Kwanini mwana JF huyu anayependwa na wengi huitwa na popoma?

Mmekalia kooni mwamba
Ila na yy hawezi ishi bila kupita JF, hapo ndipo Shida inapoanzia
 
Popoma ni neno alilolianzisha mwenyewe na bahari nzuri linafanana nae hasa pale anapojidai yeye ni jasusi wa idara za kijasusi za kagaPaka.
 
kwasababu hupenda kusikia mazuri yake tu. yaani akisema Manula ni golikipa namba moja duniani wote museme ndiyooo. akisema SAUT ndiyo chuo cha pili kwa ubora duniani baada ya HAVARD wote mseme kweli kabisa. ukimpinga anatukana
Tura sana yule Kiazi akitukanwa ndio analeta heshima...
 
Hii week imekua mbaya sana kwa Popoma ,Bujibuji Simba Nyamaume umemuharibia sana jamaa yako ,bila Shaka amekutukana sana inbox pole sana
Nope. Mshikaji ni bonge la mwana ila JF watu wanapenda ushindani na kubishana. GENTAMYCINE, ni bonge la mtu. He is a real great thinker ukiachana na kasoro za kibinadamu ambazo mimi ninazo nyingi zaidi yake
 
Genta..... hahahaha haaaaaaa haaaaaaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…