much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Mbona mwaka alikuwa analala nao kitanda kimoja?hapo ndio shida yenu wabongo. Nauliza swali unasema ngono.
Kwann halali nao chumba kimoja au hata nyumba moja vyumba tofauti?
Ulishawahi kuona mwanaume mwenye wake wawili anakaa nao nyumba moja?
Ugumu unakua wapi wakati ni halali kidini na wamekubaliana?