Huwezi pata majibu ya kisayansi kuhusu Mungu.Sayansi bado haina uwezo wa kujibu KILA kitu,hadi sasa sayansi imeweza kujibu asilimia 10 ya mambo yaliyopo duniani.Kwani wewe ulishawahi kumuona MUNGU???? kama sio imagination tu
Huu ndiyo uzi wa kumjadili Mungu.Amani ya Bwana na iwe nanyi nyote, Wakuu moja kwa moja kwenye mada nina maswali yangu yenye aa,ba na che, ambayo nitayawasilisha kwenye huu Uzi na kama una uelewa nayo ni vyema ukayajibu.
1:MUNGU wetu ni mweza wa yote, Je kwanini hakumuua Shetani? Badala yake akamshusha Duniani akae pamoja na wanadamu,Je? Mapenzi ya MUNGU wetu kwa mwanadamu ni yapi?
(b) Kipi ni rahisi kumtoa mwanao wa pekee?? Na mwanae wa pekee ametolewa je dhambi zimeisha????Au kumuua Shetani ambaye tunaamini ndiyo chanzo cha uovu, je hili MUNGU hakuliona hili ili kusudi dhambi iishe?
2(a) Bibilia inasema MUNGU wetu ni MUNGU mwenye wivu, Je? Wivu sio viashilia vya kuwa na roho mbaya??? Mbona mwanadamu ukiwa na wivu au husuda inaonekana wewe ni mtu mwenye dhambi??? Sasa kama mwanadamu Wivu amerithi kutoka kwa muumba wake iweje wivu kwa mwanadamu ni kosa?(dhambi).
(b) Bibilia inasema Shetani(Lucifer) alikuwa ni Malaika mkuu wa kusifu na kuabudu,ndugu watumishi namaanisha alikua anasifu balaa sasa na hakujua chochote kuhusu dhambi, Je? Hiyo roho ya kujiinua kutaka kumzidi Muumba wake ilitoka wapi?
3: Bibilia inasema MUNGU akamuuliza Shetani unatoka wapi?
Shetani akajibu natoka huko Duniani,
Watumishi wenzangu hawa wanapata muda wa kukaa na kututeta sisi(inafikirisha)
Hivyo basi nadhani huu ni muda mwafaka wa kuwa na vitabu viwili,
Shetani hajapewa nafasi ya kujipambanua tu na kumwaga sera zake pia, huenda tungeyajua mengi yaliyofichika, hapa namaanisha kuwepo na Bibilia ya MUNGU na Bibilia ya Shetani.
Mwisho kabisa: Mimi mfilisiti ukinikuta na pokea sakramenti ya Bwana hutoamini kuwa ndiyo mimi?ππ Mwisho wa siku haya mambo hayanabudi kutokea.
Asante kwa hoja nzuri,Huu ndiyo uzi wa kumjadili Mungu.
Yeye anatumia Roho wake Mwema kutufungua mipyo yetu na fahamu zetu tumjue yeye na kusudi lake kwenye maisha yetu.
Katika hili andiko lako, ni wazi kwamba dhambi ama kumkosea Mungu ni jambo linalokukera mnoo. Anachokitaka kwako ni kumuomba na kumtumainia Yeye ili uweze kuishinda dhambi.
Wivu wa Mungu ni tofauti na wivu tulionao sisi.
Yaani vitu vingine havina maana kwanza mungu alituumba sisi tuna faida gani nae kama si tusingekuwepo angepata hasara gani kama ye alituumba tumwambudu basi na yeye anatuhitaji vilevlieM/Mungu hapati faida yoyote unapomuabudu bali faida unapata ww unaemuabudu na usipomuabud amekuandalia adhab kali sana ya moto utachomeka san uko sio kdg πππ
M/Mungu akuhitaji kwa lipi kubwa ulilonalo ? Halaf pia utambue kabla ya kutumba cc binadam tayar alishaumba viumbe vyengine malaika na majini so ata asingelituumba cc binadam bado asingepat hasar yoyoteYaani vitu vingine havina maana kwanza mungu alituumba sisi tuna faida gani nae kama si tusingekuwepo angepata hasara gani kama ye alituumba tumwambudu basi na yeye anatuhitaji vilevlie
Nilishawahi kuwaza hivyo.Asante kwa hoja nzuri,
Mkuu hivi umeshawahi kuwaza kama MUNGU wetu angemuua Shetani ambaye ni chanzo cha uovu
ππ Hiyo paragraph ya mwisho ni Mimi kabisa, ukinikuta church utashangaa kwanini sijaenda seminari.Amani ya Bwana na iwe nanyi nyote, Wakuu moja kwa moja kwenye mada nina maswali yangu yenye aa,ba na che, ambayo nitayawasilisha kwenye huu Uzi na kama una uelewa nayo ni vyema ukayajibu.
1:MUNGU wetu ni mweza wa yote, Je kwanini hakumuua Shetani? Badala yake akamshusha Duniani akae pamoja na wanadamu,Je? Mapenzi ya MUNGU wetu kwa mwanadamu ni yapi?
(b) Kipi ni rahisi kumtoa mwanao wa pekee?? Na mwanae wa pekee ametolewa je dhambi zimeisha????Au kumuua Shetani ambaye tunaamini ndiyo chanzo cha uovu, je hili MUNGU hakuliona hili ili kusudi dhambi iishe?
2(a) Bibilia inasema MUNGU wetu ni MUNGU mwenye wivu, Je? Wivu sio viashilia vya kuwa na roho mbaya??? Mbona mwanadamu ukiwa na wivu au husuda inaonekana wewe ni mtu mwenye dhambi??? Sasa kama mwanadamu Wivu amerithi kutoka kwa muumba wake iweje wivu kwa mwanadamu ni kosa?(dhambi).
(b) Bibilia inasema Shetani(Lucifer) alikuwa ni Malaika mkuu wa kusifu na kuabudu,ndugu watumishi namaanisha alikua anasifu balaa sasa na hakujua chochote kuhusu dhambi, Je? Hiyo roho ya kujiinua kutaka kumzidi Muumba wake ilitoka wapi?
3: Bibilia inasema MUNGU akamuuliza Shetani unatoka wapi?
Shetani akajibu natoka huko Duniani,
Watumishi wenzangu hawa wanapata muda wa kukaa na kututeta sisi(inafikirisha)
Hivyo basi nadhani huu ni muda mwafaka wa kuwa na vitabu viwili,
Shetani hajapewa nafasi ya kujipambanua tu na kumwaga sera zake pia, huenda tungeyajua mengi yaliyofichika, hapa namaanisha kuwepo na Bibilia ya MUNGU na Bibilia ya Shetani.
Mwisho kabisa: Mimi mfilisiti ukinikuta na pokea sakramenti ya Bwana hutoamini kuwa ndiyo mimi?ππ Mwisho wa siku haya mambo hayanabudi kutokea.
Kwanini Mungu anataka tumwabudu??Iyo ni kwa upande wenu nyinyi kwa upande wetu cc tunajua lengo la kuumbwa kwetu sisi na majini ni kumuabudu tu muuba wetu hakuna kitu chengine na pia uwelewe sio majini wote ni waovu kuna wema pia kama tulivyo cc binadam.
Shetani yeye alimwiga nani kutenda dhambi?Dhambi azijaisha kwa sababu ya ukaidi wa mwanadamu anamuiga shetani
Kwa sababu lengo haswa la kuumbwa kwetu ni ilo na si jengineKwanini Mungu anataka tumwabudu??
Aliamua kuasi na kutaka kufanya mapinduzi ya kuchukua nafasi ya Mungu sababu anajua siriShetani yeye alimwiga nani kutenda dhambi?
Nani aliye mfunulia hiyo Siri??Aliamua kuasi na kutaka kufanya mapinduzi ya kuchukua nafasi ya Mungu sababu anajua siri
Ivi unajua kabla ya kuumbwa binadam malaika na majini walikuwa wanaka pamoj?Nani aliye mfunulia hiyo Siri??
Inshot kabla ya kuasi shetani alikua mtu poa tu πππIvi unajua kabla ya kuumbwa binadam malaika na majini walikuwa wanaka pamoj?
Kwanini asiseme mwenyewe? Kila siku anasemewa tu, Mimi nitajuaje kama the so called "maandiko matakatifu" ni ya kweli?Kwa sababu lengo haswa la kuumbwa kwetu ni ilo na si jengine
We ulikuwepoo?Ivi unajua kabla ya kuumbwa binadam malaika na majini walikuwa wanaka pamoj?
Sasa ww unataka asema kwa njia gan? Ikiwa vitabu vyake vitakatifu huviamini?Kwanini asiseme mwenyewe? Kila siku anasemewa tu, Mimi nitajuaje kama the so called "maandiko matakatifu" ni ya kweli?
Kuna dini zaidi ya 4000 duniani, una uhakika Gani na dini uliyokuwepo ndo sahihi?Sasa ww unataka asema kwa njia gan? Ikiwa vitabu vyake vitakatifu huviamini?