Huyu Mimi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2019
- 2,575
- 2,117
Sio mimi wameni EDIT. 😂🙌Kwahiyo ukikutwa kifuani utadanganya kwamba ulijikuta tu ghafla Upo pale au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mimi wameni EDIT. 😂🙌Kwahiyo ukikutwa kifuani utadanganya kwamba ulijikuta tu ghafla Upo pale au?
Hapa tutapiga a vikumbo huko pm balaaaa. Mpaka sasa naona pm yake imeshajaa ofa kibao. Ila bwana yule bwana wa kulipwa mil17 akitia mguu tuu tujue tumesha mkosa mrembo🤣🤣🤣🤣Kwenu ni wapi nilete posa chap
Kwa nini aje kucheat katika lodge iliyo karibu na nyumbani hivyo? Inaingia akilini kweli hii?Sisi tupo sinza afrikasana na gest house ipo mawasiliano kuna umbali gani hapo ??
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe 😁😁😁Wewe unalazimisha akubali kitu ambacho sio kweli, wanawake mnashangazaga sana 😆 kwahio aseme kweli alienda kugonga ili uangue kilio kuwa kakosa nini kwako?😂😂😂
Sinza wahuni wengi[emoji16]Sinza kuna shida gani wanandoa kuishi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]unakana katakataYaan hata ukikamata na mwanamke nasema huo ni mnazi [emoji3][emoji3] Mimi nilijuaga ndo mbishi peke yangu kumbe ni nature
Viva
[emoji3578][emoji4]Amini na kuambieni Mwanaume hata ukikutwa juu ya kifua na unamwagia ndani , hutakiwi kukubali ni kukataa tuu.. hawa viumbe ukiwa mkweli umekwisha mwanaume mwenzangu... .kataeni kadiri muwezavyo mtakuja kunishukuru....
[emoji16] kabisaMwanaume kamili sifa ya kwanza usikubali makosa kwa mkeo kizembe, yani kama Gwajima vile ni mkonno wa baunsa sijui photoshop na mkewe akakiri mbele ya camera anampenda mumewe wala haina shida [emoji23][emoji23][emoji23]!!!
Mwanaume kuomba omba msamaha ni udhaifu, mi nilishageuzaga story na nilifumwa red handed. Hahahaha yani siku hio nguvu ziliisha connection ya ubongo na mdomo ilikuwa 0...Nilikuja kupangua hilo kwa namna ya ajabu [emoji23][emoji23][emoji23]
Human stupidity knows no boundaries bossKwa nini aje kucheat katika lodge iliyo karibu na nyumbani hivyo? Inaingia akilini kweli hii?
Hiyo risti kuna uwezekano wa asilimia 99.99% kweli ni ya bodaboda
Hawasemagi ukweli hao.Habari wakuu, hivi ni nini kinawafanya wanaume waendelee kukataa hata baada ya kuona ushahidi instead of kuomba msamaha yakaisha?
Iko hivi mume wangu alikuwa amesafiri for almost two months kikaz Arusha akarudi J3 , Alhamis ambayo ni juzi akaniambia anaenda kuonana na rafiki yake ilikuwa mida ya sàa 11 jioni, nikamuaga na mabusu kedekede nikamwambia usichelewe Bby, akajibu sichelewi mama, akawa amerudi mida ya sàa 3 kasoro hivi.
Sasa jana asubuhi wakati nacheck kwenye suruali yake nikakuta risiti kuisoma nikakuta ni gest house na amount ambayo amelipia muda ambao alilipia ilikuwa sàa 12.5 jioni yaani exact same time aliotoka home na hapo tulikuwa tumetoka kuhit kitu cha morning glory ile tuna furaha gafra furaha yangu ikageuka huzuni.
Kumfuata kumuuliza ananiambia sio yake alimuomba boda ampe karatas aandikie baadhi ya vitu sasa hakujua kama ni ya gest, nikasema naomba simu niangalie uliowasiliana nao huo muda sikukuta mtu na huyo rafiki alosema anaenda kwako it seemed hawajatafutana kitambo maana kwenye call record wala sms hayupo.
Nikamuuliza huyo rafiki yake uliendaje bila kuwasiliana akasema mm huwa nafuta baadhi ya vitu kwenye simu nitakuwa nimefuta, ikabidi tu ninyamaze na nikainua mikono[emoji119][emoji119][emoji119].
Sasa wanaume kwann ukatae wakati kitu kipo wazi?? Sasa hamjui yaani ukikubali na ukmuomba mwenzio msamaha ni rahis kusamehe na kusahau kuliko kukataa ,unapokataa unampa uchungu kwenye moyo wake na mapenzi yanapungua siku baada ya siku..
Dada angu nakusii tafuta maeneo mengine ya kwenda kuish na mume wako isiwe sinza tu mm nimekah sinza nimeshuhudia umalaya wa kiwango Cha sgr siyo wanawake CYO wanaume siyo ushogaa kila uchafu upo sinzaa nimetombana kuanziaa shekilango had bamaga wanawake wa sinza hpn kwa kweli napata kichefuchefu demu akiniambia anakah sinzaSinza kuna shida gani wanandoa kuishi?
As if u do😂😂😂😂Hawasemagi ukweli hao.
She caught me on camera....i even had her in the shower🤣🤣🤣🤣🤣It Wasn't Me- Shaggy
Wee sema kwamba ujuinga huu tunawaletea hawa wake zetu wanaoendekeza njaa....kwa wadhungu hamna story mingi ni divorce moja kwa mojaMwanaume kamili sifa ya kwanza usikubali makosa kwa mkeo kizembe, yani kama Gwajima vile ni mkonno wa baunsa sijui photoshop na mkewe akakiri mbele ya camera anampenda mumewe wala haina shida 😂😂😂!!!
Mwanaume kuomba omba msamaha ni udhaifu, mi nilishageuzaga story na nilifumwa red handed. Hahahaha yani siku hio nguvu ziliisha connection ya ubongo na mdomo ilikuwa 0...Nilikuja kupangua hilo kwa namna ya ajabu 😂😂😂
🎶🎶🎶She caught me on camera....i even had her in the shower🤣🤣🤣🤣🤣