Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

Atafute neno jipya hili limezoeleka sasa, inajulikana asie na bikira ni malaya na mama zao wamo,
mbaya zaidi wanaosema yote haya,,wameshuhudia harusi za wazee wao,,walizaliwa kwanza then ndoa zikafata
 
mbaya zaidi wanaosema yote haya,,wameshuhudia harusi za wazee wao,,walizaliwa kwanza then ndoa zikafata
😅😅😅 yani wakiguswa kwa mama zao wanapandisha na sukari, wakati ni yaleyale
 
Nilioa

Mke Bikra nilidumu naye miaka mi5 tu nikashindwana naye tabia, nikaoa asiye bikra nadunda naye mwaka wa 9 sasa, pia bikra 3 nilizotoa kabla ya kuoa ziko kwenye ndoa zaidi ya miaka 13, 15.

Me halisi hujikita katika tabia si bikra, vipi Ke ambao bikra zao zilitoka tokana na shughuli ngumu kama kupanda milima, kuendesha baiskeli nao hawana tabia njema?

Real Men do just focus on material wives behaviorally but not virgins tha don't last forever in our daily life, wake up Men.
Hizo takwimu hata mimi ninaweza kupika za kwangu hivyo hazisapoti chochote katika hoja hii . Tuendelee

Kingine huo ni mtizamo wako utabaki kuwa mtizamo wako na hauwezi kuwa UNIVERSAL LAW narudia tena kama unavyopenda wasio na bikra basi kuna ambao wanapenda wenye nazo na kama umesoma post yangu vizuri . sijasema kwamba bikra ni kigezo cha tabia njema ila ni kuna emotionala na psychological connection bwtween hao watu wawili waliokutana wakiwa hawajafanya chochote tofauti na mmoja akiwa keshakichafua.

na kuhusu kutoka bikra bila ya tendo , ingekuwa umewahi kuvunja ungeelewa utofauti wa aliyetoka bila tendo na aliyetoka kwa tendo sitaingia in dertails .

N.B
Kitu cha kwanza kuangalia kwa me au ke wanayetaka kufunga ndoa iwe uchamungu hiko ni kitu kikubwa sana hauwezi kuwa mchamungu halafu ukawa mzinifu, mlevi, msengenyaji, mwizi , muongo n.k
 
Back
Top Bottom