Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Haya pamoja na kumkuta bikira vipi umemuoa, popote alipo mwanamke bikira jua kuna mwanaume bikira pia, wanaume mkiendekeza ngono kwa kisingizio cha nature hizo bikira wanawake wazipate wapiSio kweli kabisa, mimi mpenzi wangu nilienae nilimkuta akiwa bikira na tayari mtu mzima yupo 20+, nina kaka aliniambia mkewe alimkuta bikira, kwaiyo kusema kwamba kupata mwanamke bikira ni kigezo ambacho hakina uhalisia huo ni uongo.
Yani hawa hawa wanaume, wanaosema mwanaume kufanya uzinzi ni nature na asiyefanya ana matatizo, ndio unategemea watakubali kuvumilia na kujitunza hadi ndoaKila upande ukiiweka msimamo na kuusimamia inawezekana kabisa. Mwanamke akikataa kurubunika mpaka aolewe na mwanaume akitakiwa kusubiri mpaka aoe inawezekana kabisa.
Tatizo hapo katikati kila upande wa jinsia lazima watajitokeza wahuni wa kuvunja ilo agano na ndipo mtoa mada anatatizika.
Kwanini mwanaume asie na hela anabaguliwa kwenye suala la kuoa wakati mwanamke asiye na bikira inaonekana ni sawa.
Kwaiyo iwe fair kila upande ubaguliwe na uambiwe ukweli mchungu. Mwanaume asiekua na hela ni masikini na hatakiwa kuoa na mwanamke asiekua na bikira ni malaya hatakiwi kuolewa.
Ukumbuke wanaoendeshwa zaidi na hisia za ngono ni wanaume kuliko wanawake, mwanamke ana uwezo wa kukaa hata miaka bila kufanya ngono, hivyo ukiwaambia wanawake wajitunze ni rahisi ila shida inakuja kwa wanaume je wako tayari
Ukiona mwanamke amekubali kufanya ngono ujue kashawishiwa na kitu kingine na siyo hisia za ngono, shida ipo kwa wanaume hisia zikiwabana watatafuta kila namna ya kuwashawishi wanawake ili wafanye nao, na kumbuka wanawake nao ni binadamu siyo malaika hivyo mwisho wa siku msiwalaumu wao tu jilaumuni na ninyi kwa tamaa zenu
Hivi ni nani anayewadanganya hivyo mbona hana akili, wewe unayetaka bikira je hapo ulipo na wewe unayo, kama mwanaume hatakiwi kujitunze je anafanya na naniBikira za kutosheleza idadi ya wenye uhitaji wa kuoa zipo, ni suala la mwanume kufanya vetting tu