Kwanini mwana JF huyu anayependwa na wengi huitwa na popoma?

Aahaaaa Basi sawa Nisamehe na umsamehe jamaa Yangu maana unamkosesha usingizi Sana...
Ban zote anazokula humu inasemekana wewe ndio major Causative unakula dili na mods..

Mimi Ni msamaria mwema tu akinitukana basi
Uyo popoma Amezoea kutukana sana watu humu afu wanampuuza.

Kakutana na daktari wake professional wa spana Mr Matola .

Matola anatoa dozi kitaalam kutokana na Hali ya mgonjwa wake asiwape ndugu wa mgonjwa panic[emoji28]
 
Sabab yeye ndiye anaongoza kuita watu popoma
 
hii ulipost saa saba usiku nina wasiwasi na


yaani huyu popoma Mwenye akaunti humu jf kenye majina ya dawa za kutibu binadamu mi nilishamuweka ban simonie kabisa posts zake, ni popoma kwelikweli na ana akaunti buku kidogo
Haha haha
 
Tukana basi matusi mapya binti, hayo tumeshazoea sanaaa...[emoji23][emoji23][emoji23]

Huo upumbavu wa kufungua ID's zote hizo unakulipa???

Nasubiri matusi mapya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
nilidhani ungekuja na matusi mapya ambayo hatujawahi kuyasikia. boresha uwezo wako wa kutukana. njoo na matusi mapya.
Ni Old tales, anatukana yale matusi ya kawaida ya kike kike tu hata hana jipya
 
Popoma ni empty set.
Ni sawa na mtu kujiita Zero IQ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…