Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

Wazo langu: Kigezo cha kuoa mwanamke ni Akili + Tabia....

Sikupingi sababu kila mtu hua na Experience kulingana na Taharifa alizo ulisha ubongo wake kupitia Kuona, Kusoma au Kusikia..

Ila kama unataka bikira hakikisha nawewe ni bikira , Zaidi ya hapo huna nafasi ya Kukosoa...
 
Sasa kama umeoa malalamiko ya kila siku dhidi ya wanawake ni ya nini
Kuwasilisha tatizo sio kulalamika, naishi na ndugu, jamaa, majirani na marafiki naona yanayoendelea kwenye jamii kwaiyo haimaanishi kwamba kila nitakachokiwasilisha kimenitokea mimi binafsi
Hakuna mwanaume wa aina hiyo
Wanaume hao wapo wengi sana, sio chaguo la wanawake kwa sababu wanawake ambao wapo kwenye age yao ni mapepe wana-prefer badboys over nice guys
Wanaume ambao hatupo interested na vishawishi vya wanawake tupo, mmoja wapo ni mimi mwenyewe. Wapo wanawake wengi ambao naona ishara zao za kufosi kingi lakini nawapuuzia.
Hapa suala siyo kuwepo suala ni hawapo wa kuwatosheleza wanaume wote wanaotaka kuoa wanawake mabikira elewa hoja
Wapo wa kutosheleza, hakuna upungufu wa wanawake bikira kwa mwanaume mwenye uhitaji wa kuoa, nasisitiza tena bikira za kutosheleza mahitajo ya waoaji zipo.
 
Kwanini akubali wakati anajua akifanya mapenzi bikira ikatoka itadhihirika?
 
Nilioa
Mke Bikra nilidumu naye miaka mi5 tu nikashindwana naye tabia, nikaoa asiye bikra nadunda naye mwaka wa 9 sasa, pia bikra 3 nilizotoa kabla ya kuoa ziko kwenye ndoa zaidi ya miaka 13, 15.

Me halisi hujikita katika tabia si bikra, vipi Ke ambao bikra zao zilitoka tokana na shughuli ngumu kama kupanda milima, kuendesha baiskeli nao hawana tabia njema?

Real Men do just focus on material wives behaviorally but not virgins tha don't last forever in our daily life, wake up Men.
 
KAMA SIO BIKRA NA HAJAOLEWA HUYO NI MALAYA Kosugi
 
MATALIA NA KUSAGA MENO!! KAMA SIO BIKRA WEWE NI MALAYA TUU
 
Weweee singo mazaaaa KAMA WEWE SIO BIKRA NA HUJAOLEWA WEWE NI MALAYA TUU
 
Pumba.
 
Mabikra wapo wengi tu kaka, haya ma malaya hayafai hata kidogo kwanza mpaka idadi ya wanaume walio lala nao hayakumbuki
 
KAMA SIO BIKRA NA HUJAOLEWA WEWE NI MALAYA KAMA MALAYA WENGINE
 
Hebu wasamehe kwanza hawajui walisemalo bwan 😂
 
KAMA SIO BIKRA NA HUJAOLEWA WEWE NI MALAYA KAMA MALAYA WENGINE
 
WANAWAKE MLIOSHINDWA KUJITUNZA NYUZI KAMA HIZI ZINAWAUMIZA SANA
😌 mbona unani quote sana,,kuna tuzo za kujitunza ili nianze leo?,,au ndo kuolewa napo nije niangukie kwa malaya mtoboa vitobo😌😌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…