Kwanini mwanaume kukubali ukweli ni ngumu hata kama ushahidi upo mezani?

Siku ukikubali ume cheat ujue umekwisha.
Kwenye RAV4 old model pale nyuma Kuna kifuniko kwenye shock ab. Mimi nilikua nahifadhi kondom pale. Kuna siku alipafungua akaxikuta, hakika nilim convince sio zangu na sizijui Hadi akaamini.
 
Wewe unalazimisha akubali kitu ambacho sio kweli, wanawake mnashangazaga sana πŸ˜† kwahio aseme kweli alienda kugonga ili uangue kilio kuwa kakosa nini kwako?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe 😁😁😁
 
Amini na kuambieni Mwanaume hata ukikutwa juu ya kifua na unamwagia ndani , hutakiwi kukubali ni kukataa tuu.. hawa viumbe ukiwa mkweli umekwisha mwanaume mwenzangu... .kataeni kadiri muwezavyo mtakuja kunishukuru....
[emoji3578][emoji4]
 
[emoji16] kabisa
 
Hawasemagi ukweli hao.
 
Sinza kuna shida gani wanandoa kuishi?
Dada angu nakusii tafuta maeneo mengine ya kwenda kuish na mume wako isiwe sinza tu mm nimekah sinza nimeshuhudia umalaya wa kiwango Cha sgr siyo wanawake CYO wanaume siyo ushogaa kila uchafu upo sinzaa nimetombana kuanziaa shekilango had bamaga wanawake wa sinza hpn kwa kweli napata kichefuchefu demu akiniambia anakah sinza

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wee sema kwamba ujuinga huu tunawaletea hawa wake zetu wanaoendekeza njaa....kwa wadhungu hamna story mingi ni divorce moja kwa moja
 
She caught me on camera....i even had her in the shower🀣🀣🀣🀣🀣
🎢🎢🎢
But she caught me on the counter (It wasn't me)
Saw me bangin' on the sofa (It wasn't me)
I even had her in the shower (It wasn't me)
She even caught me on camera (It wasn't me)
She saw the marks on my shoulder (It wasn't me)
Heard the words that I told her (It wasn't me)
Heard the scream get louder (It wasn't me) 🎢🎢🎢🎢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…