Kwanini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri, pesa hapondwi?

Haya pamoja na kumkuta bikira vipi umemuoa, popote alipo mwanamke bikira jua kuna mwanaume bikira pia, wanaume mkiendekeza ngono kwa kisingizio cha nature hizo bikira wanawake wazipate wapi

Yani hawa hawa wanaume, wanaosema mwanaume kufanya uzinzi ni nature na asiyefanya ana matatizo, ndio unategemea watakubali kuvumilia na kujitunza hadi ndoa

Ukumbuke wanaoendeshwa zaidi na hisia za ngono ni wanaume kuliko wanawake, mwanamke ana uwezo wa kukaa hata miaka bila kufanya ngono, hivyo ukiwaambia wanawake wajitunze ni rahisi ila shida inakuja kwa wanaume je wako tayari

Ukiona mwanamke amekubali kufanya ngono ujue kashawishiwa na kitu kingine na siyo hisia za ngono, shida ipo kwa wanaume hisia zikiwabana watatafuta kila namna ya kuwashawishi wanawake ili wafanye nao, na kumbuka wanawake nao ni binadamu siyo malaika hivyo mwisho wa siku msiwalaumu wao tu jilaumuni na ninyi kwa tamaa zenu

Hivi ni nani anayewadanganya hivyo mbona hana akili, wewe unayetaka bikira je hapo ulipo na wewe unayo, kama mwanaume hatakiwi kujitunze je anafanya na nani
Tutaendelea kuwala wasio na Bikra, wenye bikra tutawaacha tusiwaharibu mpaka ndoa, upwiru titapunguzia kwenu mliotobolewa, mtu unetobolewa unajitunza nini hebu toa mzigo huo watu tupunguze nyege, ulitakiwa kujitunza kipindi upo Bikra, na usimlaumu mwanaume kukutoa Bikra kwasababu hakukubaka.
 
Comment yangu imekukuna unapowashwa kamuulize mama yako kama bado anayo hiyo bikira jibu atakalokupa uje sasa tuzungumze,
We yako ilishatolewa tulia, usihamishie tatizo kwa mama wa wengine, jitathmini mwenyewe, na huu uzi umewapiga kwenye mshono
 
Bado hujajibu swali langu, anyway na mwanaume kwanini atongoze wakati anataka wanawake wajitunze, na anajua mwisho wa siku akitaka kuoa atahitaji bikira huoni kama huo ni uwendawazimu
Nakufafanulia ila huelewi, Ktk kupunguza upwiru tutawatia nyie msio na Bikra, wenye Bikra tutaziachia waume zao wakiwaoa ndo wazivunje
 
We yako ilishatolewa tulia, usihamishie tatizo kwa mama wa wengine, jitathmini mwenyewe, na huu uzi umewapiga kwenye mshono
Hiyo kujitathmini akaanze mama yako au bado anayo bikira?
 
Yakikuchoma unahamisha uhusika kwa watu wengine, ya mama siyajui, atapambana kivyake, siwezi kuulizia hayo mambo kwa wazazi, tumia nidhamu
 
Mfano kama aliolewa akiwa Bikra, hata kama hana kwa sasa, shida iko wapi? Mtu ambaye hana bikra na hajaolewa huyo ndoninayemzungumzia.
Naona akili imewasogea sasa,
 
Yakikuchoma unahamisha uhusika kwa watu wengine, ya mama siyajui, atapambana kivyake, siwezi kuulizia hayo mambo kwa wazazi, tumia nidhamu
Yani mmekosa nidhamu kwa wamama wa wengine mkitegemea wa kwenu waheshimiwe?? Ulikuwepo wakati bikira ya mamako inatolewa? Kama hukuwepo tupo nao wao ndo wenyeviti wa umalaya
 
Kama hujaolewa acha umalaya, mama za wengine wameolewa wapo kwenye ndoa zao
 
Hivi kumbe huwa mnajidanganya sisi tuna uhitaji sana wa ngono?
Hatujidanganyi bali hiyo ndio hali halisi na wenyewe huwa mnajinasibu kwamba hiyo ndio nature yenu, malalamiko ya kunyimwa unyumba kwenye ndoa yanatoka kwa wanaume zaidi kuliko kwa wanawake, cases za kuhonga pesa na mali (zilizotafutwa kwa tabu) kwa ajili ya ngono tu zipo kwa wanaume zaidi kuliko kwa wanawake
 
Tutaendelea kuwala wasio na Bikra, wenye bikra tutawaacha tusiwaharibu mpaka ndoa, upwiru titapunguzia kwenu mliotobolewa, mtu unetobolewa unajitunza nini hebu toa mzigo huo watu tupunguze nyege, ulitakiwa kujitunza kipindi upo Bikra, na usimlaumu mwanaume kukutoa Bikra kwasababu hakukubaka.
Masikini yani mnajifariji uongo hadi mnatia huruma hebu tokeni huko kwenye fantasies mje kwenye reality, uzuri sisi humu tunaandika uhalisia tunaona ndoa zinafungwa kila siku na wanaoolewa tunawajua tabia zao wengine ni mpaka makahaba wastaafu, poleni hao ndio wanawake pekee mlionao wala msidhani mtaumbiwa wengine yani bikira mzitoe wenyewe halafu mkitaka kuoa mje mzidai tena huo kama siyo wendawazimu ni nini
Nakufafanulia ila huelewi, Ktk kupunguza upwiru tutawatia nyie msio na Bikra, wenye Bikra tutaziachia waume zao wakiwaoa ndo wazivunje
Nani kakudanganya kwamba wanaume wote wana mawazo hayo wengine lengo lao ni kuzitoa hizo bikira kisha wanakimbia, sasa kama mnashawishi watoto wa watu kwanini wakikubali muanze kuwaona wajinga, kati ya wanawake na wanaume mnaokuja kudai bikira mlizozitoa wenyewe nani mjinga kwani wakati mnazitoa hamkujua kuhusu hilo
 
SWALI: Kwa nini Mwanaume akiweka bikira kigezo cha kuoa anapondwa, ila Mwanamke akisema anataka mchumba awe na kazi nzuri,pesa hapondwi ?

Jibu: Ni mfumo wa dunia, tafuta pesa. ukizipata hakikisha unakuwa tomba tomba ili watu wajue unazo. Ukizipata na ukawa na mwanamke mmoja ni uchoyo, ni kukosa uzalendo.​

So unaweza ukawa na demu, tongoza mamake, babake kama namna gani vipi.
 
Masikini yani mnajifariji uongo hadi mnatia huruma hebu tokeni huko kwenye fantasies mje kwenye reality, uzuri sisi humu tunaandika uhalisia tunaona ndoa zinafungwa kila siku na wanaoolewa tunawajua tabia zao wengine ni mpaka makahaba wastaafu, poleni hao ndio wanawake pekee mlionao wala msidhani mtaumbiwa wengine yani bikira mzitoe wenyewe halafu mkitaka kuoa mje mzidai tena huo kama siyo wendawazimu ni nini

Nani kakudanganya kwamba wanaume wote wana mawazo hayo wengine lengo lao ni kuzitoa hizo bikira kisha wanakimbia, sasa kama mnashawishi watoto wa watu kwanini wakikubali muanze kuwaona wajinga, kati ya wanawake na wanaume mnaokuja kudai bikira mlizozitoa wenyewe nani mjinga kwani wakati mnazitoa hamkujua kuhusu hilo
Na wasiwasi na upeo wako wa kufikiri, natoa haja yangu unarudia kile kile, mimi nimesapoti utoaji wa hiyo Bikra kabla mtu hajaoa? Itabidi unilipe sasa maana nishachoka kuelekeza kitu kile kile
 
Oohh kumbe umeona kero ya kumuelezea mtu jambo halafu bado anarudia kitu kile kile na hata hivyo si ulisema kwamba hata mwanaume akikutoa bikira usimlaumu eti kisa hakukubaka, yani mwanaume kushawishi siyo kosa ila mwanamke kukubali ndio kosa labda niulize kwani ni kina nani wenye shida na hizo bikira za wanawake, mimi nilikuelezea kule juu kwamba mfano itokee kizazi chote cha wasiojitunza kimefutika kikaanza kizazi cha wanaojitunza tu halafu wanaume wakakosa wanawake wa kufanya nao kabla ya ndoa je unadhani wanaume watakubali kuvumilia hadi ndoa

Lakini ulivyo na uwezo mdogo wa kufikiri na kupambanua hoja ukasema eti nisiandike kitu ambacho hakina uhalisia na hakiwezi kutokea, nikakuambia kwamba hicho nilichoandika kinareflect uhalisia kwa sababu kama ungekuwa na uwezo wa kufikiria mbali, basi ungejua kwamba hata sasa hivi tukisema wanawake wote wenye bikira waanze kujitunza hadi ndoa maana yake kizazi cha wanawake ambao hawakujitunza kitaenda kitaisha

Kitabaki kizazi cha waliojitunza na hapo ndipo wanaume wa kizazi hiko watakapojikuta wanakutana na kigingi cha no sex before marriage, and mind you hapo binti kuolewa ni hadi amalize kusoma na apate shughuli ya kumuingizia kipato sababu huko tunakoelekea hakuna mwanaume atataka kuoa golikipa, na kwa mwanaume nako same thing kuoa ni mpaka amalize kusoma na apate shughuli ya kumuingizia kipato piga hesabu hapo siyo chini ya miaka 25 hadi 30 kutegemeana na level ya elimu na hali ya mtu ya maisha

Zamani iliwezekana watu kujitunza hadi ndoa sababu ndoa zilifungwa mapema binti akivunja ungo tu anaozeshwa kijana naye akishabalehe tu anapewa mashamba na mifugo kisha anapewa mke wanaanza maisha ya ndoa, ila siku hizi vijana hawataki kuoa mapema wanasingizia watakosa uhuru mara sijui mahari kubwa mara sijui mpaka wajipate na blah blah kibao, kumbe wanataka warukeruke kwanza wachezee watoto wa watu halafu mwisho wa siku wakitaka kuoa waanze kuleta unafiki wa kusema eti wanawake hawajitunzi hivyo ndio wanajifanya kuanza kutaka kuoa bikira

Sasa kwa wanaume hawa ambao wanadai wakishabalehe tu hawawezi kukaa hata mwaka bila kufanya ngono sababu ni nature unadhani wataweza kuvumilia hadi umri wa kuoa miaka 25 hadi 30 huko, maana kumbuka hapo wanawake wote wameamua wajitunze hadi ndoa kama mnavyotaka ili mkija kuoa mzikute bikira yani tufanye kila unayemtongoza ni bikira anakuambia hatoi hadi umuoe, maana yake na ninyi itabidi mkubali kujitunza na muingie kwenye ndoa mkiwa mabikira sasa swali langu ni kwamba je wanaume mtakuwa tayari kwa hilo

Sababu shida imeonekana iko upande wenu zaidi mwanamke yeye ana uwezo wa kukaa hata miaka bila kufanya ngono na asipate madhara, kwa sababu ana uwezo mkubwa sana wa kuzuia hisia za ngono labda awe anajiendekeza tu ila ninyi huwa mnasema wenyewe kwamba kukaa hata mwaka tu mtihani, mwanamke yeye ukiona amekubali kirahisi kufanya ngono ujue ameshawishiwa na kitu kingine kama pesa au mali lakini si kwamba eti hisia zimembana kiasi hiko

Kwanza kwa kawaida mwanamke hupenda kufanya na mwanaume anayempenda tu tofauti na hapo ndio kama nilivyokuambia ni lazima kuwe na kitu cha kumshawishi, kwahiyo kwa mwanamke ni rahisi sana kujitunza hadi ndoa ikiwa hajashawishiwa kwa chochote ila kwa mwanaume wote tunajua hali halisi, ndio maana nikakuuliza siku wanawake wote mabikira wakisema waanze kuweka ngumu wajitunze hadi ndoa kama mnavyotaka je na wanaume mtakubali na mtaweza kuvumilia hadi ndoa bila kuwashawishi wanawake wakubali kufanya ngono kabla ya ndoa elewa hoja
 
Mwanamke yeyote hua anaolewa na mwanaume toleo la tatu

Toleo la kwanzw mtoa bikraa huyu sio muaji kabisa ila ndo kuna true love kutoka kwa mwanamke kumuacha sio rahisi labda kifo...

Toleo la pili huyu ni yule anaye mpeleka mjini mwanamke yaani kumtoa ushamba wa mapenz na kuumpa vibe hapa wengi hua wanafirwa sana cos toleo la pili hua ni makatili sana tena asipokua makini anaweza akawa single Maza hapa mwanamke anaachiwa makovu ya mapenz na kumfanya awe Makin sana........

Toleo la tatu ndo la ndoa huku mwanamke anatafuta pakupumzikia apate pumziko la milele mara nyingi wanatafuta wale wanaume maboya ambayo wataweza kuyaendesha kwenye pumziko la milele........
Hakika huu ukweli mchungu, wanaume waoaji wote huwa ni mazwazwa, mafala, malofa majinga, wajanja ni wale wanaooa bikra au waliotoa bikra na kuwaachia mapopoma kuoa.
 
Oohh kumbe umeona kero ya kumuelezea mtu jambo halafu bado anarudia kitu kile kile na hata hivyo si ulisema kwamba hata mwanaume akikutoa bikira usimlaumu eti kisa hakukubaka, yani mwanaume kushawishi siyo kosa ila mwanamke kukubali ndio kosa labda niulize kwani ni kina nani wenye shida na hizo bikira za wanawake, mimi nilikuelezea kule juu kwamba mfano itokee kizazi chote cha wasiojitunza kimefutika kikaanza kizazi cha wanaojitunza tu halafu wanaume wakakosa wanawake wa kufanya nao kabla ya ndoa je unadhani wanaume watakubali kuvumilia hadi ndoa

Lakini ulivyo na uwezo mdogo wa kufikiri na kupambanua hoja ukasema eti nisiandike kitu ambacho hakina uhalisia na hakiwezi kutokea, nikakuambia kwamba hicho nilichoandika kinareflect uhalisia kwa sababu kama ungekuwa na uwezo wa kufikiria mbali, basi ungejua kwamba hata sasa hivi tukisema wanawake wote wenye bikira waanze kujitunza hadi ndoa maana yake kizazi cha wanawake ambao hawakujitunza kitaenda kitaisha

Kitabaki kizazi cha waliojitunza na hapo ndipo wanaume wa kizazi hiko watakapojikuta wanakutana na kigingi cha no sex before marriage, and mind you hapo binti kuolewa ni hadi amalize kusoma na apate shughuli ya kumuingizia kipato sababu huko tunakoelekea hakuna mwanaume atataka kuoa golikipa, na kwa mwanaume nako same thing kuoa ni mpaka amalize kusoma na apate shughuli ya kumuingizia kipato piga hesabu hapo siyo chini ya miaka 25 hadi 30 kutegemeana na level ya elimu na hali ya mtu ya maisha

Zamani iliwezekana watu kujitunza hadi ndoa sababu ndoa zilifungwa mapema binti akivunja ungo tu anaozeshwa kijana naye akishabalehe tu anapewa mashamba na mifugo kisha anapewa mke wanaanza maisha ya ndoa, ila siku hizi vijana hawataki kuoa mapema wanasingizia watakosa uhuru mara sijui mahari kubwa mara sijui mpaka wajipate na blah blah kibao, kumbe wanataka warukeruke kwanza wachezee watoto wa watu halafu mwisho wa siku wakitaka kuoa waanze kuleta unafiki wa kusema eti wanawake hawajitunzi hivyo ndio wanajifanya kuanza kutaka kuoa bikira

Sasa kwa wanaume hawa ambao wanadai wakishabalehe tu hawawezi kukaa hata mwaka bila kufanya ngono sababu ni nature unadhani wataweza kuvumilia hadi umri wa kuoa miaka 25 hadi 30 huko, maana kumbuka hapo wanawake wote wameamua wajitunze hadi ndoa kama mnavyotaka ili mkija kuoa mzikute bikira yani tufanye kila unayemtongoza ni bikira anakuambia hatoi hadi umuoe, maana yake na ninyi itabidi mkubali kujitunza na muingie kwenye ndoa mkiwa mabikira sasa swali langu ni kwamba je wanaume mtakuwa tayari kwa hilo

Sababu shida imeonekana iko upande wenu zaidi mwanamke yeye ana uwezo wa kukaa hata miaka bila kufanya ngono na asipate madhara, kwa sababu ana uwezo mkubwa sana wa kuzuia hisia za ngono labda awe anajiendekeza tu ila ninyi huwa mnasema wenyewe kwamba kukaa hata mwaka tu mtihani, mwanamke yeye ukiona amekubali kirahisi kufanya ngono ujue ameshawishiwa na kitu kingine kama pesa au mali lakini si kwamba eti hisia zimembana kiasi hiko

Kwanza kwa kawaida mwanamke hupenda kufanya na mwanaume anayempenda tu tofauti na hapo ndio kama nilivyokuambia ni lazima kuwe na kitu cha kumshawishi, kwahiyo kwa mwanamke ni rahisi sana kujitunza hadi ndoa ikiwa hajashawishiwa kwa chochote ila kwa mwanaume wote tunajua hali halisi, ndio maana nikakuuliza siku wanawake wote mabikira wakisema waanze kuweka ngumu wajitunze hadi ndoa kama mnavyotaka je na wanaume mtakubali na mtaweza kuvumilia hadi ndoa bila kuwashawishi wanawake wakubali kufanya ngono kabla ya ndoa elewa hoja
Hoja zako hazina mantiki kabisa, eti kizazi kitafutika cha wanaooliwa, unafikiri ni wote wataoweza kujitunza? Lazima wengine watatobolewa, ndo tutaponea kwa hao hao tukiwa na upwiru, bikra tutawatunza, kwa taarifa yako mwanaume akiamua kukaa muda mrefu bila sex inawezekana japo ni ngumu, hayo ni maagizo ya Mungu, Mungu hawezi kuagiza visivyowezekana, mbona mapadre maisha yao yote hawaoi? Unafikiria kweli wewe? Halafu punguza kuandika magazeti marefu, leta hoja za msingi. Swali la kizazi kufutika sina muda wa kulijibu tena
 
Mi nilisema tu huu uzi lazima uchukiwe na malaya
 
Bikra wapo ninavyoamini utaoa na kuolewa na wale ambao wapo kwenye cycle yako na wana tabia kama zako hata kama utazificha. Mungu hukupa unachostahili hakupi unachotaka.

Ninawajua watu kadhaa waliooa bikra ila ukifuatilia historia zao ni wachamungu wamekuzwa kiimani na hata wake zao ni wale waliokulia katika mazingira ya kidini.

N.b
Mimi ni muislamu hivyo ninaowaongelea hapo ni waislamu pia.

Uko sahihi.
Mwanamke anayekuja kwenye maisha ya mwanamume anafanana kitabia na mwanaume. Hii ni kanuni kubwa katika ulimwengu huu aliouweka Mungu mwenyewe, ya kukupa anayefanana na wewe.

Wacha Mungu wengi hata Wakristo wameoa bikra, na ukimkuta mcha Mungu amemuoa asiye bikra basi mwanamke huyo ameamua kuishi maisha matakatifu mno kwa bidii.
 
Habari wadau

Kwenye swala la kuoa. Jamii inataka mwanaume awe na kazi, pesa, na wengine nyumba na hata gari awe nayo. Kabla hajaoa

Lakini mwanaume akisema anataka kuoa mwanamke ambaye ni bikira. Jamii inamshangaa Mwanaume huyo na Anaonekana hana maturity.

Kwa nini Mwanaume anaeweka bikira kama kigezo cha mchumba wa kuoa Anaonekana mshamba na mbaguzi? Ila mwanamke anaeweka kigezo cha pesa na mali anaonekana yupo sahihi
Kaka,wanawake bikra wapo bado. Inategemea unatafuta bikra sehemu gani. Ukiwa mjini, itakuwa ngumu kutokana na “maadili” kupungua. Ila ukiwa vijiji bado kupata msichana bikra na wala watu hawata kushangaa kutaka bikra.

Watu wengi wa mijini,wamesha “haribika” fikra kwa uchafu wa uzinifu. Watakukatisha tamaa na kukucheka kwamba hakuna kitu kama hicho bikra kwa sasa.wao wanaona haiwezekani kwasababu wamejaa uovu miyoyoni mwao.
 
Back
Top Bottom