grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Bikra wapo ninavyoamini utaoa na kuolewa na wale ambao wapo kwenye cycle yako na wana tabia kama zako hata kama utazificha. Mungu hukupa unachostahili hakupi unachotaka.Ni kwa sababu hakuna mwanamke bikra kwa miaka hii, ukiona mwanmke bikra ujue ana matatizo ya kiafya tangia amezaliwa
Ninawajua watu kadhaa waliooa bikra ila ukifuatilia historia zao ni wachamungu wamekuzwa kiimani na hata wake zao ni wale waliokulia katika mazingira ya kidini.
N.b
Mimi ni muislamu hivyo ninaowaongelea hapo ni waislamu pia.