Kushikwa labda itokee tu bahati mbaya kama alivyosema mtu huko juu, labda mmenatiana π Lakini sio eti unadakwa kwa kitu cha kizembe namna hiyo.Kama hutaacha kuna siku utashikwa tu tena kizembe kweli kweli. Mark my words. Na pengine utakumbuka maongezi haya na kuishia kucheka tu πππ
Naomba uniruhusu nikujengee sanamu lako pale nyuma ya makumbusho ππMimi bora akatae tu hivohivo kuliko anithibitishie kwa mdomo wake kuwa kanicheat hiyo itaniuma sana na sitasahau kabisa.Sasa hiyo itapelekea mapenzi yapungue.
Hata kama najua kafanya na ushahidi upo lakini akate tu ila akikubali amenimaliza kabisa.
Sijui kwa wenzangu ila mimi akatae tu
Ubarikiwe [emoji120] kwakweli na sisi hatutoacha kukataaMimi bora akatae tu hivohivo kuliko anithibitishie kwa mdomo wake kuwa kanicheat hiyo itaniuma sana na sitasahau kabisa.Sasa hiyo itapelekea mapenzi yapungue.
Hata kama najua kafanya na ushahidi upo lakini akate tu ila akikubali amenimaliza kabisa.
Sijui kwa wenzangu ila mimi akatae tu
Hiyo ni situation nyingine Mkuu.Hata ukimkuta anamwagia ndani Bora akatae tu eti?
[emoji119] legendMe nilikuwa nimelala naamshwa na mtu analiaa nikajua huyu ameshayakanyagaa.. kashika simu analiaaa kukuuliza anasema toa password kuna kitu nimeona kwenye simu yako me nikasema kitu gani akasema msg ya mwanamke wako... Aisee kufungua yule manzi akanyanganya simu akasema sii hii apa ananipa niisome nikaifutaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nkaanza kumuuliza iko wapi?? Manzi anachukua simu nishafutaa alilia balaaa me nikawa namwambia wew unaota labda...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anyway aliishia kunipiga tuvibao twa hasria nikamtuliza tukalalaa asubuhi nikamuwekaaa haswaa kesi ikaishaa...
KahMe nilikuwa nimelala naamshwa na mtu analiaa nikajua huyu ameshayakanyagaa.. kashika simu analiaaa kukuuliza anasema toa password kuna kitu nimeona kwenye simu yako me nikasema kitu gani akasema msg ya mwanamke wako... Aisee kufungua yule manzi akanyanganya simu akasema sii hii apa ananipa niisome nikaifutaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nkaanza kumuuliza iko wapi?? Manzi anachukua simu nishafutaa alilia balaaa me nikawa namwambia wew unaota labda...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Anyway aliishia kunipiga tuvibao twa hasria nikamtuliza tukalalaa asubuhi nikamuwekaaa haswaa kesi ikaishaa...
Kwahiyo ukikuta mambo meusi humuulizi? na kama utamuuliza ili iweje wakati unataka kudanganywa?Hiyo ni situation nyingine Mkuu.
Nimezungumzia hii iliyoletwa hapa.
Halafu kuona live na kuhisi bila uhakika ni tofauti.
Ilimradi tu sijamkuta akatae tu.
Naijua nafsi yangu ndio mana nikajizungumzia mimi
Angekubali pia ungelalamika anachepuka alafu haoni hata aibu anakufungukia ni kweliHabari wakuu, hivi ni nini kinawafanya wanaume waendelee kukataa hata baada ya kuona ushahidi instead of kuomba msamaha yakaisha?
Iko hivi mume wangu alikuwa amesafiri for almost two months kikaz Arusha akarudi J3 , Alhamis ambayo ni juzi akaniambia anaenda kuonana na rafiki yake ilikuwa mida ya sΓ a 11 jioni, nikamuaga na mabusu kedekede nikamwambia usichelewe Bby, akajibu sichelewi mama, akawa amerudi mida ya sΓ a 3 kasoro hivi.
Sasa jana asubuhi wakati nacheck kwenye suruali yake nikakuta risiti kuisoma nikakuta ni gest house na amount ambayo amelipia muda ambao alilipia ilikuwa sΓ a 12.5 jioni yaani exact same time aliotoka home na hapo tulikuwa tumetoka kuhit kitu cha morning glory ile tuna furaha gafra furaha yangu ikageuka huzuni.
Kumfuata kumuuliza ananiambia sio yake alimuomba boda ampe karatas aandikie baadhi ya vitu sasa hakujua kama ni ya gest, nikasema naomba simu niangalie uliowasiliana nao huo muda sikukuta mtu na huyo rafiki alosema anaenda kwako it seemed hawajatafutana kitambo maana kwenye call record wala sms hayupo.
Nikamuuliza huyo rafiki yake uliendaje bila kuwasiliana akasema mm huwa nafuta baadhi ya vitu kwenye simu nitakuwa nimefuta, ikabidi tu ninyamaze na nikainua mikono[emoji119][emoji119][emoji119].
Sasa wanaume kwann ukatae wakati kitu kipo wazi?? Sasa hamjui yaani ukikubali na ukmuomba mwenzio msamaha ni rahis kusamehe na kusahau kuliko kukataa ,unapokataa unampa uchungu kwenye moyo wake na mapenzi yanapungua siku baada ya siku..
Kwenu ni wapi nilete posa chapNimejifunza mengi kutoka KWA mama aliniambia mwanaume hakaguliwi wala kuchungwa ukiwa unakula unashiba na watoto wanakula na kushiba na wanasoma inatosha
Habari wakuu, hivi ni nini kinawafanya wanaume waendelee kukataa hata baada ya kuona ushahidi instead of kuomba msamaha yakaisha?
Iko hivi mume wangu alikuwa amesafiri for almost two months kikaz Arusha akarudi J3 , Alhamis ambayo ni juzi akaniambia anaenda kuonana na rafiki yake ilikuwa mida ya sΓ a 11 jioni, nikamuaga na mabusu kedekede nikamwambia usichelewe Bby,
Hata ukimkuta anamwagia ndani Bora akatae tu eti?
Hii ndio tabia ya mwanamke halisi, japo unajifanyaga kukomaa uambiwe ukweli ila ukweli huwa mchunguπMimi bora akatae tu hivohivo kuliko anithibitishie kwa mdomo wake kuwa kanicheat hiyo itaniuma sana na sitasahau kabisa.Sasa hiyo itapelekea mapenzi yapungue.
Hata kama najua kafanya na ushahidi upo lakini akate tu ila akikubali amenimaliza kabisa.
Sijui kwa wenzangu ila mimi akatae tu