Kwanini mwanamke wa Kiislam kuwa Rais ni kukiuka nguzo za Uislamu?

Kwanini mwanamke wa Kiislam kuwa Rais ni kukiuka nguzo za Uislamu?

Yes, mfano wa kutotamani mke wa mwenzio lakini Mohammed alikuwa anabaka wake za watu na hakuna anayeuliza hili, kimyaaaaa.
Sasa tukianza matusi tutapata dhambi maana hata sisi tunashangaa kwenye jamii tukiona mwanammke mtu mzima hajaowa wala hana girfriend hata mchepuko wala hatumuoni kwa malaya uwanja wa fisi inakuwa inatia mashaka labda anamaliza haja chooni, Mwanamme rijali kweli huwezi kukaa bila tendo la ndoa sasa wale waliojifungia vatican kweli hata kutamani hakuna mhhhh
 
Queen of Sheba alitawala na mpaka quraan imemtaja wanawake sehemu hawezi kuwa ni kama Imam wa msikiti ni kama Vatican usitegemee kuwa na Papa mwanamke. Ila viongozi wakubwa mawaziri wakuu na marais katika nchi za kiislamu wengi tu kuliko bara zima la Africa.
 
Unaongea kingumbalu mkuu, Kwa watu smart hawawezi kunfanya mwanamke kuwa mtawala.
Uislamu hauruhusu hivyo hata jamii zetu za kiafrika haziruhusu hayo na hata hao wenyewe wamarekani hawajawahi kuwa na Rais mwanamke.
 
Weka aya'a inayokataza mwanamke kuwa kiongozi.Jamii gani hizo unaongelea wewe.
 
Sio kukiuka nguzo za uislamu,siku nyingine kabla haujazungumzia jambo jaribu kufanya utafiti angalau kidogo Ili ujue unachokizungumzia ni kitu Gani.

Nikienda kwenye hoja ya msingi ,Kwa taratibu za kimafundisho ya kiislamu mwanamke anatakiwa atulizane nyumbani kwake,na uislamu hautambui nafasi ya uongozi Kwa mwanamke kwa nafasi yoyote Ile sio tu urais bali hata mwenyekiti wa mtaa. Uislamu unawataka wanaume wawe wasimamizi wa wanawake.

Kaka hawa utawaeleza mpaka kiama hua awaelewi
 
Fuatilia huko juu tumeeleza
Acheni kupotosha watu sote tunajuwa dini Mwanamke hawezi kuwa Imam kuwa kiongozi wa dini lakini mwanamke anatawala nimesema ingekuwa mwanamke haruhusiwi Queen Sheba asingetajwa katika dini.
 
Fuatilia huko juu tumeeleza
The queen of Sheba appears in the Antiquities of Josephus (8.5. 5) with the name Nicaulis, a noble philosopher and ruler from Egypt or the Horn of Africa. She also appears in the Qur'an (Sura 27) as a queen who submits to Solomon, the prophet of Allah, and converts to Islam.
 
Fuatilia huko juu tumeeleza
The story of Bilqīs, as the Queen of Sheba is known in Islamic tradition, appears in the Qurʾān, though she is not mentioned by name, and her story has been embellished by Muslim commentators. The Arabs have also given Bilqīs a southern Arabian genealogy, and she is the subject of a widespread cycle of legends

Sasa huyu alikuwa nani? katawala wakati uliokuwa bure katika ardhi ya Sheba na wapi alisema haram mwanamke kuongoza.
 
Sio kukiuka nguzo za uislamu,siku nyingine kabla haujazungumzia jambo jaribu kufanya utafiti angalau kidogo Ili ujue unachokizungumzia ni kitu Gani.

Nikienda kwenye hoja ya msingi ,Kwa taratibu za kimafundisho ya kiislamu mwanamke anatakiwa atulizane nyumbani kwake,na uislamu hautambui nafasi ya uongozi Kwa mwanamke kwa nafasi yoyote Ile sio tu urais bali hata mwenyekiti wa mtaa. Uislamu unawataka wanaume wawe wasimamizi wa wanawake.
Dhuluma kubwa, eti hapo Kuna Mungu, maajabu
 
ila muddy Hana shukrani kabisa...bi Khadija kamkuta jalalan kampa Hela,kamlea,kampa biashara...ila jamaa alipotoboa Tu Na kuanza kupata wafuasi akàanza kumuongezea wake mpaka 11.
Halafu kwenye kitabu chake Quran kawapondea kinoma wanawake
Mtume hakuoa Mke mwengine wakati wa Uhai wa Bibi Khadija
 
Even so, a woman may assume any position of leadership as long as she is the most qualified person for the job. Samra bint Nahik, for example, was a woman in the time of the companions who was placed in charge of policing the marketplace.

Abu Balj Yahya reported:

And Ibn Abdul Barr writes:

The purpose of the classical rules, then, was to facilitate men and women performing complementary, and flexible to an extent, gender roles. Because men and women have natural physiological differences, customary gender roles are reasonable and conducive to a functional society.

However, because there are always exceptions to general observations, a measure of adaptability to changing customs and circumstances is warranted; there are some potential cases when a woman is the most qualified to do what a man might customarily do in other times and places.

Success comes from Allah, and Allah knows best.
Bahati mbaya Sana hujui waislamu wanaichukua wapi dini Yao. Unanukuu kutoka Kwa wahuni halafu unataka nikuamini? Hii dini isingekuwa na misingi imara ungekuta haipo. Kitu pekee ambacho hautakikuta katika dini yeyote ni namna maandiko yake yanavyolindwa yasipotee. Mtafute shehe akuelekeze wapi muislamu anaichukua dini ikiwa wewe ni muislamu itakusaidia Sana,hautayumbishwa popote
 
Nimeuliza Shekh mkubwa tu na jibu lake nimelielewa, Hakuna katazo la moja kwa moja ila kaniambia kitu muhimu sana. Kila swali utakalo uliza hutapata jibu moja inategemea na huyo Shekh huyo yuko upande gani nadhani unaelewa kuna wale wana misimamo ya kati na kuna wale mikali ndio maana hata fatwa watu wanachagua wafuate ya imam gani kutokana na mahitaji yake kuna fatwa nyingi kuhusu hambo hilo hilo moja lakini majibu tofauti na yote yana heshimika.kuna Imam Shafi, Imam Bukhar, Abu Hanifa na Ibn Taymiyyah hawa walikuwa wanatoa misimamo tofauti katika swali moja kuna walikuwa wanafanya wepesi na waliokuwa wanaharamisha moja kwa moja. Sasa swali hilohilo kasema hakuna katazo ila mwanamke hawezi kuwa Kadhi au Imam wa msikiti. Mwisho wa siku usilazimishe haram kwa kunukuu imam mmoja au mafunzo ya muelekeo mmoja ndio maana tunachagua tufuate fatwa gani kwa mujibu wa mahitaji. Ukienda kumuuliza answar sunni utapata jibu tofauti na Sufi kuna watu moderate na fatwa halali shida kuna hawa wanaodhani wanajuwa dini sana wao wanataka mawazo yao tu yawe sawa wengine wanamakosa. Ndio maana Kina Imam Shaffi, Bukhari walitoa fatwa misimamo tofauti na zote zinaheshimika. Dini nyepesi sana sisi ndio kidudu mtu tunatisha watu na kuharibu taswira ya dini tena kwa majigambo. Jibu jepesi jambo moja limetolea fatwa tofauti na zote halali kwa misimamo tofauti ndio maana tunatofautiana kwenye mambo mengi bila kuharamisha mmoja. wewe ukitaka kwamba unaloliamini wewe ndio sawa basi hapo unakosea.
 
Nimeuliza Shekh mkubwa tu na jibu lake nimelielewa, Hakuna katazo la moja kwa moja ila kaniambia kitu muhimu sana. Kila swali utakalo uliza hutapata jibu moja inategemea na huyo Shekh huyo yuko upande gani nadhani unaelewa kuna wale wana misimamo ya kati na kuna wale mikali ndio maana hata fatwa watu wanachagua wafuate ya imam gani kutokana na mahitaji yake kuna fatwa nyingi kuhusu hambo hilo hilo moja lakini majibu tofauti na yote yana heshimika.kuna Imam Shafi, Imam Bukhar, Abu Hanifa na Ibn Taymiyyah hawa walikuwa wanatoa misimamo tofauti katika swali moja kuna walikuwa wanafanya wepesi na waliokuwa wanaharamisha moja kwa moja. Sasa swali hilohilo kasema hakuna katazo ila mwanamke hawezi kuwa Kadhi au Imam wa msikiti. Mwisho wa siku usilazimishe haram kwa kunukuu imam mmoja au mafunzo ya muelekeo mmoja ndio maana tunachagua tufuate fatwa gani kwa mujibu wa mahitaji. Ukienda kumuuliza answar sunni utapata jibu tofauti na Sufi kuna watu moderate na fatwa halali shida kuna hawa wanaodhani wanajuwa dini sana wao wanataka mawazo yao tu yawe sawa wengine wanamakosa. Ndio maana Kina Imam Shaffi, Bukhari walitoa fatwa misimamo tofauti na zote zinaheshimika. Dini nyepesi sana sisi ndio kidudu mtu tunatisha watu na kuharibu taswira ya dini tena kwa majigambo. Jibu jepesi jambo moja limetolea fatwa tofauti na zote halali kwa misimamo tofauti ndio maana tunatofautiana kwenye mambo mengi bila kuharamisha mmoja. wewe ukitaka kwamba unaloliamini wewe ndio sawa basi hapo unakosPolevsanolevs

Nimeuliza Shekh mkubwa tu na jibu lake nimelielewa, Hakuna katazo la moja kwa moja ila kaniambia kitu muhimu sana. Kila swali utakalo uliza hutapata jibu moja inategemea na huyo Shekh huyo yuko upande gani nadhani unaelewa kuna wale wana misimamo ya kati na kuna wale mikali ndio maana hata fatwa watu wanachagua wafuate ya imam gani kutokana na mahitaji yake kuna fatwa nyingi kuhusu hambo hilo hilo moja lakini majibu tofauti na yote yana heshimika.kuna Imam Shafi, Imam Bukhar, Abu Hanifa na Ibn Taymiyyah hawa walikuwa wanatoa misimamo tofauti katika swali moja kuna walikuwa wanafanya wepesi na waliokuwa wanaharamisha moja kwa moja. Sasa swali hilohilo kasema hakuna katazo ila mwanamke hawezi kuwa Kadhi au Imam wa msikiti. Mwisho wa siku usilazimishe haram kwa kunukuu imam mmoja au mafunzo ya muelekeo mmoja ndio maana tunachagua tufuate fatwa gani kwa mujibu wa mahitaji. Ukienda kumuuliza answar sunni utapata jibu tofauti na Sufi kuna watu moderate na fatwa halali shida kuna hawa wanaodhani wanajuwa dini sana wao wanataka mawazo yao tu yawe sawa wengine wanamakosa. Ndio maana Kina Imam Shaffi, Bukhari walitoa fatwa misimamo tofauti na zote zinaheshimika. Dini nyepesi sana sisi ndio kidudu mtu tunatisha watu na kuharibu taswira ya dini tena kwa majigambo. Jibu jepesi jambo moja limetolea fatwa tofauti na zote halali kwa misimamo tofauti ndio maana tunatofautiana kwenye mambo mengi bila kuharamisha mmoja. wewe ukitaka kwamba unaloliamini wewe ndio sawa basi hapo unakosea.
Pole sana.... Umeenda Kwa shehe umemuuliza dini yetu tunaichukua wapi? Alitakiwa akijibu mara moja kuwa dini yetu tunaichukua mahali fulani. Sasa wewe mwenyewe mgonjwa wa ukoma halafu unaenda Kwa mgonjwa wa ukoma mwingine halafu unamuomba akutibu ukoma upone utapona? Angekuwa na hiyo dawa kwanini asingejitibu yeye mwenyewe kwanza?

Kikubwa hapo haujajibiwa swali lako,Kwa kukusaidia tu katika dini ya uislamu kauli ya Allah na Mtume wake inatangulizwa mbele kuliko kauli ya mtu yeyote.

Halafu huyo uliyemuuliza ungemwambia Kuna Aya Allah anasema wanaume ni wasimamizi wa wanawake je Aya hii waliifanyiaje kazi mtume na maswahaba wake?

Hao maimam aliokutajia kauli zao zinachukuliwa endapo zitafungamana na Quran na sunna vinginevyo kauli zao haziwezi kufanyiwa kazi.
Mwisho sio Kila sheikh akitoa fatwa anakuwa amepatia,hivyo fatwa inayofanyiwa kazi ni Ile iliyofungamana na dalili (quran na Sunna).

Nitaendelea inshaallah....
 
Unamaanisha kula kitimoto, kuzini, kuiba na kuua ni ruksa kwenye uislamu sababu havipo kwenye hizo nguzo 5??
Kwanza ungefanya juhudi ya kujua Nini maana ya nguzo Tano za kiislam na pia Kuna nguzo Tano za Imani!hizo mambo za kuzini ni maasi hayana relevant na mukthadha uliopo
 
Back
Top Bottom