Kwanini mwana JF huyu anayependwa na wengi huitwa na popoma?

Nipo napitia usiku wa manane najichekea tu hadi nasahau shida zangu.
 
Popoma maana yake nn
Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi
Hili neno linatumika sana na wakulima hasa wa mazao ya matunda sasa kunabyale matunda haya jakomaa lakini kama yameiva ndio huitwa popoma .
 
Huu Uzi Bora ungefutwa tu maana mwenye kufunguliwa Uzi akija matusi hamtayaweza mazee😂
 
Hakuna connection yoyote ya Mimi kuwa affiliated na huyo kichaa.

Ni sawa nikuulize wewe leo ulikesha kwenye kigodoro wapi itakuwa ni kukuvunjia heshima.
Aahaaaa Basi sawa Nisamehe na umsamehe jamaa Yangu maana unamkosesha usingizi Sana...
Ban zote anazokula humu inasemekana wewe ndio major Causative unakula dili na mods..

Mimi Ni msamaria mwema tu akinitukana basi
 
hii ulipost saa saba usiku nina wasiwasi na


yaani huyu popoma Mwenye akaunti humu jf kenye majina ya dawa za kutibu binadamu mi nilishamuweka ban simonie kabisa posts zake, ni popoma kwelikweli na ana akaunti buku kidogo
Labda zinamuingizia fweza[emoji23]
 
Naona Popoma Gentamycine unaitwa huku
 
Aahaaaa Basi sawa Nisamehe na umsamehe jamaa Yangu maana unamkosesha usingizi Sana...
Ban zote anazokula humu inasemekana wewe ndio major Causative unakula dili na mods..

Mimi Ni msamaria mwema tu akinitukana basi
Uwerevu wake mkubwa huenda ni Chukizo lililokusanyika na Wivu mkubwa dhidi ya Umaarufu wake mkubwa kwa wale baadhi ya Wanaomuadhibu.

Binafsi namkubali mno na natamani niwe na Uwasilishaji kama wake niwapo hapa JamiiForums.
 
By the way huyu member kama anavyojinasibu ndivyo alivyo na aachwe aendelee kuchangamsha jukwaa, members karibu wote wanampenda na kumheshimu kwa michango yake na namna anavyoiwasilisha
 
Aahaaaa Basi sawa Nisamehe na umsamehe jamaa Yangu maana unamkosesha usingizi Sana...
Ban zote anazokula humu inasemekana wewe ndio major Causative unakula dili na mods..

Mimi Ni msamaria mwema tu akinitukana basi
Hizi ID's huwa zinakulipa? Just a question
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…