Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

Wanawake wanatetewa kwa mambo mbali mbali kwa sababu Ni viumbe dhaifu
 
BAHATI MBAYA KAMA ULIKUWA MALAYA NA UNATAKA UJITUNZE HILO HALITOWEZEKANA MAANA BIKRA HAMNA
Anhaa,, kumbe kama nilikua,, nilijua ushawahi niona mahali au video yangu ilivuja nikikobekwa bwan,, kumbe ni imagination
 
Sababu kubwa ni kampeni za ferminism. Kupitia kampeni hizi wanawake wamejipandisha thamani kwa vigezo vya kipumbavu huku wanaume wamejishusha thamani wakiwa na vigezo vya maana kabisa.

Leo sio ajabu mwanaume mwenye kipato cha 200k/ months akaambiwa hana hadhi ya kudate na mwanamke ambae ni jobless na bado mwanaume uyo akaona halali kuwa mnyonge, ukifatilia sababu ni nini, ni kwa sababu uyo mwanamke jobless ana tako.

Wanaume tutoke usingizini, tuone uhalisia, tujue thamani zetu na tuweke standard zetu.

Mwanaume achana na iyo mentality ya kufikiri mwanamke anakufanyia favor kudate na wewe, fanya tathmini ya mahusiano yako ni nani anawekeza zaidi, ni nani anamsaidia mwenzake zaidi utagundua ni wewe ndie unafanya favor kudate na yeye
Umetema madini Sana we jamaa
 
Ni kwa sababu hicho kigezo chenu hakina uhalisia, ili wanawake wajitunze hadi ndoa maana yake na wanaume nao itabidi wakubali kujitunza hadi ndoa, wanawake wote wakisema wakitongozwa wakatae ili wajitunze maana yake wanaume watakosa wanawake wa kufanya nao tendo la ndoa

Sasa wanaume mkiambiwa nanyi mkubali kujitunza hadi ndoa hamtaki mnaleta visingizio vya kipuuzi eti nature, matokeo yake hata wanawake wakisema wakatae mtaendelea kuwashawishi tu, kumbuka nao ni binadamu siyo malaika kwahiyo mwisho wa siku msianze kulialia kwamba wanawake hawajitunzi ilihali nanyi hamko tayari

Lakini tukija kwenye kigezo cha pesa hicho kina uhalisia, kwa sababu mwanaume anapimwa kwa uwezo wake wa kubeba jukumu lake la kutunza na kuhudumia familia na hilo ndilo jukumu kubwa la mwanaume, sasa mwanaume usipokuwa na shughuli yoyote ya kukuingizia kipato huko ndoani unataka uende kufanya nini
Mwanaume kupimwa kwa pesa kama anauwezo wa kuihudumia familia ni sawa, ila mwanamke kupimwa kwa bikra kama ana uwezo wa kujitunza ni kosa la jinai. This degree of selfishness is beyond the limits.
 
Anhaa,, kumbe kama nilikua,, nilijua ushawahi niona mahali au video yangu ilivuja nikikobekwa bwan,, kumbe ni imagination
Mamake kafanikiwa kuirudisha kwani? Atuunganishe nae tupate mbinu
 
Narudia : KAMA SIO BIKRA NA HUJAOLEWA WEWE NI MALAYA KAMA MALAYA WENGINE
umesahau ku bold msemaji wa MALAYA sie, yote kwa yote, POLE KWA YALIYOKUSIBU KWA MALAYA ULIYE MUOPOA BILA KUJUA,una makasiriko na nyuchi ni zetu
 
Mamake kafanikiwa kuirudisha kwani? Atuunganishe nae tupate mbinu
Hehehe,,uyo mamake kwa jinsi alivo jiachia kwa kila size hata walete mbinu gani hairudi kamwe,,,atuache sie wamama wa wenyewe
 
Wanaomponda ni wale ambao wameoa wanawake waliokwisha tumika, ni kama wanajifariji tu. Utaowaje mwanake keshakojolowa na watu kibao we ndio unaowa.
Ahahahahaa..!!! Akikojolewa nje ukiwa ushamtoa bikra je?
 
UTAONGEA SANA ILA KAMA SIO BIKRA JIJUE TU WEWE NI MALAYA NA HUNA HADHI, NAJUA UNAUMIA KUSOMA HIZI MESSAGE ILA JIKAZE MAANA HUKUJALI KUJITUNZA
asante kwa kunisanua nilikua sijui,, ngoj nianze kuumia kuanzia sasa 😥😥
 
Hehehe,,uyo mamake kwa jinsi alivo jiachia kwa kila size hata walete mbinu gani hairudi kamwe,,,atuache sie wamama wa wenyewe
Wengine mama zao hawana zote mbili lakini wapo hapa wanajishongondoa
 
Back
Top Bottom