Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Yap mfano wa treni = DuniaKwanza unapaswa ukubuke kuwa hakuna claim iliyowahi kuletwa na Mungu
Si yako wala ya wengine iliyowahi kuletwa na Mungu
Ila kuna maandishi yanayodaiwa kuwa ni claim kutoka kwa Mungu, maandishi ambayo yameelezwa sehemu nyingi tofauti tofauti ambayo yote kwa pamoja hayajawahi kukubaliana.
Mfano wako wa treni unataka kuutumia kwenye hoja gani?
Unataka kuhusisha mfano wa treni na ulimwengu kuwa watu tumejikuta tupo ndani?
Umepata wapi mawazo haya potofu? Mungu anayo foreknowledge ya mambo yote na anayo plan ambayo kila anayeifuata anakuwa na hatma nzuri.
Kwa Imani yetu ndio kuna Matabaka ya Compensation.Okay Je unajua hio compensation itakuwa nini au kitu gani...
Kwahio kutakuwa na matabaka yaani wenye compensation kubwa zaidi ya wengine yaani Classes tofauti tofauti ?
Moja nimeomba maelezo logically sio Proof..., Kwamba kwa kutumia premises za imani ya mtu husika anipe jibu la swali langu, ila kwenye ile premise yake (whichever she/he believes) iwe consistent na logical sound....Swali lako ni logical phallacy maana unahitaji kujibiwa swala la imani kwa kutumia logic how? Hebu tumia logic ku prove kwamba binadamu ana nafsi?
Na unahitaji kufanya nini ili uwe don wa kule peponi yaani na the lowest of the low watafanya nini ? Na sio sio more efficient kuliko sisi kufanyishana kazi wale walioko motoni ndio wawe wafanyakazi wetu, na kama we can anything magically why work at all kwenye isiwe bata baada ya bata ?!!!Kwa Imani yetu ndio kuna Matabaka ya Compensation.
Na kwa watu ambao monetary / materialistic world haitusumbui unatuweka wapi kama Yesu mwenyewe alikuwa na Punda wakati angekuja na farasi huoni kwamba hapa rules of the games zitabadilika kwanini tusi-practise kuendesha farasi tokea huku kitaa....Edit
Compensation ni Pepo hio Paradise, maisha baada ya kufa ambayo ni ya milele.
Kuna Hadithi ya mtume kwamba level ya chini kabisa ya pepo ni eneo mara 10 ya dunia ya sasa in terms of size.
Na unaona mfano huo ni sahihi kulinganishia na dunia?Yap mfano wa treni = Dunia
Ngoja nikupe mfano mdogo wewe ukiweka sumu ndani kwako (na sio kwamba mbolea ambayo inaweza kuua lakini pia inarutubisha mazao!!! / Hapana sumu ambayo its only thing ni kuua) huoni kwamba ni kama kutega mtego wa panya ? Na mbaya zaidi kama unajua kabisa mwanao huwa mdokozi na atakula ile sumu, unaweza kuniambia haukupanga kumuua ?Mimi pia huwa najiuliza hilo swali kwanini Mungu alimuumba shetani na kumpa freewill ingawaje alijua (sio kwamba aliprogram) kwamba atakuja kuasi. Hapo kwa maoni yangu kuna hekima ya Mungu iliyopo juu sana ambayo bado hatujaifahamu.
Kwahiyo kimsingi Mungu anafahamu yatakayotokea mbeleni lakini sio necessarily kwamba yanayotokea ni mambo aliyoyapanga.
Swali lako ni fikirishi! Ngoja nijaribu hivi.Hili suala tulijadili kwa Logic!
Iwapo tunaambiwa kusamehe mara sabini mara saba, inakuwaje hawa wasimalize tofauti zao sababu naona hivi vita vyao sisi nyasi tunaumia.
Okay unaweza kusema kwamba Shetani hajarepent (kuomba msamaha) ndio maana hajapewa msamaha, lakini je inamaanisha Mungu anapenda kuombwa ombwa na kunyenyekewa kiasi kwamba hatoi msamaha mpaka aombwe.
Na je, Hadithi za Mwana Mpotevu, Je inamaanisha siku Shetani akirudi na kupiga magoti atasamehewa ? Au kuna Muda wa kuomba msamaha ukipita ndio basi.
Au baada ya kukaa Motoni kwa karne kadhaa huenda ukapita msamaha kama wa wafungwa na kila mtu akawa huru na sio hawa tu ambao walijinyima bata huku duniani?
NB: Kama kuna anayeweza kunielewesha haya logically kwa kanuni za imani yake naomba tujadili (na sio kutumia kanuni za multiplication kwenye paraghraph moja na ya Pili kutumia kanuni za Addition) yaani inconsistency!
Kuona post moja baada ya nyingine ni kazi kwahio takuwa nazijibu as I go along ila na mara nyingine najitahidi kupitia post kwa post kama jibu mtu ashakujibu na lipo sawa na mawazo yangu nadhani itakuwa poa katika huu mjadala.., Anyway ngoja tuendeleeMkuu hausomi kabisa post zangu anyway i will wait
Mitume walikuwa tofauti na kila mtume ameleta mafundisho tofauti na wote wameonesha njia mbalimbali.Na unahitaji kufanya nini ili uwe don wa kule peponi yaani na the lowest of the low watafanya nini ? Na sio sio more efficient kuliko sisi kufanyishana kazi wale walioko motoni ndio wawe wafanyakazi wetu, na kama we can anything magically why work at all kwenye isiwe bata baada ya bata ?!!!
Na kwa watu ambao monetary / materialistic world haitusumbui unatuweka wapi kama Yesu mwenyewe alikuwa na Punda wakati angekuja na farasi huoni kwamba hapa rules of the games zitabadilika kwanini tusi-practise kuendesha farasi tokea huku kitaa....
And how do you make this weird connection!!!! Kwahio nikubaliane na chochote kile cha kufikirika pia ?, Kwanini Nikubali Uwepo Wa Mungu wa Abraham na sio wa Mwanamalundi au Mizimu ya Babu zangu au Krishna wa kule India au chochote kile ?Ukishaukubali uhalisia wa vitu abstract beyond the five senses basi hauna sababu ya kupinga uwepo wa ulimwengu wa roho.
Kwahio njia zipo mbalimbali ili twende sambamba nadhani tungejikita kwenye Imani yako na sio imani nyingine ili tuondoe mkanganyiko huuMitume walikuwa tofauti na kila mtume ameleta mafundisho tofauti na wote wameonesha njia mbalimbali.
Sijasema kuwa materialistic ni mbaya ila nimekwambia kuna watu sio materialistic kwahio hio reward ya hekari sijui ngapi au percent ngapi kwao ikawa ni usumbufu wala hawahitaji hivyo vitu (kuna watu wanapenda kuishi simple na kwao inaumiza kuona matabaka kwanini mimi niwe na kumi wakati mwingine ana nusu ? (in short different strokes for different folks)So yesu anaweza kuwa na Punda ila Suleiman akawa ni Tajiri kushinda mtu yoyote, nothing wrong kuwa Materialistic na kutafuta vizuri.
Hata kama hupendi hivyo vitu ?, Nadhani kama pia mola ndio amekuumba na tabia ya kutopenda kujimix au umezungukwa na wanafiki basi sio kosa lako usipopenda kujimix... (ingawa mimi nasema hizi ni tabia za mtu anazozipata baada ya kuzaliwa kutokana na mazingira) binadamu anazaliwa akiwa a blank slate (Tabula Rasa)Sisi Uisilamu tumekatazwa kuwa Watawa ama kuabudu muda wote, unatakiwa ujimix na vitu tofauti tofauti.
Na ili uwe Don peponi inabidi ufuate guidelines za huyo alieitengeneza hio pepo.
Wakati Mungu anamtengeneza na baadae Shetty akawa rafiki yake, alijua kwamba kuna siku Shetty atafanya aliyoyafanya ?Nani alikwambia Shetani (Shetty) anataka suluhu??🤣🤣🤣
Kimaandiko Shetani alishahukumiwa kitambo ni suala la muda tu Mungu kuja kutekeleza hukumu yake ya kumuondoa huyu kiumbe mtata Shetty
Hivyo hakuna nafasi ya wao kukaa meza moja kupatana
Na ndio maana kwa sasa akijua ana kipindi kifupi anazidi kutaka kuwaangusha watumishi wa Mungu.
Na anachochea kila aina ya uovu na ushenzi ili siku ya hukumu aondoke na wengi
Hivi mawazo specifically ni nini ? Unaweza kunipa mfano unajua hapa watu huenda tukawa tunabishana kutokana na utofauti wa lugha au anachomaanisha mwingine huenda mimi naongelea stafeli wewe kumbe upo kwenye biringanya !!!Kwahiyo kipimo chako kinapima nini ikiwa hakitayang'amua mawazo specifically?
Naona umeamua kuunganisha tu maneno ili yafanye sentensi and then paragraphs..., ukiulizwa kwanini jibu because I said So!!!!Kanuni za logical consistency zinaonesha uwepo wa Mungu bila kuacha mashaka yoyote. Ulimwengu wote unaendeshwa kwenye kanuni za ulandano ndio maana tunao uhakika ikifika usiku lazima pia asubuhi itakuja.. nk
Hapa umeongea kama vile Mungu ni jamaa fulani mdogondogo. Hapana. Mungu ni mkuu na anao uwezo wa kufanya chochote na kwa namna yoyote anayojisikia bila kuhojiwa na yeyote. Mungu aliamua kuweka freewill na ndio chanzo cha mabaya kudhihirika.
Kwanini haujishughulishi kujua chanzo cha uhai? Au niseme kwanini hautushirikishi chanzo unachofikiria wewe wakati unapinga vile tunavyokupa?
Hapa sio kweli. Zaidi ya asilimia 95 ya wanadamu ulimwenguni pote wanaamini katika aina moja au nyingine ya miungu na imani hizo zimejitahidi kuhusisha mungu wake na uwepo wa uhai.
Itashangaza kama utajadili Mungu bila kujadili chanzo cha uhai maana concept nzima ya mungu inahusiana na uwepo wa uhai beyond the physical world.
achana na shetani, tuanze na wewe kwanini usimalize tofauti yako na Mungu..?Okay...
Kwa minajili hio unaweza kusema baba afanye chochote kwa mwanae sababu alimzaa au wewe unaweza tu ukafuga samaki ili uwape sumu ufurahie wanavyokosa oxygen (sababu tu uliwapa chakula na kuwatotoresha) ingawa sisi wa pembeni tutakuita sadist
Ndio maana sitaki na nikaona nikuulize kwanini wasiyamalize ili shetani aache hii recruitment ?, sababu choices zilizopo huenda bado zinakufunga.., kama hutaki A wala B na hakuna C (non existent in the first place) hapo umepewa a raw deal....
Kwann?Ukifanya kosa kwenye spirit realm linakuwa permanent.
Imani yangu ni kuamini mitume yote, so ipo kwenye imani yangu badoKwahio njia zipo mbalimbali ili twende sambamba nadhani tungejikita kwenye Imani yako na sio imani nyingine ili tuondoe mkanganyiko huu
Tukiwa peponi kuna vitu vitaondolewa kwenye Miili yetu, so unachopenda hapa na utakachopenda kule sio lazima viwe sawa.Sijasema kuwa materialistic ni mbaya ila nimekwambia kuna watu sio materialistic kwahio hio reward ya hekari sijui ngapi au percent ngapi kwao ikawa ni usumbufu wala hawahitaji hivyo vitu (kuna watu wanapenda kuishi simple na kwao inaumiza kuona matabaka kwanini mimi niwe na kumi wakati mwingine ana nusu ? (in short different strokes for different folks)
Unamaanisha Houri sio? Hili ni suala ambalo linataka elimu kidogo, sababu hadithi nyingi zinakuwa classified kama Dhaif zinazoelezea.Hata kama hupendi hivyo vitu ?, Nadhani kama pia mola ndio amekuumba na tabia ya kutopenda kujimix au umezungukwa na wanafiki basi sio kosa lako usipopenda kujimix... (ingawa mimi nasema hizi ni tabia za mtu anazozipata baada ya kuzaliwa kutokana na mazingira) binadamu anazaliwa akiwa a blank slate (Tabula Rasa)
Na je wale wanaoamini reward yao itakuwa mabikra sijui wangapi (hawa mabikra wamefanya kosa gani hadi destiny yao iwe kiburudisho cha wengine)?