Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

Kwanini akubali wakati anajua akifanya mapenzi bikira ikatoka itadhihirika?
Bado hujajibu swali langu, anyway na mwanaume kwanini atongoze wakati anataka wanawake wajitunze, na anajua mwisho wa siku akitaka kuoa atahitaji bikira huoni kama huo ni uwendawazimu
 
KAMA HUKUJITUNZA USITULILIE HUMU! KAMFUATE ALIE KULAGHAI
 
Mwanaume kupimwa kwa pesa kama anauwezo wa kuihudumia familia ni sawa, ila mwanamke kupimwa kwa bikra kama ana uwezo wa kujitunza ni kosa la jinai. This degree of selfishness is beyond the limits.
Sasa msiweke kipimo ilimradi tu wekeni kipimo chenye logic hamjakatazwa kuweka kipimo ila angalieni hali halisi, sasa unapomuambia mwanamke ajitunze halafu mwanaume asijitunze huyo mwanaume atafanya na nani, kama mnataka wanawake wajitunze maana yake na wanaume wawe tayari kujitunza hence wote mnatakiwa kuingia kwenye ndoa mkiwa mabikira
 
Sasa msiweke kipimo ilimradi tu mmeweka wekeni kipimo chenye uhalisia, hamjakatazwa kuweka kipimo ila angalieni na hali halisi sasa unapomuambia mwanamke ajitunze halafu mwanaume asijitunze unaona kuna logic hapo, kama mnataka wanawake wajitunze maana yake na wanaume nao wawe tayari kujitunza hence wote mnatakiwa kuingia kwenye ndoa mkiwa mabikira
KAMA SIO BIKRA NA HUJAOLEWA JILAUMU SANA MAANA HUNA HADHI WALA HESHIMA KWENYE JAMII
 
Bado hujajibu swali langu, anyway na mwanaume kwanini atongoze wakati anataka wanawake wajitunze, na anajua mwisho wa siku akitaka kuoa atahitaji bikira huoni kama huo ni uwendawazimu
Sasa ndoa itafanyika vipi pasipo kutongoza? Au ulimaanisha ngono?
 
Unakaza sana fuvu Kijana, kwani hizo bikra 2 nilizovunja kabla ya ndoa huzioni au ndiyo unajitoa akili? Je Ke niliyeoa awali?

Hakuna aliyekulazimisha ukubaliane na mtizamo wangu ila ukikua utaelewa hakuna mwenye hatimiliki ya kummiliki Binadamu 100%, ikiwa hata furaha yenyewe huwa ya muda tu je huyo Bikra ndiye atakuganda milele kisa ulimtoa Bikra hadi umfungie ndani ya boksi asikuchoke au ulimshawishi vipi kukubali akiwa Bikra hadi Me wengine washindwe kumshawishi na kukusaliti?

Amka, badilika, chukua hatua ujue unaishi zama zipi na unapaswa uishije.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Lets agree to disagree 🫱🫲
 
Sasa ndoa itafanyika vipi pasipo kutongoza? Au ulimaanisha ngono?
Ndio ngono, i mean wanaume kwanini msiache kuwatongoza wanawake msio na malengo nao, mwanamke akitongozwa yeye hajui kama una malengo naye au la kwa sababu siyo yeye anayeamua ndoa
 
Tatizo msipotongozwa hamjisikii hadi mnafika kwa waganga na wachungaji...

Sisi kutongoza wakati mwingine ni kuwafanya mjihisi vizuri..
 
Hiki nacho ni moja ya vile visingizio vyenu vya kipuuzi vinavyohusiana na masuala ya ngono, kama kuna kitu kinachosababisha mwanamke aamini kwamba kutongozwa ndio kujisikia vizuri basi ni social constructs tu na wala si nature, siku ikiwekwa sheria kali kwamba hakuna mwanamke yeyote kufanya kabla ya ndoa wanaume mtapata tabu sana na nina uhakika ninyi wenyewe ndio mtakuwa wa kwanza kulilia hiyo sheria ifutwe
 
Hivi kumbe huwa mnajidanganya sisi tuna uhitaji sana wa ngono?
 
Back
Top Bottom