Kwanini mtandao wa X (Twitter) unapigwa vita nchini Tanzania?

Shida machawa kila wakileta hoja mfu kule wanashushiwa za kichwa ,mtandao wa X kule ni jamuhuri kamili watu wapo serious sana , sasa machawa kutokana na uwezo wao mdogo wa kujenga hoja kule wapo kulialia , at x ifungiwe kwamba inaleta ualibifu katika jamii ila cha ajabu

Tiktok hawaigusi wakati ndo mtandao hatari sana
 
This is very trueπŸ“Œ
 
Sababu ni moja twitter ndo imeshika nafasi ya JF 2007-2017,

Jf baada ya 2017 si chochote si lolote
Yamejaa matangazo ya kuuza viwanja na uganga! JF kwa sasa HAINA tofauti na global publisher au Gazet la mwananchi!

ZILE be first to know haziko Tena JF, na JF si tishio Tena,

Nondo za zamani watu walizokiwa wanamwaga akina
Mchambuzi, Kashaija butege, Kalamu, Mkandara, kiranga, Mag33 siku hizi wakiziweka zinafutwa muda huo huo ,
Hivo kule X au twitter mtu ana ji moderate mwenyewe ! Atajua afiche vipi ID zake ! Lakin Mara nyingi kwa sasa mabadiliko makubwa ya Jamaa na elimu na ujuzaji wa Habari za kutisha yapo X

Kuna account ya Exmayor Ubungo, kuna account ya Tanzanialeakes, kuna account za akina Tanzania Abroad TV, na akina lema na wengine zinatema mambo Mpaka unashangaa kwamba kumbe nchi ndo ilivyo

Britanicca
 
Inamaana uhuru huo ndio chanzo cha kupigwa vita Tz? πŸ€”
Ukiona hivyo ujue watu wako 'obsessed' na sex. Mbona mimi sina huo muda wa kuangalia hizo 'online products' na hata sijui kama zipo? Sasa wao wanapekenyuapekenyua mpaka wamezipata na kuziangalia, walikuwa wakitafuta nini kama siyo wateja? Hizi products zina wateja wake na pengine na hawa wanapojifanya wanachukia hayo mambo na wao wamo. Na haya mambo yanayoonekana mtandaoni ina maana yako kwenye jamii in the first place. Huwezi kuyapiga vita mtandaoni kama yameshamiri kwenye jamii, kama hujayapiga vita kwenye jamii, ni kujidanganya, huwezi kufanikiwa. Kufanikiwa ni mpaka yasiwepo kwenye jamii. Vinginevyo yataendelea kuwepo hata kama mitandao yote itafungiwa na hata kuzuia watu wasiwasiliane kwa simu au barua pepe
 
Na machawa wote wameona ngao yao kubwa ni kusingizia mambo ya ushoga. πŸ˜‚
Hawana propaganda nyingine mpya zaidi ya hiyo πŸ™„πŸ€ 
Bure kabisa. πŸ™„πŸ€ 
 

Kiukweli dunia Ina endelea kwa Kasi lakini si Kila maendeleo lazima tuya pokee mengine tuna paswa kuya acha yapite Kama yatakuwa Yana tweza utu wetu/kuingilia na kuvuluga tamaduni zetu

Na katika hili ninge shauri pia ufanyike utafiti katika inchi ambazo Zina utumia mtandao huo pasipo tahadhari zozote

tuone nijinsi gani watu wake walivyo athilika kimatokeo chanya na hasi

Kisha ndipo tuangalie Kama mtandao huo uwepo au usiwepo inchini kwetu
 
Point to be considered πŸ“Œ
 
Hivi kuna tabia mbaya kuliko ufisadi na Wizi wa kodi za watanzania?
Ebu warejeshe haya maadili ya uwajibikaji wa viongozi na uaminifu kwanza haya ndo yanaathiri taifa zima.
Swala la ushoga ni mtu na marinda yake sio big deal kwetu sis wengine tunaotoa udenda tukiona mizigo ya watoto wazuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…