The useful idiot
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 1,019
- 2,670
NA MPAKA MTHEMEE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujajibu swali langu, anyway na mwanaume kwanini atongoze wakati anataka wanawake wajitunze, na anajua mwisho wa siku akitaka kuoa atahitaji bikira huoni kama huo ni uwendawazimuKwanini akubali wakati anajua akifanya mapenzi bikira ikatoka itadhihirika?
ULISHAWISHIKA BILA YA KUTAFAKARI MAISHA YAKO YA BAADAEHaya utaolewa wewe
Sawa binti, ukitunza wewe hiyo bikira yako inatosha, endelea kujitunza usijali utaolewa siku si nyingiKAMA SIO BIKRA NA HUJAOLEWA WEWE NI MALAYA KAMA MALAYA WENGINE
KAMA HUKUJITUNZA USITULILIE HUMU! KAMFUATE ALIE KULAGHAIBado hujajibu swali langu, anyway na mwanaume kwanini atongoze wakati anataka wanawake wajitunze, na anajua mwisho wa siku akitaka kuoa atahitaji bikira huoni kama huo ni uwendawazimu
KAMA SIO BIKRA NA HUJAOLEWA HUNA HADHI YA KUOLEWASawa binti, ukitunza wewe hiyo bikira yako inatosha, endelea kujitunza usijali utaolewa siku si nyingi
Ukiolewa wewe inatoshaKAMA SIO BIKRA NA HUJAOLEWA HUNA HADHI YA KUOLEWA
BADOOUkiolewa wewe inatosha
KAMLILIE ALIEKUDANGANYA ATAKUOAUtakufa vibaya weweeeee nakuambia
Sasa msiweke kipimo ilimradi tu wekeni kipimo chenye logic hamjakatazwa kuweka kipimo ila angalieni hali halisi, sasa unapomuambia mwanamke ajitunze halafu mwanaume asijitunze huyo mwanaume atafanya na nani, kama mnataka wanawake wajitunze maana yake na wanaume wawe tayari kujitunza hence wote mnatakiwa kuingia kwenye ndoa mkiwa mabikiraMwanaume kupimwa kwa pesa kama anauwezo wa kuihudumia familia ni sawa, ila mwanamke kupimwa kwa bikra kama ana uwezo wa kujitunza ni kosa la jinai. This degree of selfishness is beyond the limits.
KAMA SIO BIKRA NA HUJAOLEWA JILAUMU SANA MAANA HUNA HADHI WALA HESHIMA KWENYE JAMIISasa msiweke kipimo ilimradi tu mmeweka wekeni kipimo chenye uhalisia, hamjakatazwa kuweka kipimo ila angalieni na hali halisi sasa unapomuambia mwanamke ajitunze halafu mwanaume asijitunze unaona kuna logic hapo, kama mnataka wanawake wajitunze maana yake na wanaume nao wawe tayari kujitunza hence wote mnatakiwa kuingia kwenye ndoa mkiwa mabikira
Sasa ndoa itafanyika vipi pasipo kutongoza? Au ulimaanisha ngono?Bado hujajibu swali langu, anyway na mwanaume kwanini atongoze wakati anataka wanawake wajitunze, na anajua mwisho wa siku akitaka kuoa atahitaji bikira huoni kama huo ni uwendawazimu
Lets agree to disagree 🫱🫲Unakaza sana fuvu Kijana, kwani hizo bikra 2 nilizovunja kabla ya ndoa huzioni au ndiyo unajitoa akili? Je Ke niliyeoa awali?
Hakuna aliyekulazimisha ukubaliane na mtizamo wangu ila ukikua utaelewa hakuna mwenye hatimiliki ya kummiliki Binadamu 100%, ikiwa hata furaha yenyewe huwa ya muda tu je huyo Bikra ndiye atakuganda milele kisa ulimtoa Bikra hadi umfungie ndani ya boksi asikuchoke au ulimshawishi vipi kukubali akiwa Bikra hadi Me wengine washindwe kumshawishi na kukusaliti?
Amka, badilika, chukua hatua ujue unaishi zama zipi na unapaswa uishije.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Ndio ngono, i mean wanaume kwanini msiache kuwatongoza wanawake msio na malengo nao, mwanamke akitongozwa yeye hajui kama una malengo naye au la kwa sababu siyo yeye anayeamua ndoaSasa ndoa itafanyika vipi pasipo kutongoza? Au ulimaanisha ngono?
Tatizo msipotongozwa hamjisikii hadi mnafika kwa waganga na wachungaji...Ndio ngono, i mean wanaume kwanini msiache kuwatongoza wanawake msio na malengo nao, mwanamke akitongozwa yeye hajui kama una malengo naye au la kwa sababu siyo yeye anayeamua ndoa
Hiki nacho ni moja ya vile visingizio vyenu vya kipuuzi vinavyohusiana na masuala ya ngono, kama kuna kitu kinachosababisha mwanamke aamini kwamba kutongozwa ndio kujisikia vizuri basi ni social constructs tu na wala si nature, siku ikiwekwa sheria kali kwamba hakuna mwanamke yeyote kufanya kabla ya ndoa wanaume mtapata tabu sana na nina uhakika ninyi wenyewe ndio mtakuwa wa kwanza kulilia hiyo sheria ifutweTatizo msipotongozwa hamjisikii hadi mnafika kwa waganga na wachungaji...
Sisi kutongoza wakati mwingine ni kuwafanya mjihisi vizuri..
Hivi kumbe huwa mnajidanganya sisi tuna uhitaji sana wa ngono?Hiki nacho ni moja ya vile visingizio vyenu vya kipuuzi vinavyohusiana na masuala ya ngono, kama kuna kitu kinachosababisha mwanamke aamini kwamba kutongozwa ndio kujisikia vizuri basi ni social constructs tu na wala si nature, siku ikiwekwa sheria kali kwamba hakuna mwanamke yeyote kufanya kabla ya ndoa wanaume mtapata tabu sana na nina uhakika ninyi wenyewe ndio mtakuwa wa kwanza kulilia hiyo sheria ifutwe
Kjn amini hivyo, ila nyingi zinatolewa chuoHahaaaa..nionyeshe nami nikuonyeshe msikiti wenye msalaba