Kwanini mwanamke wa Kiislam kuwa Rais ni kukiuka nguzo za Uislamu?

Masheikh njaa anaikana Imani yake
Fuatilia wapi kapata elimu utaelewa kitu ukitafakari.
Hao wapo kwa sababu maalum!wanacheza game ya "know they enemy" wanajifunza uislam ili waubomoe kweli ufanyie research Qurqn uje na findings zako kuliko za Mtume Swallalahu Alaihi wa Salam kwe ahadith?
 
Pole sana.... Umeenda Kwa shehe umemuuliza dini yetu tunaichukua wapi? Alitakiwa akijibu mara moja kuwa dini yetu tunaichukua mahali fulani. Sasa wewe mwenyewe mgonjwa wa ukoma halafu unaenda Kwa mgonjwa wa ukoma mwingine halafu unamuomba akutibu ukoma upone utapona? Angekuwa na hiyo dawa kwanini asingejitibu yeye mwenyewe kwanza?

Kikubwa hapo haujajibiwa swali lako,Kwa kukusaidia tu katika dini ya uislamu kauli ya Allah na Mtume wake inatangulizwa mbele kuliko kauli ya mtu yeyote.

Halafu huyo uliyemuuliza ungemwambia Kuna Aya Allah anasema wanaume ni wasimamizi wa wanawake je Aya hii waliifanyiaje kazi mtume na maswahaba wake?

Hao maimam aliokutajia kauli zao zinachukuliwa endapo zitafungamana na Quran na sunna vinginevyo kauli zao haziwezi kufanyiwa kazi.
Mwisho sio Kila sheikh akitoa fatwa anakuwa amepatia,hivyo fatwa inayofanyiwa kazi ni Ile iliyofungamana na dalili (quran na Sunna).

Nitaendelea inshaallah....
Hiyo suala la mwanamme msimamizi ndio liko sasa nakuuliza wewe ndani ya nyumba mwanamme mlevi mshenzi wa tabia bado unataka asimamie mwanamke mwenye kujielewa na kuheshimu family yake? nini mbadala umwache mlezi mshenzi kuongoza family. Ina maana kubwa hiyo lakini kwa mtu anayejuwa wajibu wake. Kuhusu kutia shaka ma Imam kama Shafii na Bukheri unakosea sana hawa ni watu wanaheshimika kwa kila kauli zao ndio tunafuata mafunzo yao mpaka leo. Mimi nataka utoe ayaa au hadithi kukataza mwanamke kuwa kiongozi wa nchi au wizara au taasisi yoyote.
 
Pole sana.... Umeenda Kwa shehe umemuuliza dini yetu tunaichukua wapi? Alitakiwa akijibu mara moja kuwa dini yetu tunaichukua mahali fulani. Sasa wewe mwenyewe mgonjwa wa ukoma halafu unaenda Kwa mgonjwa wa ukoma mwingine halafu unamuomba akutibu ukoma upone utapona? Angekuwa na hiyo dawa kwanini asingejitibu yeye mwenyewe kwanza?

Kikubwa hapo haujajibiwa swali lako,Kwa kukusaidia tu katika dini ya uislamu kauli ya Allah na Mtume wake inatangulizwa mbele kuliko kauli ya mtu yeyote.

Halafu huyo uliyemuuliza ungemwambia Kuna Aya Allah anasema wanaume ni wasimamizi wa wanawake je Aya hii waliifanyiaje kazi mtume na maswahaba wake?

Hao maimam aliokutajia kauli zao zinachukuliwa endapo zitafungamana na Quran na sunna vinginevyo kauli zao haziwezi kufanyiwa kazi.
Mwisho sio Kila sheikh akitoa fatwa anakuwa amepatia,hivyo fatwa inayofanyiwa kazi ni Ile iliyofungamana na dalili (quran na Sunna).

Nitaendelea inshaallah....
Yako mambo mengi alipewa mwanamme mpaka mirathi kupata kiasi kikubwa kwa lengo kuwa wawekea ulinzi dada zao sasa swali lengo hilo ni kwa watu wanaojielewa leo hii hao ndugu hawana habari na dada zao unataka uwape jitu levi shenzi la tabia halina mbele wala nyuma bado unataka kusema huyu ndio amtizame mwanamke? zamani watu walikuwa wanaogopa Mungu sio sisi wa leo wanaume mke wako na kimada umemuweka mbele kuliko ndugu zako kwenye haki zao sio misaada.
 
Jifunze dini yako we mwanamke,kutaka kushindana na mwanamme ambaye Allah amempa utukufu haitakusaidia chochote.

Allah amemnyanyua mwanaume juu ya mwanamke haijalishi ana matendo gani,kwani mwanaume akiwa mlevi hawi mwanaume tena?

Sheria ya kiislamu sio Kama ya manaswara, uislamu umesimama na wajati. Sheria ya kiislamu haifanyiwi maboresho sawa we mwanamke?

Wanawake mmeacha kukaa majumbani kwenu Kwa kisingizio Cha haki sawa shida imeanzia hapa.

Nashukuru nimeshagundua kuwa kumbe nilikuwa naongea na mwanamke asiyetaka kubaki katika position yake kama mwanamke.
 
Nenda zako shoga wewe unatafauti gani na hayawani, Allah kashusha sura'a kwa ajili ya wanawake tu wewe mbwa na vukanzu vyako vifupi unakuja kutukana wanawake. Huna hata aibu kuongea maneno ya kijinga hamia Afghanistan huko. Nyinyi ndio mnaharibu dini kwa upumbavu wenu huu nenda kakemee wajinga wenzako wanaobaka watoto kwenye misikiti. shenzi kabisa mimi mwanamme tena sio wa mke mmoja lakini naheshimu kina mama nawaweka kwenye kichwa changu. Eti mwanamme, mwanamme anayefirwa na wanaume zake ndio ahukumu nyumba? kakojoe ulale na vindevu vyako uchwara. Ukiambiwa weka Aya'a unamumunya maneno.
 
Hakuna mwanaume wa hivyo Abadan,Kama nilikosea kukufananisha na mwanamke kulingana na kauli zako kulikuwa na haja gani ya kutaka kunituka na kunishambulia?

Binafsi siwezi kuyahukumu matendo yako kuwa ni matendo ya mwanaume.
Mwanaume anajiamini, mwanaume anajenga hoja zenye nguvu mbele ya wanaume wenzake. Mwanaume ni msikivu lakini pia ni mvumilivu.

Nitaendelea kuwa mvumilivu Kwa wanawake wote Kama ninavyotakiwa kuwa kwao. Kwasababu nimeambiwa kuwa ni mchunga na ni msimamizi wa wanawake.

Sijapatapo kuonapo mwanaume mwenye hasira za haraka Kama zako,Kama unadai kuwa wewe ni mwanaume basi matendo yako sio ya kiuanaume.

Njoo tena nakusubiri.
 
Kwa sababu huna heshima kwa kina mama nakujifanya umepewa mamlaka juu ya wengine, Tatizo sio wanaume hawa wa leo halafu unathubutu kutetea hata wanaume wasiokuwa na thamani walevi, mashoga eti wasimamie wanawake, Wewe kuwa mwanmme ni suruari tu. acha kuishi kwa mazoea. Nimekwambia toa Aya'a inakataza mwanamke kuwa raisi.
 
Hakuna mwanaume wa hivyo Abadan,Kama nilikosea kukufananisha na mwanamke kulingana na kauli zako kulikuwa na haja gani ya kutaka kunituka na kunishambulia?

Binafsi siwezi kuyahukumu matendo yako kuwa ni matendo ya mwanaume.
Mwanaume anajiamini, mwanaume anajenga hoja zenye nguvu mbele ya wanaume wenzake. Mwanaume ni msikivu lakini pia ni mvumilivu.

Nitaendelea kuwa mvumilivu Kwa wanawake wote Kama ninavyotakiwa kuwa kwao. Kwasababu nimeambiwa kuwa ni mchunga na ni msimamizi wa wanawake.

Sijapatapo kuonapo mwanaume mwenye hasira za haraka Kama zako,Kama unadai kuwa wewe ni mwanaume basi matendo yako sio ya kiuanaume.

Njoo tena nakusubiri.
Halafu mlivyokuwa wanafiq atakuja hapo Mama Samia na makofi mtapiga na du'a mtaomba. Nimekwambia ukimuuliza mtu wa kanzu fupi ataharamisha kila kitu ila hakuna watu waharibifu kama wao kujivisha udini ku cover maasi yao. Kama na Kaka mlevi mjinga hana adabu na Dada ana hekima basi heshima yangu itaenda kwa Dada.
 
Hakuna sehemu nimemvunjia heshima mwanamke Kama ipo quote uweke hapa Kila mtu aone. Nilichokifanya mimi ni kuelezea nafasi ya mwanamke Kwa mujibu wa uislamu Kama sio muislamu shika njia yako na kama wewe muislamu sikulazimishi kushika njia yangu.

Na ukishindwa kuthibitisha tuhuma zako kuwa mimi ninawavunjia heshima wanawake upo tayari kuniomba radhi Kwa matusi uliyonitukana au jamii ukubaliane na mimi kuwa una matendo ambayo sio ya wanaume?
 
Una Uhakika Na Unayoongea Au Alimbaka Mke Wako Labda.Mtume Alikuwa Anaoa Na Kakataza Uzinifu Sio Kama Huku Kwa Wenzetu Wanapokataza Viongozi Wa Dini Wasioe wala Wasifanye Mapenzi kama Hamuhamasishi Ubakaji au Uzinifu Ni Nini.Hakuna Mwanaume Anayeweza Hivo labda Kama Hanithi Au kama Huwa Mnawaakisi kama Ng'ombe Hapo Sawa
Mtume alikataa uzinifu mbona alimnaka Aisha akiwa na miaka 7 yeye mtume alikuwa na miaka 54. Rejea katika uvamizi aliokuwa anaufanya yeye na wafuasi wake kwa kuua wanaume na kubaka wake zao.
 
Sasa tukianza matusi tutapata dhambi maana hata sisi tunashangaa kwenye jamii tukiona mwanammke mtu mzima hajaowa wala hana girfriend hata mchepuko wala hatumuoni kwa malaya uwanja wa fisi inakuwa inatia mashaka labda anamaliza haja chooni, Mwanamme rijali kweli huwezi kukaa bila tendo la ndoa sasa wale waliojifungia vatican kweli hata kutamani hakuna mhhhh
Unawaamini wale wanaokaa vatican kama hawapigi nyeto au kuchezeana mapumbu wenyewe kwa wenyewe? Dini ni usanii tu, Mohammed alishatuonyesha kwa mtoto Aisha. Alikuwa anakapiga pumbu utafikiri si mze wa miaka 54. Hivi wewe Heijah nije mimi mwenye miaka 54 kwako nataka kuchumbia mtoto wako unanikubalia kweli?
 
Swali la uelewa,

Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi?

Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa

c.c FaizaFoxy
Mwanamke katika imani ya Dini ya Kiislam hafai kumuongoza Mwanamume. Yeye Mwanamke anaongozwa na Mwanamume sio yeye mwanamke akuongoze wewe mwanamume inakuwa kinyume Maamrisha ya Mungu katika Kitabu chake kitukufu Qur'an.
 
Unawaamini wale wanaokaa vatican kama hawapigi nyeto au kuchezeana mapumbu wenyewe kwa wenyewe? Dini ni usanii tu, Mohammed alishatuonyesha kwa mtoto Aisha. Alikuwa anakapiga pumbu utafikiri si mze wa miaka 54. Hivi wewe Heijah nije mimi mwenye miaka 54 kwako nataka kuchumbia mtoto wako unanikubalia kweli?
Allah akuongoze au akuvunjilie mbali mgongo wako
 
Swali la uelewa,

Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi?

Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa

c.c FaizaFoxy

Kwani Raisi gani anaongoza Nchi ya Kiislamu?
Kwa sababu ikiwa ni nchi ya Kiislamu inabidi yeye awe ndiye Imam Sasa mwanamke atasalisha vipi wanaume ?
 
Unawaamini wale wanaokaa vatican kama hawapigi nyeto au kuchezeana mapumbu wenyewe kwa wenyewe? Dini ni usanii tu, Mohammed alishatuonyesha kwa mtoto Aisha. Alikuwa anakapiga pumbu utafikiri si mze wa miaka 54. Hivi wewe Heijah nije mimi mwenye miaka 54 kwako nataka kuchumbia mtoto wako unanikubalia kweli?
Ungemuuliza Marehemu mzee Mengi alikataliwa?
 
Hivi huyu jamaa wa vipi huyu? Hivi wewe hujui kuwa Rais ni amiri jeshi mkuu? Halafu hili suala halina khilafu achana na wachumia tumbo. Hakuna mtu anatoa Aya halafu anaitafsiri Kwa mtazamo wake!! Labda iwe hiyo dini ni mali baba yake.
Sahihi kabisa
 
Kwahiyo katika uislamu mwanamke anaruhusiwa kuwa kiongozi and at the same time haruhusiwi kuwa kiongozi?

Maana pamoja na kwamba hizo zote ni nchi za kiislamu lakini hawa wanaruhusu mwanamke kuwa kiongozi na hawa hawaruhu mwanamke kuwa kiongozi, lazima kuna mmoja anakosea na mwingine anapatia.
Panahitajika maelezo ya kina.
 
Back
Top Bottom