Kuna mwamba alifumwa live na mwanafunzi(yeye ni tcha) akili za haraka alidai kuwa hawajafanya chochote kibaya bali alikuwa anamfundisha baioloji(biology) kwa vitendo!Sio mimi wameni EDIT. 😂🙌
Wewe kataa tu vyovyote hata ikibidi mwambie umeota tu sio kweliKwahiyo ukikutwa kifuani utadanganya kwamba ulijikuta tu ghafla Upo pale au?
Kwetu na kule kule KWA siku zote hata hatujahams[emoji23][emoji23]Kwenu ni wapi nilete posa chap
Nyumbani alitoka sàa 11.30 na risit ni sàa 12.05 na alitoka na bodaboda huoni huo muda mkuu ?Bdo haiwez kua exactly time
Yawezekana hata yeye anachepukiwa.Sasa kweli na wee unajshije sinza na na mume kbsa wa ndoa Kama siyo kujitafutia matatizo kitendo Cha kusema mmnaishi sinza bas Happ Happ nikaona lzm jama awe mchepukaji mzuri sanaa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mamaa toa location tulete posa acha kutukazia hivyo.. i promise mimi nitakua sikudanganyi [emoji1][emoji1][emoji1]Kwetu na kule kule KWA siku zote hata hatujahams[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sawa ila account YAKO inasoma vzr? Wanangu watarajiwa wasije lala njaa na wakakosa ELIMU[emoji849][emoji849]Mamaa toa location tulete posa acha kutukazia hivyo.. i promise mimi nitakua sikudanganyi [emoji1][emoji1][emoji1]
Mwanamke ni trafikiHabari wakuu, hivi ni nini kinawafanya wanaume waendelee kukataa hata baada ya kuona ushahidi instead of kuomba msamaha yakaisha?
9].
Sasa wanaume kwann ukatae wakati kitu kipo wazi?? Sasa hamjui yaani ukikubali na ukmuomba mwenzio msamaha ni rahis kusamehe na kusahau kuliko kukataa ,unapokataa unampa uchungu kwenye moyo wake na mapenzi yanapungua siku baada ya siku..
Unaliwa kimasihara soon.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sawa ila account YAKO inasoma vzr? Wanangu watarajiwa wasije lala njaa na wakakosa ELIMU[emoji849][emoji849]
Hapo wa kulaumiwa ni bodabodaHabari wakuu, hivi ni nini kinawafanya wanaume waendelee kukataa hata baada ya kuona ushahidi instead of kuomba msamaha yakaisha?
Iko hivi mume wangu alikuwa amesafiri for almost two months kikaz Arusha akarudi J3 , Alhamis ambayo ni juzi akaniambia anaenda kuonana na rafiki yake ilikuwa mida ya sàa 11 jioni, nikamuaga na mabusu kedekede nikamwambia usichelewe Bby, akajibu sichelewi mama, akawa amerudi mida ya sàa 3 kasoro hivi.
Sasa jana asubuhi wakati nacheck kwenye suruali yake nikakuta risiti kuisoma nikakuta ni gest house na amount ambayo amelipia muda ambao alilipia ilikuwa sàa 12.5 jioni yaani exact same time aliotoka home na hapo tulikuwa tumetoka kuhit kitu cha morning glory ile tuna furaha gafra furaha yangu ikageuka huzuni.
Kumfuata kumuuliza ananiambia sio yake alimuomba boda ampe karatas aandikie baadhi ya vitu sasa hakujua kama ni ya gest, nikasema naomba simu niangalie uliowasiliana nao huo muda sikukuta mtu na huyo rafiki alosema anaenda kwako it seemed hawajatafutana kitambo maana kwenye call record wala sms hayupo.
Nikamuuliza huyo rafiki yake uliendaje bila kuwasiliana akasema mm huwa nafuta baadhi ya vitu kwenye simu nitakuwa nimefuta, ikabidi tu ninyamaze na nikainua mikono[emoji119][emoji119][emoji119].
Sasa wanaume kwann ukatae wakati kitu kipo wazi?? Sasa hamjui yaani ukikubali na ukmuomba mwenzio msamaha ni rahis kusamehe na kusahau kuliko kukataa ,unapokataa unampa uchungu kwenye moyo wake na mapenzi yanapungua siku baada ya siku..
Ushauri bora kabisa...tena uzuri yeye anachagua nani wa kumpa mbussu yakekwanini asitumie falsafa ya mwana FA, naye akalipize abanduliwe tu hapo jirani Sinza ili kupunguza maumivu? lkn haitafuta machungu. Ngoja nimtafutie music wake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] never happen labda aamue kunisingizia tuUnaliwa kimasihara soon.
Tutakusoma kulee
Pokea hiyo hela kwanza kisha baadaye tutasoma.ujumbe🤪🤪🤪🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] never happen labda aamue kunisingizia tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sipokei hela ina nataka kujua akiba yake tu mimi[emoji4][emoji4][emoji4]Pokea hiyo hela kwanza kisha baadaye tutasoma.ujumbe[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji38]Yaan hata ukikamata na mwanamke nasema huo ni mnazi [emoji3][emoji3] Mimi nilijuaga ndo mbishi peke yangu kumbe ni nature
Viva
Wadau tunajuana mimi marafiki zangu najua nawakuta wapi na wao wanajua wananikuta wapi apo me namtetea mwamba asingeweza kuchukua risiti huo sio ushahidi izo ni dhana zako tu mbovuNa huyo rafiki aloenda kumuona hawajawasiliana kwenye cm wana muda aliendaje bila mawasiliano?