Mstoiki
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 4,365
- 8,384
Wazo langu: Kigezo cha kuoa mwanamke ni Akili + Tabia....
Sikupingi sababu kila mtu hua na Experience kulingana na Taharifa alizo ulisha ubongo wake kupitia Kuona, Kusoma au Kusikia..
Ila kama unataka bikira hakikisha nawewe ni bikira , Zaidi ya hapo huna nafasi ya Kukosoa...