Huwezi kuniambia kwamba nina uhuru wa kuchagua wakati choices are narrow na huenda ninachokitaka hakipo kwenye available choices....
Muumbaji ndiye anajua kipi ni bora na chenye manufaa kwa mwanadamu na ni jambo gani halifai kwake. Kila zuri na bora analoweza kutaka na kutamani hupatikana kwa Muumbaji wake. In short, all wonderful choices, whatever they are, zinapatikana hapo.
Uhuru wa kuchagua aliopewa mwanadamu ni kufanya kadiri apendavyo (hakuna anayemlazimisha) lakini akijua kwamba kila uamuzi una athari zake.
Ni wazi huelewi maana ya free will ama freedom of choice.
Pili huwezi ukasema mfano mwanao ana uhuru wa kuchagua either aishi kwa mama yake au wewe wakati umemuwekea kabisa vizingiti kwamba akiishi kwako its okay ila kwa mama yake utahakikisha unamyoosha na hatapata mahitaji yake.....
Au mfano mwingine unamwambia mwanao akirudi baada ya saa sita utampiga alafu wewe kuna wadau ambao ulijua huko mbele watamzuia mwanao / watamchelewesha umewaweka barabarani ili wamcheleweshe alafu unasema kwamba wewe haukuhusika katika uchelewaji wake....
Because humans are moral beings and are held accountable for their actions. If you choose evil, you reap evil; if you choose good, you reap the same.
Choosing anything apart from God and His prescriptions for life is akin to choosing evil and death. Humans are only safe as long as they abide by God's way.
Again, don't confuse the
foreknowledge of God with
predetermination ama
preordination of the same event. They are completely unrelated, independent variables.
Hizo ni Imani zako na tukianza kubishana kuhusu imani that's another thing tunachoweza kufanya ni kuongelea outcomes na wewe unayeamini kitu fulani kuelewesha umati kuhusu hio michanganyo...
If you cannot appreciate a logic as simple as that, then that's it; I can't blame you. God has all prerogatives to prescribe how His creatures should conduct themselves. He is wise, intelligent, all-knowing, holy, good, merciful, just, and above all, loving. That's the God I know.
lets narrow our debate kumbuka Imani sio Universal kila mtu ana imani yake sasa tukienda throught that road tutakuwa hatufiki nashangaa debate iliyoanza kwamba anajua kitakachotendeka na kila kilichopo amekiweka yeye ila sio yeye anayefanya inahusika vipi na haya majibu
It's basic, elementary logic. Muumbaji ndiye mwenye vitu vyote vyema, bora, sahihi, vinavyofaa, nk. Kwamba kuna option nyingine bora ambayo mwanadamu anaweza kuhitaji nje ya Mungu, hilo ni suala la kukosa uelewa kamili juu ya ukuu na uwezo wa Mungu. That's a huge, unfortunate mistake and problem.
Hiari kwenye choices mbili wakati labda mtu anataka ya tatu ?, Hiari wakati unatoa reward and punishment hio ni hiari..., Upendo ambao usipofanya navyotaka utachomwa milele?
Mwanadamu anapomwasi Mungu, anakuwa amefanya kitendo hicho kwa hiari yake mwenyewe; kwa utashi wake mwenyewe.
Anakuwa amechagua njia ambayo matokeo yake hatimaye ni mauti ya milele. Uchaguzi wake unaamua matokeo au athari husika.
Amepewa akili, hekima, na uwezo wa kujua na kuchagua kuifuata njia ya uzima inayopatikana kwa Muumbaji wake. Akichagua vinginevyo, hapo anakuwa ameamua kwenda upotevuni kwa hiari yake mwenyewe, na wala hana wa kumlaumu isipokuwa yeye binafsi.
Uhuru unaozungumziwa ni ule wa kufanya maamuzi ambayo yameambata na matokeo chanya ama hasi. Mwanadamu amlaumuje Muumbaji wake wakati ameikataa mwenyewe njia ya uzima wa milele? Anakuwa anataka nini kingine, kwa mfano? Isn't that strange, out of range!
Pengine niambie jambo bora kwako unaloona halipatikani kwa Mungu ni lipi? Kwa sababu njia-mbadala ya Shetani ni hila, udanganyifu, uovu, na hatimaye mauti. Hebu leta option yako ya 3!
ulishawahi kujiuliza huenda unaloliona zuri kwako kwa mwingine ni baya ?
Ni kweli, inawezekana. Lakini ukweli mwingine ni kwamba jambo jema na zuri kwa Mungu, ni zuri na jema kwa wote wampendao.
By the way naomba uniambie kwa Imani yako unadhani Mbinguni kuna nini ? au Nini kitakuwa kinafanyika ?
Disclaimer: Sijawahi kufika physically. Lakini kwa kigezo tu cha jinsi uumbaji wa Mungu ulivyo, ni dhahiri shahiri kwamba ni mahali ambapo kila kiumbe kingependa na kutamani kuwepo kila sekunde ya maisha yake milele na milele (1 Kor. 2:9).
Ni sawa naweza kusema kama Mbwa asingekuwa na uhuru wa kuchagua asingekula nyama yaani angekuwa kama lidude unalipa korosho, pipi hata kokoto linakula tu... !!!
This is neither here nor there....
The point is, Muumbaji angeweza kumuumba katika namna ambayo angetenda tu vilevile anavyohitaji Muumbaji, bila uwezo wa kuchagua apendavyo kiumbe husika. Maana yake asingeweza kuchagua kumwasi Muumbaji wake kwa sababu ya kukosa uhuru na uwezo huo.
Lakini mwanadamu amepewa utashi wa kufanya maamuzi, ama kumtii Mungu au kufuata na kutenda vyovyote apendavyo, ambayo ni chukizo kwa Mungu, kumwasi Mungu.
Kuwajibika kwa mwanadamu hatimaye katika hukumu ni kwa vile Muumbaji wake amempa uhuru wa kufanya maamuzi. Vinginevyo, asingekuwa na sababu ya kuwajibishwa.
Kwa kweli, kusingekuwa na jambo la kumfanya awajibishwe kwa sababu asingetenda kinyume na mapenzi ya Mungu. An engineer doesn't blame the computer they created for its malfunctions.
Tunazunguka tu bila kujibu maswali yangu How are they free to choose while they are intimidated to choose ? Is that Free ?
It's not intimidation as you want to believe. Why would you abuse the word that has it's pure, distinct meaning?
If you happen to be promised everything wonderful you need or you will ever need, but still reject them altogether only to go for another inferior, deadly choice, how could you ascribe the prior warning of the inevitable consequences to be intimidation?
It's not intimidation; it's rather meaningful information. We're presented with the positive and negative consequences of the choices one may take in order to help us make informed choices.
Again, I suppose you don't know the meaning of freedom of choice.