KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
usijivue shuka serikali ndio wananchi na ndio hao wanasaikolojia, mainjinia n.kIfike muda serikali ikemee hawa wajinga, kutwa tunahangaika na wagonjwa wa afya ya akili sababu ya watu kama hawa, neno lako moja linaweza kumuharibia mwingine maisha yake,
Shame!