Kwanini mwanaume kukubali ukweli ni ngumu hata kama ushahidi upo mezani?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sawa ila account YAKO inasoma vzr? Wanangu watarajiwa wasije lala njaa na wakakosa ELIMU[emoji849][emoji849]
Hilo sio tatizo account inasoma vizuri japo nina mpango wa kwende kuchukua kila kilicho changu na kukiweka ndani ili kukimbia tozo, hope utakua mtunzaji mzuri mremboo[emoji846][emoji846]
 
Hilo sio tatizo account inasoma vizuri japo nina mpango wa kwende kuchukua kila kilicho changu na kukiweka ndani ili kukimbia tozo, hope utakua mtunzaji mzuri mremboo[emoji846][emoji846]
Weeeee usiniambie [emoji4][emoji4]
 
Unapokua na shitaka mahakamani au baraza ukikubali kosa kinachofuata ni hukumu tu. Utetezi huwa haupewi kipaumbele sana japo inategemea na busara na hakimu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]mimi sio material wife bali ni wife material nimefunzwa nidhamu ya pesa
Ewaaa tuhamie zetu pm sasa maana huku kina mzabzab mzee wa mbususu hawachelewi kuharibu [emoji4][emoji4]
 
Ukifirkiria tuu kuanzia enzi za kina mfalme Daudi ana wanawakae 100 kidogo na bado akatamani mke wa mfanyakazi wake unanyoosha mikono juu na kuwaombea waume zetu wasipate magonjwa tuu maana kusema waache hawawezi. Labda uzeeni huko nguvu ziwaishie ila na huko kama wana hela wanaenda tuu huko wanashikwa shikwa wanaridhika ilimradi vichwa vyao vya chini vinavyowapeleka.
 

Wewe ndo unastahili kuwa mke. Lakini pia usimchungeze chunguze!
 
Mbona hiyo nayo ni reference tosha hata kama ulikataa

Papuchi moja kila siku, wiki, mwezi, mwaka, miaka inachosha mnoooooooo, cha mhimu ahudumie familia, asilete magonjwa na asihamie kwa mwingine. Ukiona anatimiza hivi mshukuru Mungu na mshukuru mmeo! Wcha upumbavu, wanaume kama wanyama wengine wote hatujaumwa kuwa na jike moja NEVER!
 
Umenena
 
Hzi gest wanazotoa risit ziko wap.. kwa hal ya kawaida ni ngum sana kwa mwanaume niende kula tunda halaf niombe risit
 
Na huyo rafiki aloenda kumuona hawajawasiliana kwenye cm wana muda aliendaje bila mawasiliano?
Walichat telegram, whatsapp, walipanga tokea yupo safari hajarudi bado, walikutana mtaani wakaahidiana kuonana muda fulani wapeane dili za hela.

Kila mmoja anafahamu mahali rafiki yake anaishi so kama walipatana tayari na hakuna simu ya kuvunja appointment basi kupiga piga simu ya nini?

Huyo kweli kabisa alikuwa na rafiki yake ni vile tu umeona risiti ya dereva boda boda.
 
Last week tu hapo wife kaona txt ndio inaingia kwenye simu akaisoma, mazungumzo yakawa

WIFE ; naomba soma hiyo text

MIMI ; (nukuu ya text) "yaani nimekumiss sana ila tu Mungu ndio anajua ukweli wa moyo wangu" hapo niliisoma kwa sauti.

WIFE ; ( hapo machozi yanamlenga lenga ) huyo nani saa sita hii ya usiku.

MIMI ; huyu ni binamu yangu mtoto wa aunt wa kimara.

WIFE ; niambie ukweli binamu ndio atume meseji kama hii usiku huu na anajua wewe mume wa mtu?

MIMI ; tulia kwanza acha hofu, iko hivi... Huyu binamu yangu katembea na mume wa mtu bila kujua sasa mke wa jamaa akaenda kusema hadi kwa kina aunt. Mbaya zaidi zamani pia aliwahi tembea na mume wa mtu so toka siku hiyo akawa haaminiki tena pale home japo kweli ile ya kwanza alijua kabisa.

So kipindi kile nimsaidia kwa kuongea na kina aunt kuwa wamsamehe maana kajua kosa, wamuelimishe tu sio kumtenga na kumuona hafai tena.

Ndio maana anasema kanimiss kwa sababu ningekuwepo ningemsaidia na kuhusu Mungu kujua moyo wake ni sababu kweli this time ni hakujua kama jamaa kaona ila hawataki kuamini hilo sababu ya lile kosa la mara ya kwanza.

WIFE ; sawa tu ila kama unanidanganya ipo siku nitajua.

Ikaisha ki hivyo.

Isingekuwa laini ndio kwanza mpya kabisa ningesema huyu ni ex huwa anasumbua yakimuelemea huko[emoji3][emoji3][emoji3]

Kubali kizembe at your own risk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…