Kwanini Mungu hakumuua Shetani? Kuna haja sasa ya kuwepo na Bibilia ya Shetani?

Mbona unatoka njee ya mada yako mkuu???
 
Nashukuru kwa jibu lako zuri,
But kwanini ugomvi wa MUNGU na Shetani unakuja kumgharimu hadi Mwanadamu????? kwanini wasimalizane wao kwa wao???
Mwanadamu kapewa uwezo wa kumshinda shetani kwa maana shetani tayari anajua wapi atakapokuwa milele.
Shetani ataondolewa duniani milele na hatoweza wadanganya binadamu milele,huku Dunia ikiwa ni paradise.
Huku wengine sisi tukijitwalia bikira 72.
Mungu ni Mkuu kuliko shetani kwa kipimo cha nguvu ya imani cha 100 kwa 40.So shetani anaingia kwa Mungu mara 2 na nusu Ili kuweza kupata nguvu aliyonayo Mungu.
 
Hapo sijakuelewa,unamaanisha binadamu anaweza kumshinda Shetani????how???
 
Mkishavembewa ugali,hizi ndo mada zenu
Tatizo mnakimbilia kuvimbewa,
Je? Unayo hoja juu ya maswali hayo hapo juu????
Hoja gani! Mambo ya imaginations tangu lini zina hoja!?
 
Mkishavembewa ugali,hizi ndo mada zenu

Hoja gani! Mambo ya imaginations tangu lini zina hoja!?
Kwani wewe ulishawahi kumuona MUNGU???? kama sio imagination tu
 
Hapo sijakuelewa,unamaanisha binadamu anaweza kumshinda Shetani????how???
Kupitia msaada wa Mungu kwa kujiconect na nguvu za Mungu.
Tofauti ya nguvu Kati ya Mungu na shetani ni 100 kwa 40 kwa kipimo cha Iman..So shetani kwa Mungu anaingia mara mbili na nusu,40+40+20=πŸ’―
 
Kama ulishawahi kusikia "Curiosity killed the Cat" basi ndio kama hivyo yani
 
Iyo ni kwa upande wenu nyinyi kwa upande wetu cc tunajua lengo la kuumbwa kwetu sisi na majini ni kumuabudu tu muuba wetu hakuna kitu chengine na pia uwelewe sio majini wote ni waovu kuna wema pia kama tulivyo cc binadam.
Mungu akiabudiwa anapata faida gani wakati yeye ni muweza wa kila jambo.
 
Mungu akiabudiwa anapata faida gani wakati yeye ni muweza wa kila jambo.
M/Mungu hapati faida yoyote unapomuabudu bali faida unapata ww unaemuabudu na usipomuabud amekuandalia adhab kali sana ya moto utachomeka san uko sio kdg πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
M/Mungu hapati faida yoyote unapomuabudu bali faida unapata ww unaemuabudu na usipomuabud amekuandalia adhab kali sana ya moto utachomeka san uko sio kdg πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hivi vitisho sasa πŸ˜€πŸ˜€ vya kuchomwa moto, kwanini ugomvi wa MUNGU na Shetani unakuja kumgharimu hadi Mwanadamu?????
 
Hivi vitisho sasa πŸ˜€πŸ˜€ vya kuchomwa moto, kwanini ugomvi wa MUNGU na Shetani unakuja kumgharimu hadi Mwanadamu?????
Utakaemgharimu ni yule anefanya maasi tu na ukifanya maasi huna tofaut na uyo shetani alolaniwa πŸ˜‚
 
Hakuna vithibitisho vya kueleweka kuhusu hizo hadhithi za watu wa mashariki ya kati na Ulaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…