The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
hapo ndio shida yenu wabongo. Nauliza swali unasema ngono.Chumba kimoja? Punguza kuangalia za video za ngono
ukipata majibu nipo hapa.3some inawapoteza vijana.
kwani mwanaume anapoenda kuoa Mke wa pili dini si inasema lazima Mke wake aridhie? Sasa kama karidhia kwanini wasilale pamoja na mume wao? Hawazungumzi lugha moja kvp ?Je umejiuliza kuwa, vipi kama hao wanawake wawili wasipokuwa na maelewano????? (hawazungumzi lugha moja)
Siyo wote wanao oa mke wa pili basi mke wa kwanza anakuwa amekubaliana na hilo jambo.kwani mwanaume anapoenda kuoa Mke wa pili dini si inasema lazima Mke wake aridhie? Sasa kama karidhia kwanini wasilale pamoja na mume wao? Hawazungumzi lugha moja kvp ?
Nataka kujua kuhusu Kwann halali nao wakati dini inaruhusu mume mwenye uwezo wa kuhudumia kuoa mwanamke zaidi ya mmoja. Jikite kwenye madaUnataka kuhalalisha 3some
unataka kusema wanawake wote waliopo kwenye ndoa ya mitala hawapendi? Wewe wapi ulishawahi kuona wanawake walioolewa na mwanaume mmoja wanaishi nyumba moja? Unataka kusema wote hawakubaligiSiyo wote wanao oa mke wa pili basi mke wa kwanza anakuwa amekubaliana na hilo jambo.
Acha kukariri.
Oa wewe uwaweke chumba kimoja halafu utuletee majibu ya kile utakachokutana nacho!Nataka kujua kuhusu Kwann halali nao wakati dini inaruhusu mume mwenye uwezo wa kuhudumia kuoa mwanamke zaidi ya mmoja. Jikite kwenye mada
Dini pia imesema walale wote kwa pamoja?Nataka kujua kuhusu Kwann halali nao wakati dini inaruhusu mume mwenye uwezo wa kuhudumia kuoa mwanamke zaidi ya mmoja. Jikite kwenye mada
Dokta Mwaka alikuwa anafanya hivyo...hapo ndio shida yenu wabongo. Nauliza swali unasema ngono.
Kwann halali nao chumba kimoja au hata nyumba moja vyumba tofauti?
Ulishawahi kuona mwanaume mwenye wake wawili anakaa nao nyumba moja?
Ugumu unakua wapi wakati ni halali kidini na wamekubaliana?
Kiko wapi Leo? 🤣🤣🤣🤣Dokta Mwaka alikuwa anafanya hivyo...
Eheee nini kilitokea?😂😂Dokta Mwaka alikuwa anafanya hivyo...