paswa kuya acha yapite Kama yatakuwa Yana tweza utu wetu/kuingilia na kuvuluga tamaduni zetuKatika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekuwa ikishuhudia mijadala mikali kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii, hasa Twitter, ambayo imekuwa ikichukuliwa kama mtandao wenye nguvu katika kuhamasisha mabadiliko na kutoa maoni. Hata hivyo, kumekuwa na upinzani mkubwa kutoka kwa baadhi ya viongozi wa dini na serikali dhidi ya Twitter, wakidai kwamba ina athari hasi kwenye maadili na utamaduni wa Kitanzania.
Leo viongozi wa dini wameeleza wasiwasi wao kwamba Twitter inachangia katika kuharibu maadili ya vijana kwa kuruhusu na kukuza maudhui yanayohusiana na ushoga na mahusiano ya jinsia moja, ambayo yanakinzana na maadili, mila, na desturi za Kitanzania. Wametoa wito kwa serikali kuchukua hatua za makusudi kufungia mtandao huo ili kulinda maadili ya taifa.Kwa upande mwingine, kumewahi kuwa na ripoti kwamba serikali imetumia sera ya hakimiliki ya Twitter kama njia ya kunyamazisha wanaharakati. Hii inaonesha kwamba Twitter inaweza kuwa inapigwa vita si tu kwa sababu za maadili, bali pia kama njia ya kudhibiti uhuru wa kujieleza na kukosoa serikali.Hata hivyo, yapo maswali ya msingi ya kujadili kama jamii ikiwa pamoja na;Mjadala huu unalenga;
Je, ni sahihi kwa serikali na viongozi wa dini kupinga matumizi ya Twitter kwa misingi ya maadili na utamaduni? Je, kuna njia mbadala za kushughulikia wasiwasi wa maadili bila kuzuia uhuru wa kujieleza? Je, ni jukumu la nani kuhakikisha kwamba maadili na mila za Kitanzania zinalindwa katika zama za utandawazi?
Kutoa nafasi kwa wanajamii kueleza maoni yao kuhusu sababu za Twitter kupigwa vita nchini Tanzania, na iwapo inapaswa kufungiwa. Kujadili uwiano kati ya kulinda maadili na uhuru wa kujieleza katika jamii. Kupata maoni mbalimbali kuhusu jinsi gani jamii inaweza kulinda maadili yake katika zama za utandawazi bila kuzuia maendeleo ya teknolojia.Nakaribisha michango yenu yenye tija na hoja zenye mantiki kwa mjadala huu muhimu unaogusa dhana ya haki na uhuru wa kujieleza kwa kila
ANGALIZO
Mjadala huu umetengenezwa kwa lengo la kujadili masuala muhimu yanayoathiri jamii yetu. Tunaheshimu maoni na imani za kila mtu na tunasisitiza mjadala wenye heshima na staha.
Pia unaweza kusoma:
Point to be considered 📌Na haya mambo yanayoonekana mtandaoni ina maana yako kwenye jamii in the first place. Huwezi kuyapiga vita mtandaoni kama yameshamiri kwenye jamii, kama hujayapiga vita kwenye jamii, ni kujidanganya, huwezi kufanikiwa. Kufanikiwa ni mpaka yasiwepo kwenye jamii. Vinginevyo yataendelea kuwepo hata kama mitandao yote itafungiwa na hata kuzuia watu wasiwasiliane kwa simu au barua pepe
Hahah watu wanampendea hivyo hivyo.Yupo, ila mlimtibua.
Shida ni matusi tu, angekua na staa ingekua buruda