Kwanini Mungu na Shetani wasimalize tofauti zao?

Nani kakuambia emotioms hazithibitishiki?

Role ya Amygdala ni nini

Na nani kakuambia emotions haziko physical?

Na finally ni nai kakuambia hivyo havithibotishiki mpaka utumie kama mlango wa kuingizia habari zako za uzushi (roho&nafsi) kuwa vipo?
Nipe uthibitisho wa kuwepo hisia in their own form.
 
Hutapata jibu kwa kuwa ni "vitu vya kufikirika" hakuna uhalisia. Mf. Ukishindwa kupata jibu unakuwa na wazo la Mungu akilini, hivyo unamuumba Mungu ndani ya ibongo wako. Basi binadamu ndio waliomuumba Mungu.
 
Mpenda Amani na Mpenda wote alitengeneza sehemu ya Mateso ? Au hii kaitengeneza Shetani ? Na kama ni Shetani kaitengeneza kwahio yeye haitamsumbua ? Na kama Ni Mungu huoni this goes against mercy ? Yaani alitenga kabisa huku nitawaonyesha wale ambao hawakunifuata ?
 
Hicho chombo kinaweza kung'amua exact thing ambacho mtu anawaza au kinaonesha tu kwamba huu ubongo unayo mawazo.

Kama hakiwezi kuelezea exact thoughts basi kinapima dalili tu.
Ndio inawezekana kupitia FMRI

Na hata isingekuwa haiwezekani, isingethibitisha madai yako batili kuwa ni kweli
 
Hiyo iliwekwa na Mungu kwa ajili ya kumuadhibu shetani alipoasi. Kwenye spiritual world kila action ina consequences. Sheria ya uhai na mauti zipo pamoja ila kuna conditions zinazofanya sheria hizo zifanye kazi.

Mmea ukishikamana na ardhi yenye maji utaendelea kuwa hai ila ukitengana na ardhi basi wala Mungu hahitaji kuuua, unakufa automatically kama consequence ya kuacha ardhi.
 
Duh
 
Ndio inawezekana kupitia FMRI

Na hata isingekuwa haiwezekani, isingethibitisha madai yako batili kuwa ni kweli
Chombo chako unachokiamini sana kimekuangusha maana kinapima dalili za uwepo wa mawazo na sio mawazo yenyewe.

Kubali sasa uwepo wa reality beyond the physical world halafu umpokee Yesu akusamehe dhambi na kukupa uzima wa milele. Haya uyafanye kwa imani.
 
Huwa najiuliza kama wazungu wasingeleta dini waafrika tungemuuaje Mungu yupo au hayupo
 
Huwa najiuliza kama wazungu wasingeleta dini waafrika tungemuuaje Mungu yupo au hayupo
Wafrika walikuwa wanamwabu Mungu kama kawaida tatizo lao hawakuweka mafundi yake pamoja.

Amri kumi zote zilikuwepo na zilifuatwa kama kawaida na mababu zetu.

Ndio maana kulikuwa na Majina ya Mungu kwenye lugha ya kienyeji kabla ya kuja kwa wazungu.

Neno Kilima-njaro maana yake mlima wa Mungu.
 
Mkuu chanzo cha uhai ni nini?
Kwa nini swali hili ni muhimu katika mjadala wa kuwapo Mungu?

Naweza kukuambia kwamba chanzo cha uhai si huyo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote. Kwa sababu ingekuwa hivyo, hao viumbe wake anaowapenda wasingekufa kikatili kama wanavyokufa sasa.

Naweza kuwa sijui chanzo cha uhai ni nini, lakini nikajua si Mungu.

Naweza kujua square root ya 2 si 10, bila kujua square root ya 2 ni nini.

Naweza kujua mtu mwenye miaka 30 leo hawezi kuwa na mama mzazi mwenye miezi 6 leo, bila ya kumjua mama mzazi wa huyo mtu.

Sasa, mimi nakwambia huyu mtu ana miaka 30 leo, hawezi kuwa na mama mzazi mwenye miezi 6 tu leo, it is against the laws of logic.

Wewe unaniuliza, sasa kama mama yake si huyu mwenye miezi 6, mama yake ni nani?

Mimi sihitaji kumjua mama yake huyu mtu mwenye miaka 30 ni nani ili kujua kwamba huyu wa miezi 6 hawezi kuwa mama mzazi wa mtu mwenye miaka 30.
 
Mungu yupi huyo unaemsemea
Zamani watu waliwatambikia mababu zao waliokwisha fariki zamani
 
Kwahio uwepo wa reality beyond physical world kama upo kwanini tusikubali chochote kile cha kufikirika ? Kwanini tusikubali mizimu ya mababu zetu au Krishna wa wahindi na tumuamini messiah wa wayahudi ?

Why is any of this superior than the other..., ukizingatia option unayonipa kwamba nikifanya mazuri huku kinachonisubiri ni maisha ya kuimba na kusifia to infinity ?!! Huoni kwa mie nisiyependa kuimba kwamba huenda alternative Imani ya Wasabato kwamba nitalala milele bila kufufuka is a better option ?
 
Usi flip hoja yangu. Hakuna sehemu nimeandika habari za dalili

Hayo ni maneno yako binafsi na wala hayahusiani na majibu yangu
 

Ibilisi alijuaje kuwa Ulimwengu ulioumbwa na Mungu Una mwisho?
Kumbuka tukio hilo linatokea Adamu alikuwa hajaasi, na Eva bado hajaumbwa
Unaweza kufafanua hapo
 
Na je anapanga pia jinsi ya kukuondoa ? Kwamba huyu afe akiwa tumboni baada ya mama kuhangahika miezi tisa ? (Na sio kwamba mama alikuwa mpiga tungi na kufanya mambo ya kuhatarisha mimba) !!!
 
And this was pre-arranged yaani alijua yote haya yatatokea au alikuwa taken by surprise hence hajui kila kitu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…